Mbowe: Mwulizeni zitto niliko mtoa

Anasubiri nin kumfukuzaaaa mmekalia kutuimbia taarabu

Yaan Mbowe kama wewe ni jasiri unaweza jamba hata mbele ya mzee mtei ukimfukuza Zito nahamia CHADEMA pia nagombea umwenyekiti taifa ntaakuaminia vibayaaaa
 
Miaka 23 ya kula hela za chama halafu anasema hajalipwa mshahara,hili jamaa jizi kweli

Ndio kauli za Wachaga hizo wala usishangae. Na bado kwani watapoingia ikulu ndio msahau. Wizi utaofanyika kwa miaka mitano tu ni zaidi ya ule wa CCM kwa miaka 50.

Chambua maelezo yake kama ninavyoyanukuu hapa chini:
“Nikiwa katika harakati zangu za kukijenga chama, nilipita Chuo Kikuu chaDar es Salaam …nilibahatika kuwapata
kina John Mrema, Halima Mdee, Zitto Kabwe, John Mnyika wakiwa viongozi ambao walipenda siasa ya mabadiliko,
nami nikaondoka nao bila ya kusita,” alisema. Alisema nia ya kuwachukua vijana hao ni kujenga chama kama taasisi ili kisonge mbele tofauti na ilivyo sasa na siyokujenga jina la mtu kama watuwanavyotaka iwe au wanavyodhani.


Ukishinda zoezi hilo ndio utajua kuwa anajuta kuwaingiza wasomi katika chama cha wachaga. Shule si mchezo kwani mtu haigi unayomwambia bali anachambua na kutupa pumba. Mbowe hayupo tayari kwa hilo.

Chama kimeshakufa hiki na vijana mkizubaa mmekwisha, mnatumiwa tu lakini hamna nafasi katika CHADEMA
.
 
As if yeye kadondoka toka mbinguni!!!!
Yeye kalelewa na nani??!!!
Role models hana??!!!
Kazaliwa anajua siasa sio??!!!


Ni aina gani ya kiongozi sasa anayetaka historia ziwe sehemu ya maamuzi???!!!!Why now kutoa hiyo taarifa???!!!Uswahilini tunaita kusimanga huku!!!!

Muacheni DJ Mbowe, mnajisumbua kuuliza maswali magumu ambayo kamwe hataweza kuyajibu.

Unajua kuwa mwenyekiti wa chama cha upinzani na mbunge ni ndoto ambayo Mbowe hata hakuweza kuiota. Hapo hatoki mpaka kwa mtutu wa bunduki.
 
Muacheni DJ Mbowe, mnajisumbua kuuliza maswali magumu ambayo kamwe hataweza kuyajibu.

Unajua kuwa mwenyekiti wa chama cha upinzani na mbunge ni ndoto ambayo Mbowe hata hakuweza kuiota. Hapo hatoki mpaka kwa mtutu wa bunduki.


Shikamoo Mkuu Zawadi Ngoda,

Mkuu hishma yako...nimekusoma mno kwa hiyo bayana yako na nimekukubali yakuwa wewe ndo Greater Thinker wa ukweli humu-JF,waliobaki takriban woote ndo ile ile misukule ya Chadema tu! Dah! Yaani majanga matupu!

Hayo maneno yako murua...bakhti mbaya hapa natumia ka-mchina,kitufye cha LIKE sikioni!?...lakini kula "tano" Jembe langu! Teeh! Teeh! Teh!

Pamoja kwa saana Mkuu.

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Bravo kamanda Mbowe, safari ni safari mpaka mwisho wa reli (IKULU). Aluta continua mpaka kieleweke.
 
Mkuu white girl,

Duh! Kwi! Kwi! Kwi!...wee mtu kweli unatisha!

Ngoja tusubiri wenyewe misukule wakirudi toka kwenye viroba usiku wa manane,khalaf usikie vumbi la matusi yao!? Teeh! Teeh! Teh!

Mkuu pokea LIKE ya nguvu kabla ka-mchina changu hakijesha charge/battery na kuzimika!?...si unajua mambo yetu sisi Wamang'ati huku vijijini tena! Teeh! Teh! Teeh!

Sisi pia hapa kijijini petu tulifanza mkutano wa dharura wa misukule ya Chadema jana usiku!...kwa kifupi tumeipatia/tunaipatia kamati kuu ya Chadema na yule Tapeli Nabii wa Tengeru,siku nne kumfukuza yule Kijana wa Kigoma anayehatarisha maslahi ya watu wa Kaskazini!

Kama Viongozi wa juu wa Chadema wasipofanza hivyo ndani ya hizo siku nne tulizowapa...basi sisi misukule soote wa Padri Slaa hapa Kijijini,tutarudisha kadi za Chadema kwa Mwenyekiti wetu Bwabwa-choko Mliwaleo aka Bwabwa Mlaleo na kurudi nyumbani CCM!...maana tushachoshwa na mambo ya sacoss za ukanda! Duh! Teeh! Teh! Teeh!

Pia tumetuma malalamiko yetu ya uchungu kusikia kumbe Mwenyekiti hapa Kijijini Bwabwa Choko-Mliwaleo aka Mlaleo,kumbe ni Bwabwa la kutupwa na linapakuliwa na Muarabu-Mkristo wa Kijiji cha jirani!? Dah!

Kwa kweli sisi misukule tuliposikia ile khabar ya kupakuliwa ilomkuta Lema-MP pale Arusha hatukuamini asilan...lakini kwa hili la kupakuliwa huyu Bwabwa-Mlaleo na yule Muarabu-Mkristo wa hapa Kijiji cha jirani,yaani tumechukia pasi kiasi!? Teeh! Teh! Teeh!

Ndo maana kumbe huyu Bwabwa-Mlaleo anajifanza kuchukia Waarabu humu-JF,ili kuficha siri/"madhambi" yake!? Duh!? Kwi! Kwi!

Tunasubiria majibu toka kwa Padri mzinifu/fisadi Slaa,kama ambavyo atakavyoelekezwa tokea pale Tengeru! Dah!

Pamoja kwa saana tu Mkuu.

Ahsanta.

Cc;CHAMVIGA,Chinese Slave aka ChongChung,Ikibwabwa,Kahtaan,Faby,Ritz,THE BIG SHOW,Mzito Kabwela
gombesugu lakini unajua hilo bwabwa ni mrembo kweli kweli,afu akishapaka wanja waweza dhani ni binti kahtaan Mlaleo
 
Last edited by a moderator:
MWENYETI wa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (CHADEMA) Freeman
Mbowe, amewataka wanachama wa
chama hicho wamuulize Mbunge Kigoma
Kaskazini Zitto Kabwe wapi alikomtoa
hadi kufikia ngazi na hadhi aliyonayo
sasa katika medani ya siasa nchini.
Mbowe alitoa kauli hiyo jana katika
kongamano la miaka 52 ya Uhuru wa
Tanzania Bara, lililoandaliwa na Umoja
wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (Chaso)
kwa kushirikiana na Baraza la Vijana la
Chama hicho (BAVICHA)
Katika kongamano hilo lililofanyika
katika Hoteli ya Land Mark, Mbowe
ambaye alianza kwa kutaja historia yake
kama mwasisi kijana wa CHADEMA na
mwenyekiti wa kwanza, alisema mwaka
2003 akiwa katika harakati za kukijenga
chama, alipita katika vyuo mbalimbali ili
kupata vijana wasomi wajiunge na
CHADEMA na ndipo alipompata Zitto,
akiwa katika Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam.
“Nikiwa katika harakati zangu za
kukijenga chama, nilipita Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam …nilibahatika kuwapata
kina John Mrema, Halima Mdee, Zitto
Kabwe, John Mnyika wakiwa viongozi
ambao walipenda siasa ya mabadiliko,
nami nikaondoka nao bila ya kusita,”
alisema.
Alisema nia ya kuwachukua vijana hao ni
kujenga chama kama taasisi ili kisonge
mbele tofauti na ilivyo sasa na siyo
kujenga jina la mtu kama watu
wanavyotaka iwe au wanavyodhani.
Mbowe alisema akiwa na vijana hao
pamoja na viongozi wengine, walifanya
kazi kama timu ili kuhakikisha
wanakiingiza chama hicho Ikulu,
akiamini kuwa asingeliweza peke yake
kukipeleka mbele chama hicho.
Aliwataja viongozi aliowachukua kutoka
katika vyama vingine vya siasa kuwa ni
pamoja na Mkurugezi wa Fedha wa
chama hicho, Antony Komu, Tundu
Lissu, Mabere Marando ambao walitoka
NCCR – Mageuzi.
Wengine ni Godbless Lema, Saidi Arfi na
Mchungaji Peter Msigwa ambao
walikuwa TLP na Ezekia Wenje aliyetoka
Chama cha Mapinduzi (CCM), akiwa
mwenyekiti wa tawi moja la chama hicho
huku Mwanza.
Alisema safari ya kukijenga chama sio
lelemama kwani ni sawa na treni
inayotoka Dar es Salaam kuelekekea
Kigoma huku akiamini wote watafiki,
lakini imekuwa tofauti kwani wapo
walioshuka njiani.
“Safari yetu ya Kigoma toka Dar es
Salaam ilikuwa ndefu sana … wapo
walioshuka katika kituo cha kwanza tu
Pugu, wengine Morogogo na vituo
vingine vilivyofuata na kupata vilevile
lakini tutafika tu,” alisema.
Akitoa historia fupi ya maisha yake
katika siasa, Mbowe alisema aliingia
akiwa kijana mdogo muasisi ambaye
alipata nafasi ya kukiongoza chama kama
mwenyekiti wa kwanza wa vijana,
baadaye kupata nafasi mbalimbali
ikiwamo uenyekiti.
Alisema aliingia katika chama hicho na
kuchanguliwa kuwa kiongozi, lengo
likiwa kufanya mabadiliko kwa vitendo
na si kwenda kupata faida kama watu
wengine wanavyofikiria.
“Lakini nilifanya kazi yangu ya kuijenga
CHADEMA hatua kwa hatua kwa maana
nyingine nimefanya kazi ya chama kwa
miaka 23 sasa bila kulipwa mshahara
wowote kwa sababu mimi ni
mfanyabiashara,” alisema.
Alisema chama akitatoa maamuzi ya
kumwonea mtu yeyote bali
kitamhukumu mtu kutokana na makosa
yake.
Mbowe anaongeaga ponti sana, nampenda sana huyu mwanasiasa, ona vijana akiowang,oa chuo wote wamefanikiwa.. Sasa hoyo Zitto sijui kwanini ametekeza kwa kweli..
 
Mbopwe ana point; chama hakijengwi kwa personalities, kinajengwa kwa principles.
 
Nimeidharau sana taarifa hii. Hivi na John Mnyika naye amesoma chuo Kikuu cha Dar es salaam?

We hujui kwamba alisoma ila hakumaliza... Usichokijua ni sawa na usiku wa gizi, Mnyika ni zaidi ya msomi mwenye master.
 
# #HAPO UNAHARIBU NI MTU MWENYE ELIMU YA WASTANI "ADVANCE DIPLOMA" PIA KUMBUKA ANAJIENDELEZA NA ELIMU YA JUU UINGEREZA,KWANI ELIMU Ni BAHARI

Watakuelewa hao?wao wanaamini elimu ya chuo kikuu(degree) hadi usome tu udsm,tena ukiwa unaishi hostel! huku kwingine ambako hawapajui kote ni darasa la saba!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom