Miaka 23 ya kula hela za chama halafu anasema hajalipwa mshahara,hili jamaa jizi kweli
Nimeidharau sana taarifa hii. Hivi na John Mnyika naye amesoma chuo Kikuu cha Dar es salaam?

we umesoma kipi???
Nimeidharau sana taarifa hii. Hivi na John Mnyika naye amesoma chuo Kikuu cha Dar es salaam?
Tanzania hakujawahi kupata kiongozi kama freeman mbowe, hana ubinafsi na anaiongoza chadema bila chuki, amewaacha wengi wajulikane na hata slogan, mavazi ni ubunifu wake
Alijulikana kipindi kile kama 'sauti ya zege' alikuwa anavaa gwanda, na gwanda likawa sehemu ya vazi la chama
Zitto na wengine wengi wanaoota pembe, wamejisahau mno na hayo majigambo hayatawasaidia, Chadema haiwezi kufa sabbu ya kutoka Zitto, Chadema ni kama bahari, samaki hawezi sema eti bila mimi bahari itakauka! Ila bila bahari samaki atakufa
Zitto bila Chadema, atapotea kwenye medani za siasa za Tanzania labda akafundishe chuo kama alivyosema
Labda kukaa Ubungo ndo kusoma chuo kikuu cha Dar es salaam? Je na wale wanaokaa Ukonga?Nimeidharau sana taarifa hii. Hivi na John Mnyika naye amesoma chuo Kikuu cha Dar es salaam?