Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi Arusha


Utabakia kuwa Kenge tu ila this time Kenge jike ambalo hata halina uzazi .
 
ningekuwa sikujui wewe Lemunyu ningeshangaa baut wewe si unaishi kwa hisani ya wau wa kaskazini
 
Hata mazishi ya mzee Bob , wachaga woe hawakuchangia na yaligharimiwa na BOT, ukabila chadema upo?? wewe jiulize ben saanane kasoma uchungaji imekuwaje leo eti ni msaidizi wa slaa , kisa mkatoliki mwenzie
 
Historia hiyo haiwezi kufutika kwa chama cha Magamba, yaliyompata yule kada wao ambaye alikuwa na mtazamo tofauti alianguka na kufa mbele ya kikao, na hadi leo hii hakuna jibu sahihi ni kitu gani hasa kilichotokea.
 
Wauwaji wakubwa ni CCM na vyombo vya serikali yake. orodha ni ndefu sana!
 
hii mada ngumu aiseee

Wanatisha sana hawa ssiemu. Na hapo unaacha kwanza wizi wao from poo Tanzanians -- hata mkuu wao juzi kasema lichama lao litaanguka tu 2015 kwa wizi.
 
CCM ina historia mbaya sana ktk miaka yao 50 ya utawala -- sasa basi! Nashangaa kwa nini ICC haitupii machi nchi hii.
 
Kosa lake kubwa lilikuwa ni kutamka, "CCM imekosa muelekeo" basi kwa kauli hii manyang'au/magaidi ndani ya chama cha magaidi wakaamua kuchukua uhai wake.
 
Naona sasa wanaCDM twaanza kufunguka macho. CDM ufisadi na ukabila vyota mizizi minene hatari.
 
Utabakia kuwa Kenge tu ila this time Kenge jike ambalo hata halina uzazi .

Naipenda sana CHADEMA ila ninakatishwa tamaa na uongozi wake wa sasa.Najua kuna baadhi ya vijana wa CHADEMA watakuja kuukejeli UZI huu kama kawaida yao wakidhani wanakisaidia CHADEMA kumbe wanalea kansa ya kuisambaratisha CHADEMA huko mbeleni.Mwanzoni hata mimi niliamini kwamba madai ya UKANDA na UKABILA dhidi ya Uongozi wa juu wa CHADEMA zilikuwa ni propaganda chafu tu za CCM ili kuihujumu CHADEMA kama ilivyofanya kwa CUF,Lakini kama alivyo Curious Mind yeyote yule akisikia jambo flani lazima alifuatilie.Safu ya Uongozi wa juu wa Chama haukunisumbua sana ila kitendo cha CHADEMA kumtafuta mrithi wa Rejia Mtema kutoka Kaskazini badala ya kuwapatia WanaKilombero mrithi mwingine kiliniuma lakini nikapuuza.Nilishtuka pale CHADEMA walipokiuka kanuni kumpitisha Komu kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki bila kumshindanisha na wengine walioomba kukiwakilisha Chama hapo ndio nilianza kuushtukia mchezo mchafu.
 
Hata mazishi ya mzee Bob , wachaga woe hawakuchangia na yaligharimiwa na BOT, ukabila chadema upo?? wewe jiulize ben saanane kasoma uchungaji imekuwaje leo eti ni msaidizi wa slaa , kisa mkatoliki mwenzie
Kumbe we jamaa mdini sana,huna hata aibu eti mkatoliki...
 
Atajwe kwa lipi,kivipi,wapi,na nani? na akishatajwa inakuwaje?
Kapigwa,kapiga,kalapesa za ccm, kachoka kukaa na majitu malafi ya mali malafi ya mdaraka makabila na madini
 

Nadhani umegunduwa kuwa ulicho andika mwanzo hukupaswa kukiandika huo ndio ustaarabu hongera sana. Lakini pia ujue hakuna chama kinacho kubali chalege za chama kingine lakini chalege ni lazima zijitokeze je kuzikabili chalege ni kwa kupigana na kunyanganyana simu na laptop. Wp mzee mtei wapi mzee ndesa wp mzee Arfi au nyie hamuheshimu hawa wazee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…