Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
inawezekana cdm ilianza na shetani aliyepandikizwa kutoka ccm, sasa ni wakati wa kumkemea aondoke,ili chadema ismalize nae, lakni na shangaa ukoo wa panya unamtetea .
 
Wewe tumia akilki hata kidogo!... Huwezi kuona ujinga na mgogoro wa viongozi wenzako na kuanza kuwakemea huko huko mtaani!
 
Nyie chadema msiwe kama watoto wadogo; chama cha kuendeshea kupitia JF mlikiona wapi? Mtu anataka kuzungumzia suala fulani la chama, anakimbia kuja kupost JF!
Mtu anatofautiana na mwanachama mwenzie; anakimbia kuja kupost JF!
Mtu anataka kukusoa viongozi wake; anakimbia kuja kuleta bandiko JF!
Mnakivua nguo chama chenu, mtakiua chama chenu.
Mkiisaliti trust ya watanzania historia itawahukumu.
 
Si uende mtaa wa ufipa ukalalamike,watu walio desparate utawajua tu..mmepata hoja ya kukeshea mtandaoni,chama cheni kime underperform to div 0
sasa mmeongeza div 5,hopeless nyie.
 

Mkuu binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto lakini kuna mikakati chadema wanaikosea na wanazidi kumpa umaarufu.

Hii inasababishwa na hawa viongozi wa juu kutoshikamana na kutochukua hatua kwa wakati.
Zitto bila chadema he is finished, ila chadema can survive even without him. Bado viongozi hawajajipanga. Ndicho nachopigania.
 
Mkitaka Dr Slaa aje na kauli anzisheni uzi wa kutaka kuchangia fedha Chadema halafu baaaaaadae..... ndio mumchomekee habari za Zitto na Lema.Au anzisheni uzi ukimtaja Josephine mtamtoa pangoni.
 
Kijana tafadhali usijifanye wewe punguani,kwani Josephine Mushumbuzi ni kiongozi Chadema?
Tatizo we mmakonde unakurupuka saaana... Kama mlivyoingia mkenge kwenye suala la gesi... Soma maneno hayo kama yalivyo kwenye hoja ya mleta mada!!!! sixgates Today 22:01

J

Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?


 
nimeamua kwenda nje ya nchi. staki kusikia redio wala mtandao nimechefuka sana. hawa jamaa sijui wamekamatana ugoni! hapo wasira meno nje anawaza juis ya ikulu
 
mimi nimezaliwa nimeikuta ccm pekee na wala sijawahi kuhama kwenda chama chengine chochote kile cha wagema ulimbo.
Nalog off

hapa ndiyo sehemu watanzania walipokosea..
ilibidi wakati tunaingia kwenye mfumo wa vyama vyingi vyama vyote vingeondolewa na kuanzishwa upya ili
kuleta usawa!!
haya makauli mabovu ya nimezaliwa nikaikuta CCM yasingekuwepo.
Udhaifu ulianzia hapo mgawanyo haukuwepo thats why CCM inajiona ni chama halali kuliko vyama vingine!!
BTW tunawahesabia tuu......
 
If two wrongs does not make one right why do u make ZZ right...

Yeye ni naibu katibu. Ni kiongozi mkubwa. Lema hawezi kukurupuka tu akaanza kumtuhumu. Ameenda kwa Mnyika akakataa kumsikiliza? Hata angeipeleka katika party coccus.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…