Mbowe mpaka sasa kwenye ziara ya kidigital hajauliza alipo Ben Saanane

Mbona tumeanza tena kupangiana cha kufanya?? Mmesahau kuwa tumegawana majukumu? Wengine wanasifia ilhali sisi tunaponda?? Kama kazi zenu zimeisha semeni tuwape nyingine!

Mdude walipomkamata mara ya pili na kumweka kwenye gari walianza kumpiga kichwani na chupa na mateke alipopiga kelele “Mungu wangu” mmoja akamwambia “Mwambie aje akusaidie”
Baadaye walimng’ing’iniza na kumpiga shoti za umeme!

Wew ni hopeless kabisa
Ulikuwepo wewe shabiki maandazi?
 
As long as haipo kwenye interests zao hawawezi kuhoji kama ambavyo akina Mbowe sasa hivi wameufyata. Hao ndiyo wanasiasa, wanaangalia masilahi yao tu.

Enzi za Magufuli akina Mbowe walihoji kwa kuwa walijua wakifanya hivyo watanufaika, walikuwa na masilahi.

Ben, Azory, et al walitumiwa na CHADEMA, what a betrayal!
Walitumiwaje??

Kwahiyo Pia Akwilina alitumiwa???

Kina Katambi nao walitumiwa?

Kwahiyo hata zama zile bunge limetiwa mfukoni ! Mbunge anavuliwa ubunge ila spika bado anamtambua unasema ni kutumiwa?

Mchakato wa wale CoVid-19 kuapishwa garage napo CHADEMA waliwatumia?

Mawakala waliotekwa na kura feki kupitishwa nao walikua wanatumiw na CHADEMA?

Kwahiyo mleta mada mambo kama hayo hapo pichani hukuyashuhudia?
IMG_20201028_173703.jpg
 
Pesa za escrow si kaachiwa bwashee wenu Singa singa nyi mkafurahi
So huyo Muhindi ni Mwanachadema?

Je Tibaijuka aliyesema pesa za mboga ni mwanachadema pia??

Tibaijuka aliyesema haoni mantiki ya Chato kuwa mkoa ni mwanachadema pia?
 
So huyo Muhindi ni Mwanachadema?

Je Tibaijuka aliyesema pesa za mboga ni mwanachadema pia??

Tibaijuka aliyesema haoni mantiki ya Chato kuwa mkoa ni mwanachadema pia?
Huelewi nn mbona nyi ndo washangiliaji wakuu
 
Nakwasababu Mungu ndio Alpha na Omega

Akamnyakuwa mwendazake pia ili akajieleze, mamlaka ya kuondolea wengine life aliyapata wapi?

Sasa hivi kesi inaunguruma huko kwa Almighty God.
jiwe anajitetea kwa baba yake ulinichagua wewe mkuu shetani sasa mbona unanigeuka? Baba!!!

Shetani lile jamaa ni jeuri linampiga mdomo nyamaza uliwe!! Kenge wee!! Kwani hukujua??? Mungu aliwapa nafasi ya kutubu?? Ukadharau?
kwa nini hukujifunza kwa jakaya?? Yeye aliomba msamaha kwa ulimboka!!!!
 
Back
Top Bottom