Miaka 23 ya kula hela za chama halafu anasema hajalipwa mshahara,hili jamaa jizi kweli
As if yeye kadondoka toka mbinguni!!!!
Yeye kalelewa na nani??!!!
Role models hana??!!!
Kazaliwa anajua siasa sio??!!!
Ni aina gani ya kiongozi sasa anayetaka historia ziwe sehemu ya maamuzi???!!!!Why now kutoa hiyo taarifa???!!!Uswahilini tunaita kusimanga huku!!!!
Sio kila kitu unajua mnyika nimesoma nae pale BA BUSINESS ADMINISTRATION but alivyotangaza kugombea ubunge 2005 wakamuundia zengwe! so is true it was evening programmes!Nimeidharau sana taarifa hii. Hivi na John Mnyika naye amesoma chuo Kikuu cha Dar es salaam?
Mzee slaa alisha sema mjadala umefungwa lakini naona wao wenyewe wanauendeleza. Zitto ametulia kimya bila kumsema mtu vibaya,na yeye akifunguka si itakua mvurugano.hawa jamaa hekima imewapita kushoto kabisa.
Kweli nchi hii iko na matunumba wengi wapi amesema kuwa MNYIKA ni wa chuo kikuu soma uelewe kila neno acha kukurupuka ndugu, hisia zinakuharibu
Nikiwa katika harakati zangu za
kukijenga chama, nilipita Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam nilibahatika kuwapata
kina John Mrema, Halima Mdee, Zitto
Kabwe, John Mnyika wakiwa viongozi
ambao walipenda siasa ya mabadiliko,
nami nikaondoka nao bila ya kusita,
alisema.
Haikuhusu, nenda zako kachukue buk saba zako Lumumba. Pumbaf.....Miaka 23 ya kula hela za chama halafu anasema hajalipwa mshahara,hili jamaa jizi kweli
mbowe fata nyayo za madiba hacha majigambo
mbowe yeye ndiye kafikishwa hapo na zitto awambie katolewa wapi na zitto.
chama kilipata wapi hizo hela alizokula?[/QUOTE..ruzuku za vyama.makanisani na michango ya mafisadi wa kaskazini mwa tz