Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,977
- 95,325
Ila mkiiba rambirambi?Haujakosea!
Ila mkiiba rambirambi?Haujakosea!
Vipi kuhusu wazee wa mikataba ya kifisadi ya madini?Wazee wa ufisadi.
Chadema ni kituko kwa hiyo sera zao zinategemea individual decision sio party decision. Odinga kama individual aliamua kumuunga mkono magufuli kwa hiyo ndio base Ya kuamua kumuunga mkono Kenyatta? Nadhani correct approach ingekuwa kukaa kinywa lakini si kubase kwenye individual decision za laila odinga au lowasa. Chama ni zaidi ya laila au lowasaHuu upuumbavu wa hali ya juu kabisa.
Na ni ishara ya kufilisika kifikra!
Kisa cha kujiingiza katika siasa za Kenya ni nini?
Yakitokea kama yaliyotokea ile 2007 mtakubali kubeba lawama?
CHADEMA na huyo mwenyekiti wao wa maisha ni bure kabisa.
Kaku snitch nini mkuu?Odinga snitch acha wamuunge mkono Kenyatta.
Mi sio CCM mkuuCcm ndio mmeishiwa hadi mnakwapua rambirambi
Pole sana na hongera sana kwa kujitambuaMi sio CCM mkuu
Binafsi sioni busara kwa wanasiasa wetu kuwa na upande ktk siasa za nchi jirani, kidiolomasia hilo ni kosa kubwa sana.
Kama usiyemuunga mkono anashinda nawe unashinda, utawezaje kufanya naye kazi bila tashwishwi?
Wanasiasa wetu waache kuingilia siasa za vyama nchi jirani, mambo yetu yako mengi mno ya kushughulika nayo.
Vv
Binafsi sioni busara kwa wanasiasa wetu kuwa na upande ktk siasa za nchi jirani, kidiolomasia hilo ni kosa kubwa sana.
Kama usiyemuunga mkono anashinda nawe unashinda, utawezaje kufanya naye kazi bila tashwishwi?
Wanasiasa wetu waache kuingilia siasa za vyama nchi jirani, mambo yetu yako mengi mno ya kushughulika nayo.
Vv
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama chake kinamuunga mkono Uhuru Kenyatta ktk Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Amesema kuwa kwa muda mrefu wamekuwa wakimuunga mkono Raila Odinga katika kuchukua nafasi ya kuiongoza Kenya.
Lakini kinyume na matarajio yao, ilipofika zamu yao mwaka 2015 rafiki yao Raila aliwageuka na kumuunga mkono adui yao
Haya vizuri,nadhani unaweza kuendelea na mambo mengine sasaHata anayedhani kinyesi ni chakula hayuko kifungoni,yuko huru kueleza anaamini kinyesi ni chakula!
Ila waliostaarabika hawamwachi,wanamwelekeza na kumtoa ujinga!
Usipoelewa basi,utaelewa mbele ya safari!
No hata wewe Ukimfuatilia Uhuru Kinyatta ni Mtu Poa sana! Hata Umfanyeje haonei watu kwa inferiority complex au Littleman Syndrome!Ni Kwa Sababu Mbowe Kasema au siyo!