Mbowe kuwauzia UKAWA malori ya Kampeni

Mbowe kuwauzia UKAWA malori ya Kampeni

mpinga shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,234
Reaction score
960
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anapiga dili za kichini chini ili awauzie UKAWA malori chakavu ya kufanyia kampeni.
Source... Mmoja wa wajumbe wa mkutano
 
Kwa kawaida huu huwa wakati wa mwenyekiti kukopesha chama mikopo hewa na baadae kudai interest ya 100%. Jamaa ana drain chama
 
Hivi wewe jinsia yako ni ya KE au ME??????Maana unachonga sana.
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anapiga dili za kichini chini ili awauzie UKAWA malori chakavu ya kufanyia kampeni.
Source... Mmoja wa wajumbe wa mkutano
 
Sasa kumekucha sasa kumekucha KADA wa chademaaaaa tumpe kura za ndiooooo
 
Akiwauzia wewe, mama ako, baba ako, wanapungukiwa na nini?

Sasa jazba za nini mkuu? Mshabananishwa kwenye kona, mtajamba cheche...bakieni na vidili vya ndani ya chama tu. Kushika dola mtakusikia tuu
 
Sasa jazba za nini mkuu? Mshabananishwa kwenye kona, mtajamba cheche...bakieni na vidili vya ndani ya chama tu. Kushika dola mtakusikia tuu

Hakuna jazba kama unayo kaombe tender nawe uuze soko huria hili.
 
Akiwauzia wewe, mama ako, baba ako, wanapungukiwa na nini?

Hawatapungukiwa kitu ila watakuwa wamepata jibu sahihi la kwenda kumwambia mama yako aliyekuficha siri kuwa humjui baba yako(kwa kuwa unaishi na baba asiye baba yako kwa upunguani wako) ili wakushauri ujue kuwa neno fisadi lilianzia kaskazini kwa mmiliki wa saccos yake iitwayo CHAGADEMA...Ambapo alimuweka mkwewe ili waendeleze dili zao na huku wewe ukiwa na mahaba niue na wenzio wakipiga dili.
 
Wazo la kitoto, nenda kakojoe ulale huna hoja
 
Hawatapungukiwa kitu ila watakuwa wamepata jibu sahihi la kwenda kumwambia mama yako aliyekuficha siri kuwa humjui baba yako(kwa kuwa unaishi na baba asiye baba yako kwa upunguani wako) ili wakushauri ujue kuwa neno fisadi lilianzia kaskazini kwa mmiliki wa saccos yake iitwayo
CHAGADEMA...Ambapo alimuweka mkwewe ili waendeleze dili zao na huku wewe ukiwa na mahaba niue na wenzio wakipiga dili.

Mbona watu mnamahaba namna hii?hivi kunawapigadili zaidi yamakada wa ccm nchi hii?
 
Back
Top Bottom