MBOWE mnatuharibia chama, chama kinazidi kupotea

mayange

usitake kujipa ujiko usiokuhusu,lugha yako tu inaonyesha kuwa wewe ni gamba halafu unajidai kuwa unauchungu sana na cdm. Tulia dawa ipenye na mwaka huu mnalo.
 
Last edited by a moderator:
mayange

ukitaka kujua akili ya mtu mpe nafasi ya kusema au kutenda.classify yourself .
 
Last edited by a moderator:
sio mwanachama kwa hoja ipi? Au nawe ndio wale washabiki mnashabikia na kutuhumu mwenzenu bila ya hata kufikiria? Mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki? Mnatuharibia chama.
Kama chama kimekuchosha si uende act au ccm? unalalamika nini?
 
mayange
Hahaaaaaa! Mbona hapa mjinga anaeleweka wazi kabisa!? Labda ni saidie mjinga ni anaye tetea ufisad ukifanyika kwele nchi yake na kuushangili au ni yule anae ona ifisadi na kuuongea!? Nadhani hadi hapo umesha mpata mjinga ni yupi.
 
Last edited by a moderator:
Kwa watu wasio elewa hiki
wanachokifanya kambi rasmi
yaupinzan wanaona kama
hawatendisawa lakin nakwambia
wanachofanya ni maandiko ya neno la
Mungu yasemayo TOKEN KATI YAO
WAFANYAO UFISADI MKATENGWE NAO
MSIGUSE KITU KICHAFU.
 
Eehh.....ndugu yangu Mharishaji nawe upo ehee.....!!

To God be the Glory....AMINA!!
 
We we ni mtu mjinga mjinga usiye jitambua hata kidogo
 
Yaani wewe pamoja na kwamba ni darasa la saba,hujaona ushahidi uliotolewa!? Kila kitu kimewekwa pale mpaka transaction zilizofanyika zimewekwa wazi,lkn bado unataka ushahidi! Kilichonishangaza,ni maelezo yako kuwa umesoma maelezo ya zzk ukaona yanaukweli. Sijui ni ukweli gani umeuona,maelezo ya zitto yameongeza ukakasi zaidi hata kwa mashabiki wake. Kwa watu km nyinyi mnaotumia viungo vingine kufikiri,mngekuwa mnasoma tu kuondoka! Mambo km haya yanahitaji watu wanaofikiri kwa kichwa!
 
mayage haaminiki maana hata katika gazeti la raia mwema aliwahi kuandika makala kuiponda chadema miaka 2 iliyopita,lakini pia mwanachama mweledi wa chadema anae jua katiba anafahamu njia za kukosoa na kushauri chama ni kwenye vikao rasmi lakini wewe unakosoa chama chako hadharani tena unapambana na mwenyekiti wako taifa hadharani;wewe mayage ni gamba
 
sio mwanachama kwa hoja ipi? Au nawe ndio wale washabiki mnashabikia na kutuhumu mwenzenu bila ya hata kufikiria? Mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki? Mnatuharibia chama.

We masalia au Gamba urijino.Maoni yako hayawezi kuwa ya mwana CDM,Kwetu hakuna miemko kama ya masalia na magamba.
 

yakweli hayo?
 

hao wananchi unaowasemea nmi wapi mbona mimi pia ni mwananchi na sioni madhara ya zuberi zitto kwa chadema zaidi ya ukweli wa chadema mamluki kujulikana,ukiwemo wewe mtoa hoja hii?
 

well said mkuu,umesema kweli na haki tupu,mungu akubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…