Plan Of Action
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 462
- 382
njoo tena usome comment yako mkuu.Kweli EL ni bubu na dhaifu. Amekuwa mhudhuriaju mzuri wa bunge. Wakati upinzani wanaibua ufisadi bungeni kama escrow Mhe. Huyu anayetaka nchi hakusikika kukemea wala nn. Mana yake alikuwa analinda maslah ya chama (wezi) na kushindwa kutetea maslah mapana ya taifa.
Hii mana yake hana uzalendo na ni mmoja kati ya wapigaji wa raslimali za watanzania. Kwa hili EL na yeyote awaye toka CCM hana sifa kuwa Rais wetu.