Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anapiga dili za kichini chini ili awauzie UKAWA malori chakavu ya kufanyia kampeni.
Source... Mmoja wa wajumbe wa mkutano
Sasa kumekucha sasa kumekucha KADA wa chademaaaaa tumpe kura za ndiooooo
Akiwauzia wewe, mama ako, baba ako, wanapungukiwa na nini?
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anapiga dili za kichini chini ili awauzie UKAWA malori chakavu ya kufanyia kampeni.
Source... Mmoja wa wajumbe wa mkutano
Akiwauzia wewe, mama ako, baba ako, wanapungukiwa na nini?
Si kila mtu anaolewa kama wewe.Mbona ccm inaingia mikataba ya kidhulumati katika madini na gesi na bado umekaa kimya ,barabara sub standard ya mabasi yaendayo haraka BRT dar es salaam ina jengwa bado umekaa kimya hilo la mbowe ndiyo limekukuna, hivi wewe embu nikuulize kwanza umeolewa au umeshachumbiwa?
Swali la msingi sana hili
Mungu wangu! Amerudia tena ufisadi ule ule wa 2010 na bado atawauzia na maspika mabovu! Lakini kwa kuwa wapenzi wa Mbowe ni sikio la kufa, ngoja uone watakavyoropoka![/QUOTE
Aiseee kweli ccm amechoka
Acha kushabikia upumbavu wewe, kwa maana hiyo unasupport/unahalalisha kinachotaka kufanyika? Je kama ni kweli kinachosemwa we unaona ni sawa ,mwenyekiti wa chama kufanya hivyo. Ungekuwa na akili timamu ungeanza kwa kulaani ujenzi chini ya kiwango wa BRT,then kwa msimamo huo huo wa kuchukia maovu ungeonesha kutoliunga mkono suala lililosemwa na mtoa mada. By the way, MTOTO WA JIRANI AKILA MAVI HAKUHALALISHI KUMWACHA MWANAO NAE ALE MAVIMbona ccm inaingia mikataba ya kidhulumati katika madini na gesi na bado umekaa kimya ,barabara sub standard ya mabasi yaendayo haraka BRT dar es salaam ina jengwa bado umekaa kimya hilo la mbowe ndiyo limekukuna, hivi wewe embu nikuulize kwanza umeolewa au umeshachumbiwa?
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anapiga dili za kichini chini ili awauzie UKAWA malori chakavu ya kufanyia kampeni.
Source... Mmoja wa wajumbe wa mkutano
Msheziiì wewe hujielewi kenge
Ni kweli Mbowe hajielewi. Ila usimtukane huyo mkwe wa Mtei
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anapiga dili za kichini chini ili awauzie UKAWA malori chakavu ya kufanyia kampeni.
Source... Mmoja wa wajumbe wa mkutano
Akiwauzia wewe, mama ako, baba ako, wanapungukiwa na nini?
kwani hukumbuki alihojiwa na BOT jinsi alivyotorosha hela TZ na kwenda kujenga mahekalu DUBAI? Hakuna msafi kakahakuna msafi ata mbowe!!!