Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,008
- 74,638
Hivi Mbatia, Prof Lipumba kumbe hawana lolote UKAWA ni drama tu.
Nani kakuambia kwa kuwepo UKAWA basi vyama hivyo vimekufa? Hata ndoa na mkeo mnashirikiana mambo mengi kusonga mbele ila maisha yenu binafsi kila mmoja yanaendelea. Mr Ritz na Mrs Ritz bado kila mmoja ataendelea na majukumu yake yale ya kibinafsi. Ndio maana kila chama usajili wake unaendelea.
Mbona hujauliza ya SUK kule Zenji?