Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Naona UKAWA wametoswa rasmi, sasa hizi zina drama zake.
Naona UKAWA wametoswa rasmi, sasa hizi zina drama zake.
Wao ni kazi tu...propaganda tupa kule. Umoja wao,uongozi wao na ubunifu wao ndiyo unaokusanya mafanikio ya CHADEMA yanayoendelea kuonekana. Ni kama Messi na Xavi. Hapana chezeya!
Mbowe na Dr. Slaa ni miiba mikali kwa chama tawala. Ndiyo maana kila aina ya hila,propaganda na uongo unaendelea kusemwa kuwasambaratisha. Na ubunifu na utayari wao wa kuwa sehemu ya UKAWA ni kitisho kwelikweli.
CHADEMA sasa imepiga hodi na kuitikiwa vijijini. Kilichobaki ni kujitangaza zaidi na kuelekeza nguvu mwakani. Kila chama cha upinzani duniani kilipitia njia ya CHADEMA kuelekea Ikulu na kuwa chama tawala.
CCM yaweza kuwa imeshinda kwa mahesabu ya jumla. Kuendelea kuporomoka kwa takwimu zao ni kitisho kisichoweza kupuuzwa nao.
Binafsi niliukubali uongozi wa Mbowe na Dr. Slaa siku CHADEMA walipoweka wagombea mitaa na vitongoji vya mkoa wa Pwani. Big up Mbowe na Dr. Slaa. Ishikeni UKAWA maana ni nguvu yenu.
Naona UKAWA wametoswa rasmi, sasa hizi zina drama zake.
Naona UKAWA wametoswa rasmi, sasa hizi zina drama zake.
Naona UKAWA wametoswa rasmi, sasa hizi zina drama zake.
Mbowe + Dr Slaa = perfect Chemistry
Haya tuliyajua tangia mwanzo,ujue MATAPELI wananjia ndefu sana.
Amen kamanda...Mh. Dr. P w slaa na mh. Elikaeli freeman mbowe mkirudi nyuma mtatutambua sisi tumejitoa kuwa nyuma yenu kulikomboa taifa hili na tunawategemea sana tunawaamini sana tunawaombea sana .. mungu awaondolee jini la usaliti na tamaa ya pesa . Hata sisi tunahongwa tuisaliti cdm tumegoma tunatishiwa maisha tumekubali ..maana kufa ni siku moja na kuzaliwa ni siku moja na hata atakae tuuwa nae atakaufa ...mungu awabariki sasa naenda kupumzika baada ya kukesha kulinda kura ya mwenyekiti wangu jana...nimeshehwrekea vya kutosha leo....