Mbowe: Mpango wa kuhamia Dodoma ni wa kukurupuka

Kwani "Kukurupuka" maana yake nini? kuna watu mnaweza kumbishia mbowe bila kuelewa maana ya kukurupuka. Yule anayepingana na kauli ya mbowe, aweke maana ya kukurupuka hapa ili tuone kama ilichofanya serikali ni kukurupuka au la.
Kukurupuka ni kupanga kufanya kitu bila ya kujiandaa. Sasa huyo Mbowe anaweza kuthibitisha ni jinsi gani uamuzi wa Rais kuhamia Dodoma ni kukurupuka?. Kumbuka mpango wa kuhamia Dodoma upo tangu miaka ya 70, ulikuwa unasubiri utekelezaji tu.
Haiwezekani kila mwaka tuwe tunaahirisha uamuzi kwa sababu ya kutafuta visingizio.
 
Kushabikia Chadema mpaka urukwe na akili kidogo
Unamaamisha mpaka mtu awe na tabia ya kunywa viroba ili apate mzuka wa kuandamana wakati wa jua kali la mchana?. Kama ni hivyo basi kazi wanayo, huyu Ngosha ukibeep tu anakupigia pale pale.
 
Cdm wanatapatapa hakuna wanaloweza kulifanya.. wameishiwa sere uchafu wa serikali iliyopita hasa ufisadi uliwapatia umarufu saana baada ya kuona mafisadi wamebanwa na Magufuli wamekoswa mwelekeo mara wajzibe pampas midomon, mara wajenge ukuta na bado watatapatapa saana na hawata furukuta. Iman ya wananchi kwa serikali inarudi kwa kasi
 
sere==sera
umarufu ==umaarufu
wajzibe==wajibize
imani ==imani
Rudi darasani ukajifunze kuandika kwanza
Cdm wanatapatapa hakuna wanaloweza kulifanya.. wameishiwa sere uchafu wa serikali iliyopita hasa ufisadi uliwapatia umarufu saana baada ya kuona mafisadi wamebanwa na Magufuli wamekoswa mwelekeo mara wajzibe pampas midomon, mara wajenge ukuta na bado watatapatapa saana na hawata furukuta. Iman ya wananchi kwa serikali inarudi kwa kasi
 
Acha ushamba mtk kwa akili ndogo tu unadhan jambo hilo ni la kukurupuka?? Unadhan hawajadiscuss ndani ya baraza la mawaziri? Hiz ni attacks ndogo tu za kuwapanikisha ukawa ma ukuta wao kuwaonesha umahiri wa serikali hii
 
Umesoma sababu zimeelezwa na Mbowe au unakurupuka kujibu?
Acha ushamba mtk kwa akili ndogo tu unadhan jambo hilo ni la kukurupuka?? Unadhan hawajadiscuss ndani ya baraza la mawaziri? Hiz ni attacks ndogo tu za kuwapanikisha ukawa ma ukuta wao kuwaonesha umahiri wa serikali hii
 
Sasa huyu mbowe ndo kaongea nn? Mara hayo mawazo ya mwlimu ya zamani..mara wahame kidogo kidogo..which is which?? bonge la rubish...
 
Mbona unatokwa na povu sana hoja hupingwa kwa hoja siyo mipasho
 
Inashangaza sana pale Boya anae unga mkono na kushangilia kila kitu ana mshangaa mwezie anaye kosoa na kupinga kila kitu. BTW Mbowe kapinga kitndo cha kuhamia ghafla ndani ya Muda mfupi na amependekeza wizara zihame kidogo kidogo kwanza.
 
tumewachoka hawa wapinzani sasa, kila kitu hawataki! halafu wanakuwa kama waganga wa kienyeji, hata daftari la wapiga kura walituaminisha halitakamilika kwa muda na kwamba kikwete anataka kuongeza muda kuwepo madarakani, utabiri huo sijui uliishia wapi? sasa waache kutuaminisha kwamba haiwezekeni kuhamia dodoma,tumechoka
 
Nampongeza sana Mzee Mbowe kwa kuwa na uelewa mkubwa pongezi zangu za dhati zikufikie, wanaosema mbowe amekosea nadhani ni wasela hawana familia endapo kama wangekuwa na familia wangekubaliana na mawazo ya Mbowe , binafsi sipingi suala la kuhamia Dom isipokuwa kuna haja ya kuwashilikisha wataaram ili wasaidie katika kushauri juu ya jambo hili. Kuhamia Dodoma kutawaumiza watumishi wa umma kwani watumishi wengi wamesettle na kwakweli wengi wapo kwenye mikopo ambayo kwa namna moja au nyingine walikopa ili kujistili wao na watoto wao na wake/waume zao sasa gafla unasema kesho ameni tena bila ufafanuzi mzuri kwakweli watumishi wa serikali wanalia machozi ya damu wewe unayesema mpango huu utekelezwe haraka nadhani ni mtu wa kijiweni na pengine hauna upendo na familia yako.
pili jambo hili halipo kwenye bajeti pia tunavyo vipaumbele vingi kwa sasa kama vile shule, hospitali, maji nk hivyo sizani kama kuhamisha watumishi wote kwa sasa ni jambo ambalo limezingatia tahaluma ya uchumi. swali: mshauri wa uchumi wa mheshimiwa yuko wapi?

Hongera mzee mbowe pia nakushauri msajili kituo cha televisheni hii itawasaidia katika kuelimisha wananchi kupitia televisheni yenu maana kwa sasa mtakosa pa kusemea
Nasikitika kwa wale wanaomsifia Mbowe kwamba ana uelewa,Binafsi hata kama ungeniamsha saa kumi usiku kabla sujaafumba macho nitakwambia katika Viongozi wa kisiasa ambao hawana maaana Tanzania ni Freeman Mbowe,kwanza anajifanya mbabe,Mbishi, lakini hana sifa kabisa mwaka 2008 na 2009,nilishwahi kumhoji mbowe katika kikao chake cha Tianxiu Guangzhou...nakumbuka ilikuwa wiki tatu kabla ya kifo cha chacha wangwe..ambapo siku hiyo Mbowe alisema Chacha wangwe hafai na hana uwezo wa kuwa mwenyekiti wa Chadema,na mwisho aliapa kuwa Haitakaa hata siku moja Chama kiongozwe na wakulya...lakini mbaya zaidi alikejeli kwa kusema huyo chacha wangwe hatamaliza mwezi na kweli wiki tatu kabla ya huo mwezi Chacha wangwe alifariki mungu amrehemu huko aliko.....Huwa nikimwona Mbowe kwenye vyombo vya habari huwa nahisi kuwa Sio mtanzania na mzalendo.Lakini huyo mbowe anaishia kwenye maneno strategically he is nothing ..Pia huyo Mbowe mnaemsifia mwambie kuwa tofauti na kujilimbikizia mali za Chama cha chadema je anawakumbuka hao anaowaita makamanda hata kuwawezesha kiuchumi.Yeye akiwa miaka hiyo BOT alikuwa anakomba fedha za watanzania walipa kodi,alikuwa anajiandikia Cheki feki anakwenda kununua fedha za kigeni ambazo alikuwa anaziuza kwa bei juu na kujilimbikizia mali za umma.Jambo ambalo mimi kama mchumi namuhesabu kama mhujumu uchumi...Mbaya zaidi kampuni zake tunazijua amekuwa akiagiza mizigo uchina na amewahi kuingiza makontainer kuanzia mwaka 2000 mpaka 2010 bila kulipa kodi,mengine anaandika transist anayagauzia njiani ..Na ikifunguliwa mahakama ya mafisadi lazima asogezwe kama sio na sisi wananchi tutaandamana.
 
Daaah huyu mnywa viroba wa moshi kila kitu anapinga daaah nmeamini yule jamaa m/kiti alianza na viroba na atamaliza kwa viroba
 
Pointi ipo,, pale anaposema ingewezekana kwa Wizara moja au mbili kuhamishwa kwa kila mwaka wa fedha,, hii ina maana Serikali ingepanga bajeti ya kutosha kukamilisha zoezi hili kwa Wizara husika,,

Na hii pia ingejulikana mapema kwa Watumishi ktk Wizara husika kwamba wanapaswa kuhamia Dodoma hivyo wangejipanga vzr ktk kuandaa:
1: Uhamisho wa watoto wa shule
2: Kuandaa makazi ya ugenn Dodoma

3:Kuandaa namna watavyo yaacha makazi yao ya sasa,, maana wengine wana mifugo kama kuku,, nguruwe,, paka,, mbwa,, ng,ombe,, mbuzi nk .wangejipanga ni namna gani watawasafirisha wanyama hawa,, sidhani kama Serikali ina utaratibu wa kuwasaidia watumishi hawa namna ya kusafirisha mifugo hii.

4 : Kuna wategemezi ,, wagonjwa,, ambao walizitegemea familia hizi sasa hawajui wataachwaje,, maana serikali inasafirisha watoto 4 mke na mume tu.

Kusema Ajua si dhambi Serikali inaweza ikaahirisha zoezi hili likafanyika Awamu kwa awamu.
 
Uko sahihi kabisa mkuu wengi wanashindwa kuelewa hizo sababu wanaishia kumshambulia Mbowe kwa chuki zao binafsi
 
Nasikitika kwa wale wanaomsifia Mbowe kwamba ana uelewa,Binafsi hata kama ungeniamsha saa kumi usiku kabla sujaafumba macho nitakwambia katika Viongozi wa kisiasa ambao hawana maaana Tanzania ni Freeman Mbowe,kwanza anajifanya mbabe,Mbishi, lakini hana sifa kabisa mwaka 2008 na 2009,nilishwahi kumhoji mbowe katika kikao chake cha Tianxiu Guangzhou...nakumbuka ilikuwa wiki tatu kabla ya kifo cha chacha wangwe..ambapo siku hiyo Mbowe alisema Chacha wangwe hafai na hana uwezo wa kuwa mwenyekiti wa Chadema,na mwisho aliapa kuwa Haitakaa hata siku moja Chama kiongozwe na wakulya...lakini mbaya zaidi alikejeli kwa kusema huyo chacha wangwe hatamaliza mwezi na kweli wiki tatu kabla ya huo mwezi Chacha wangwe alifariki mungu amrehemu huko aliko.....Huwa nikimwona Mbowe kwenye vyombo vya habari huwa nahisi kuwa Sio mtanzania na mzalendo.Lakini huyo mbowe anaishia kwenye maneno strategically he is nothing ..Pia huyo Mbowe mnaemsifia mwambie kuwa tofauti na kujilimbikizia mali za Chama cha chadema je anawakumbuka hao anaowaita makamanda hata kuwawezesha kiuchumi.Yeye akiwa miaka hiyo BOT alikuwa anakomba fedha za watanzania walipa kodi,alikuwa anajiandikia Cheki feki anakwenda kununua fedha za kigeni ambazo alikuwa anaziuza kwa bei juu na kujilimbikizia mali za umma.Jambo ambalo mimi kama mchumi namuhesabu kama mhujumu uchumi...Mbaya zaidi kampuni zake tunazijua amekuwa akiagiza mizigo uchina na amewahi kuingiza makontainer kuanzia mwaka 2000 mpaka 2010 bila kulipa kodi,mengine anaandika transist anayagauzia njiani ..Na ikifunguliwa mahakama ya mafisadi lazima asogezwe kama sio na sisi wananchi tutaandamana.
Wenye uelewa mdogo kama wewe mmeshindwa kumwelewa Mbowe sababu ambazo amezitoa umeishia kuandika upuuzi hakuna point hata moja kwenye bandiko lako umeishia darasa la ngapi?
 
Back
Top Bottom