Wewe ni kama Sindano inayowekwa Uzi kwa nyuma halafu ina shona kwa mbele! Kwani hukuwahi kuona Dr Slaa au Mbowe wakishambuliwa kwa matusi na kejeli nyingi nyingi na mbona hukuwahi kulalamika?
Jamani wacheni kukubali kutumika km Condom ya 250/ isiyokidhi viwango. Wana Chadema wanajulikana na Misukule [Mapandikizi] wanajulikana.
Ingekuwa wewe ni mwana CDM usingeleta hizi hoja zako mfu humu ktk majukwaa haya ya umbea. Lakini kwa kuwa waliokutuma walikupa sharti lazima utimize kwa kuwasikiliza wao. MLIPA ZUMARI NDIO MCHAGUA WIMBO!!
Tulizana kijana wacha Mawenge ya kujidai kuwa wewe ni muelewa wakati huna unalolijua!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!!
Hahahahahaah!!!
Mi si muumini wa vyama vya kisiasa wala siasa, ila mikwala mingine najikuta tu nachangia post kama hii kwa huu u.pupu tu baaas. Nimemkumbuka binti yangu alinipiga mkwala "baba usiponinunulia baiskeli mpaka kesho, sitaenda tena shule" Sikumnunulia na shule alienda.
This is too low.......
Zitto anapendwa na watu wenye elimu ndogo, kama tafiti zilizoonyesha huzi juzi kwa Kikwete na yeye ni hivyo hivyo tu. Mtu mwenye akili timamu anayechambua mambo hawezi kushindwa kugundua unafiki wa Zitto na umamluki anaoufanya. Anauma na kupuliza ni wachache tu wenye upeo ndio wanaweza kugundua hili na hawawezi kubabaishwa na umaarufu wa Zitto. Nao TISS wakishamaliza kumtumia wakasambaratisha CDM watamuacha hewani ndio atajua kuwa kazi aliyokuwa akiifanya ni ya kipuuzi na inammaliza hata yeye. Zitto najua unasoma hizi post nakushauri andika hii kwenye Diary yako, Hakika litatokea.
sixgates,Mnyika alishatoa tamko humu kupitia mabadiliko na alisema mhe lema kavunja katiba na kanuni za chama.Na kwa sasa wapo kwenye vikao vya serikali. Lakini alisema pia kuwa kawapigia simu wahusika wote yani@Zitto na lema simu hazipokelewi(binafsi nahisi pengine walipokea baadae). Aliwakanya waache na ndio maana hatuoni malumbano tena humu.sasa msemaji wa chama kasema,si ndio kauli ya chama? Unawataka Mbowe na dr Slaa wa nini au ndio mje mseme wanamwingilia Mnyika?.au ulitaka Mnyika aite press comference wakati wao wamejibizana humu humu mitandaoni na yeye alitumia njia ile ile? Kamanda tuliza munkari tujenge chama. Sisi sote ni ndugu,adui yetu ni CCM. Tamko la chama lilishatoka,Lema ana makosa. Kwa hiyo tusubiri vikao vya bunge viishe wamshughulikie.vinginevyo chama hakiwezi kuwatoa wabunge Dodoma waende Dar kumwajibisha Lema.
CCM hawatoki wapo mpaka leo ila chadema mapandikizo yote NJE wengine watatoka wenyewe kama mtoa mada...Hatoki mtu hapaaaaaaa!!!!
Watu wenye elimu ndogo ndio wapiga kura hao. BTW tz ina asilimie hazizidi 10 za wasomi wenye level ya kwanzia for six.
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
Rudisha rambirambi za watu wewe...TEAM ZITTO
Niliishayasema haya...
Wewe tumia akilki hata kidogo!... Huwezi kuona ujinga na mgogoro wa viongozi wenzako na kuanza kuwakemea huko huko mtaani!
Waje tuwape mawazo takataka za £1500, kuzisafirisha 650 ushuru millioni nne, unauza millioni 20 mpaka 22 faida ni mara mbili ya gharama.mkuu ummeongea poa sana. Wanadhani zitto anataka kutpka kisiasa kumbe yeye huko wanakomuazia kesha vuka tayari. Yupo kwenye stage ya self actualization wakati hao wanaomsakama ndio kwanza hata mlo wa siku kwao ni shida.
Mkuu kuna vyura wengine kama wa Kihansi huwa wanapanda ndege, lakini kuna vyura wa uswazi wanapiga kelele masaa 24 na hawajui kama kuna daladala zinapiga ruti ya Mwenge- Bunju..... Chura mdogo eti anaipa taasisi kubwa kama CDM masaa 24 adhawaiz anaibomoa. Huyu hata baiskeli ukute hajawahi kuipanda.hahahahahahahaahahahahahahahahaahahaha
kelele za chura........................
Chadema kimeudhihirishia umma wa Watanzania kuwa si chama cha kisiasa ni chama cha wahuni.
Hivi unategemea nini katika chama kinachoendeshwa na DJ ambae fani yake kuu ni kuendesha kilabu cha usiku (night club)?
Uhuni tu.
kitufe cha like kimepotea bana
Si uende mtaa wa ufipa ukalalamike,watu walio desparate utawajua tu..mmepata hoja ya kukeshea mtandaoni,chama cheni kime underperform to div 0
sasa mmeongeza div 5,hopeless nyie.
Mkuu kuna vyura wengine kama wa Kihansi huwa wanapanda ndege, lakini kuna vyura wa uswazi wanapiga kelele masaa 24 na hawajui kama kuna daladala zinapiga ruti ya Mwenge- Bunju..... Chura mdogo eti anaipa taasisi kubwa kama CDM masaa 24 adhawaiz anaibomoa. Huyu hata baiskeli ukute hajawahi kuipanda.
Akili za mbayuwayu changanya na zako, says JMK, chairman CCM.