mtoa
mada kamtishe mkeo, eti nitajitoa kwani wewe ni nani mpaka umtishe mwenyekiti na mtukufu katibu wetu. mwambie zito mtoto hatumwi dukani safari hii nyinyi kachezeni kekatugite yenu huko mtuache na chadema yetu.
Mkuu nimetumia nafasi yangu, kama hii issue ingekuwa haijawekwa public ningeenda ufipa, naiweka huku ili waelewe extent ya hasira za wanachama.
Nadhani ili uwe na conclusion iliyo na objectivity ungetazama chanzo cha malumbano hayo. Zitto kama kiongozi naye alighafirika. Yericko Nyerere nae amekuwa too emotional. Nikiitazama dhamira hasa ya Yericko naona ni kusafisha wote wenye ndimi zaidi ya moja kwenye chama.
Lakini safisha safisha haifanywi hadharani. Tunaumiza chama
Kweli wewe ndo Gogo Vivu....Hebu nenda kakojoe ukalale...
Msomi yeyote anakiri source ya kile akisemacho... Kwa mfano... Mtu akisema hongera kwa kazi ...Tunajua anam-quote Lowasa; Mtu akisema "akili ya kuambiwa changanya na ya kwako" ni JK 2010... Nenda shule!!!Acha kukariri. Zitto hana haki miliki ya misamiati ya kiswahili mkuu.
Chadema ni kama gari lisilo na dereva
Linakwenda kwenda tu...
Usitishe watu nyau wewe,hapa ndio makao makuu mshamba wewe,eti unatoa 24hrs kamwambie mkeo na wanao....Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
Anaenda CUF?Mkuu pole sana mbowe na slaa wako chadema kwa ajiri ya watu fulani zito anatakiwa kuondoka chadema.
we waache waendelee kuwalea hao wajinga wakina lema na wenZie.
Nimetoa saa 24 mkuu.
Yeriko na wenzake wanatumiwa na viongozi wengine wa chadema kumwangamiza zitto sijui kwa manufaa ya nani.Yericko hajawahi kuwa objective, ndio maana anakuja na id ya john borne kuchafua viongozi wa chadema (zito) kisa hampendi
Binafsi nashangazwa sana na chama ambacho nilihisi kipo kwa maslahi yetu (Tz). Lakini sasa kimekua kwa maslahi ya Lema na Mbowe...........kweli baada ya masaa 24 makamanda wa kanda yangu pia tutatoa tamko. Nonsense.....stupid
We kweli kilaza ulitaka uzoeane nao kivipi,nenda ofisin ukatoe malalamiko yako usitake kutisha watu,kama vp jitoe unasubiria nn..In short nimempigia simu Mnyika na kasema atahakikisha anacontrol situation, Zitto hapokei simu. Dr Slaa na Mbowe sijazoeana nao.
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza![/QUOTE
Mbona Lema amekaa kimya nasikia wameambiwa wote wakae kimya , hat hivyo ukitaka ondoka hatutaki mamuluki...
Muulize mzee wako mzee slaa kwamba mnataka kumfanya nini na kumpeleka wapi.Anaenda CUF?