Mbowe: Mpango wa kuhamia Dodoma ni wa kukurupuka

Mbowe: Mpango wa kuhamia Dodoma ni wa kukurupuka

kukurupuka ni kufanya kitu kwa mhemko pasipo kuwa na plan hapo mwanzoni

suala la Dodoma liko kwenye plan ya nchi yetu Tangu Enzi za nyerere..Ndio maana CDA iliundwa........

Ilani ya CCM ya 2015 imeliongelea hili pia

why tumlaumu Mh Rais

Tusiwe this kind of people.......Ili wananchi watuelewe inapaswa sometimes tuongee Lugha yao...we need to change

Mbowe amechoka.....he keeps doing the same thing..same way...expecting different results
Wewe ndo umechoka ndo umeshindwa hata kuelewa sababu zimetolewa Mbowe zipo wazi au umekimbilia kujibu bila kusoma?
 
Mbowe anaweza kuwatuma BAVILO(Baraza la Vijana wa Lowassa) waende Dodoma kuzuia serikali isihamie huko.
 
Hawa Chadema wanapinga kila kitu wanasahau kuwa walihubiri mabadiliko wakati wa uchaguzi???

Sasa walitaka mabadiliko ya nini wakati kumbe wanapenda mambo yabaki as usual??

Mahakama ya Mafisadi wanapinga

Kuzuia safari za nje wanapinga

Kuhamia Dodoma wanapinga

Kukusanya kodi wanapinga.

Majambazi kukamatwa wanapinga.

Walihubiri mabadiliko kumdanganya nani??

Watu wenyewe wameshindwa mpaka sasa kujenga ofisi ya saccos yao leo waelewe makao makuu ya nchi kuhamia Dodoma!
 
Milipuko mingine sio ya kujibu unaweza kuonekana nawe unalipuka mkuu.
 
Mbowe ameongea kwa mifano na hoja, wewe unajibu kwa ngonjera. Hebu onesha jinsi huo mpango ulivyo positive huku ukimrejea Mbowe kwa yale aliyoyasema kuhusu BAJETI, USUMBUFU, FAMILIA NA MIFUMO YA KIUCHUNGUZI YA POLISI

Mnavyomsifia Dj hata akisema chadema ni saccos ya familia yake mtamuunga mkono tu.
 
yeah...kuna uwezekano kukatokea adha na usumbufu mkubwa zaidi ya ule wa maamuzi ya sukari.

usumbufu kama huo ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi kubakia a cohesive unit.

Sasa Mbowe ameutelekeza UKUTA?
 
Hawa Chadema wanapinga kila kitu wanasahau kuwa walihubiri mabadiliko wakati wa uchaguzi???

Sasa walitaka mabadiliko ya nini wakati kumbe wanapenda mambo yabaki as usual??

Mahakama ya Mafisadi wanapinga

Kuzuia safari za nje wanapinga

Kuhamia Dodoma wanapinga

Kukusanya kodi wanapinga.

Majambazi kukamatwa wanapinga.

Walihubiri mabadiliko kumdanganya nani??
Nyoka alishapigwa kichwa umebaki mkia
 
Hii hoja ilipaswa kujibiwa na watu wenye ubongo kwenye uboho wa kichwa siyo watu wenye vichwa vilivyojaa maji ya kifuu a.k.a vichwa vya madafu! Mbowe katoa mpaka mifano ya jinsi mambo yakavyokuwa magumu pasipokuwa na uhamaji wenye mipango thabiti. Katoa mfano wa wizara ya kilimo, mifugo na uvivu yenye watumishi zaidi ya 2,000 mafaili yenye kujaa semi-trailer sasa unaipa wiki moja iwe imehamia Dodoma una kichwa chenye akili wewe? Saa ngapi umeshaandaa shelves za kuhifadhia hayo mafaili? Saa ngapi umeandaa ofisi za kuwatosha hao watumishi wote? Saa ngapi umeshaandaa mtandao wa mawasiliano? Mbowe yuko sahihi, huo ndo ushauri unaopasa kufuatwa na watu wenye akili (unahamisha wizara chache kila mwaka). Kwa mfano alivyosema wizara kama 2 au 3 kwa mwaka huu ilikuwa sahihi, wangeanza kujipanga sasa hivi mpaka kufika Desemba wizara zote hizo 2 au 3 zinakuwa zimeshahamia Dodoma, mwakani kwa vile unaanza Januari unahamisha wizara kama 5 hivi na mpaka kufikia 2020 unakuwa umeshamaliza kabisa hili tatizo. Sasa hivi hawa watumishi wanaokurupushwa kwenda Dodoma kila Ijumaa jioni watakuwa wanaandamana kwenda Dar kufuata familia zao.
 
Ukiweka Chuki dhidi ya magufuli na sisi walalahoi tunasema udhaifu wa Mbowe na mabaya yake Tanzania hii
Hoja za mbowe hazina mvuto kwa wanyonge kama sisi,hazina hata chembe ya msaada kwa watanzania wa chini.Kama unaona anafaa mwambie magorofa aliojenga Dubai kwa kukwepa kodi za Tanzania azirudishe hapa nchini zisaidie kuwekeza kwenye viwanda watanzania wapate ajira...ndio tutamsaidia kuandamana
 
kwani ni lazima na wao wahame si wabaki tu hukohuko dar...........

Hivi kwa mfano bwana Tony, ungekuwa huu ni mjadala wa wazi unaohusisha watu wenye akili timamu ungeweza kusimama na kutoa hoja kama hii? Kuwa nyuma ya key board kusiwafanye mjivunjie heshima. Mbona kuna watu wanaheshimika na kuonekana wana akili humu wakati hata sura zao hazijulikani?
 
Una kichwa cha dafu kiongozi bora ujinyamazie tu!
Ahahaha JOB K hapo ulipo bila mbowe chooni huendi ndio maana unamuona wa maana sisi wengine tunamuona hana maana zaidi ya ubinafsi alionao..Mwambie kama mwanaume aende Tarime kama hawajamkimbiza maana ndugu zake Chacha wangwe machozi hayajaisha wanamsubilia akosee ramani..
 
Serikali inahamia Dodoma kwan na mbowe ni serikali? yeye aendelee kukaa dar.
 
Hivi kuna kitu gani Mbowe amewahi kuongea positively juu ya JPM? sasa hii leo mnategemea ndo aanzeje kusifia ya rais? kenge hawezi kuzaa samaki hata siku moja
 
Hii hoja ilipaswa kujibiwa na watu wenye ubongo kwenye uboho wa kichwa siyo watu wenye vichwa vilivyojaa maji ya kifuu a.k.a vichwa vya madafu! Mbowe katoa mpaka mifano ya jinsi mambo yakavyokuwa magumu pasipokuwa na uhamaji wenye mipango thabiti. Katoa mfano wa wizara ya kilimo, mifugo na uvivu yenye watumishi zaidi ya 2,000 mafaili yenye kujaa semi-trailer sasa unaipa wiki moja iwe imehamia Dodoma una kichwa chenye akili wewe? Saa ngapi umeshaandaa shelves za kuhifadhia hayo mafaili? Saa ngapi umeandaa ofisi za kuwatosha hao watumishi wote? Saa ngapi umeshaandaa mtandao wa mawasiliano? Mbowe yuko sahihi, huo ndo ushauri unaopasa kufuatwa na watu wenye akili (unahamisha wizara chache kila mwaka). Kwa mfano alivyosema wizara kama 2 au 3 kwa mwaka huu ilikuwa sahihi, wangeanza kujipanga sasa hivi mpaka kufika Desemba wizara zote hizo 2 au 3 zinakuwa zimeshahamia Dodoma, mwakani kwa vile unaanza Januari unahamisha wizara kama 5 hivi na mpaka kufikia 2020 unakuwa umeshamaliza kabisa hili tatizo. Sasa hivi hawa watumishi wanaokurupushwa kwenda Dodoma kila Ijumaa jioni watakuwa wanaandamana kwenda Dar kufuata familia zao.
Hizo hoja za kuhamiaa aachiwe JPM na serikali yake..sio mbowe maanahata gari la STK likiharibika njiani hataweza kulichangia spare parts au hata bolt hatachangia zaidi ya kuibuka kwenye vyombo vya habari na kusema vibaya..Suala la Kuhamia aachiwe mkuu wa nchi na taasisi husika.
 
Back
Top Bottom