Mbowe kuwania tena uenyekiti CHADEMA

Mbowe kuwania tena uenyekiti CHADEMA

Viongozi wa CHADEMA hawachaguliwi kwa kufuata kanda, mikoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji, wala kitongoji au eneo lolote ambalo mtu anatoka. Mwenyekiti Mbowe, hakuchaguliwa kwa sababu anatoka Muro, Nshala, Hai, Kilimanjaro wala Kaskazini. Alichaguliwa, tena kwa kufuatwa na kuombwa kwa sababu ya uwezo wake, ambao ndiyo unawatisha kweli CCM na wanatamani na kuomba usiku na mchana asiendelee kuwa kiongozi wa CHADEMA.

Kabla ya Kamanda wa Anga Mbowe hajaombwa kugombea, kisha kuchaguliwa na wanaCHADEMA kupitia mkutano mkuu awe kiongozi wao mkuu, Mwenyekiti alikuwa ni Mohamed Alli 'Bob' Nyanga Makani, huku Katibu Mkuu wake akiwa ni Dkt. Amani Wallid Kabourou.

CHADEMA kitaendelea kuwa taasisi bora inayoimarika siku hadi siku, tangu kilipoanzishwa kwa sababu kinasimamia misingi yake na kutetea Watanzania wote, hususan wale wanaofanywa kuwa wanyonge na maskini kutokana na mfumo na utawala mbovu wa CCM unaoatamia ufisadi na ubadhirifu dhidi ya haki na matumaini ya wananchi.

Ndani ya CHADEMA hakuna uhusiano wowote wa kuwa kiongozi mkuu wa chama na kushinda nafasi ya kiserikali iwe ni uenyekiti wa kitongoji, uenyekiti wa kijiji, udiwani, ubunge na hata urais.

Mwenyekiti Mbowe amekuwa Mbunge wa Hai kabla hajawa Mwenyekiti wa Chama Taifa, halikadhalika Katibu Mkuu Dkt. Slaa amekuwa Mbunge wa Karatu kabla hajawa Makamu Mwenyekiti wa chama wala nafasi ya sasa.

Ushawishi wa Mbunge Godbless Lema, jimboni kwake na nchi nzima kwa ujumla, haujawahi kutegemea ubunge. Ni namna anavyosimama na wananchi wanyonge na maskini kutetea haki na ubinadamu wao, kupinga dhuluma, uonevu na ukandamizwaji wa demokrasia ambao hatimaye umesababisha kuvia kwa maendeleo ya watu.

Vivyo hivyo kwa Joshua Nassar ambaye amejitokeza kuwa mmoja wa wabunge wanaotumia muda wao mwingi na wapiga kura wake.

Viongozi wa CHADEMA, iwe katika nafasi ndani ya chama au za kiserikali, wataendelea kukubalika kwa sababu wanasimamia maslahi na matakwa ya umma ambao ndiyo moja ya misingi ya CHADEMA.

Itafika mahali wanaCHADEMA watalazimika kuwauliza CCM maswali machache, ikiwa ni pamoja na;

  • Kwa nini wanataka kuichagulia CHADEMA viongozi?
  • CCM wanahofu gani na uenyekiti wa Kamanda Mbowe?
  • Kwa nini eti CCM inataka CHADEMA iwe na uongozi imara ambao unatokana na maoni ya CCM?

Tuache ushabiki,Mbowe ang'atuke kwenye uongozi apishe watu wengine ili chama kisonge mbele.Mabavu ya kundi la watemi likiongozwa na Lema linaua chama.Kitila Mkumbo oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
1724176_552340484864573_204906681_n.jpg

Kuvimbiana kote huku kunatokana na urafi wa CCM kwa mali wanayo waibia wananchi.Ipo siku matumbo yote yatapasuka na mali ya wananchi inayowafanya mvimbiane mutaitapika.
 
hapa nafasi ya propaganda hakuna umeelewa gamba ww ungana na zitto
 
Kwa hali hii ni haki ya Tz kuendela kuwa masikini kutokana na chama tawala kuwa wabinafsi wa kujipendelea wao ili washibe wao kwanza huku wakimuacha mwananchi akiwa ana kufa kwa utapia mro.Hakuna njia nyingine ya kulikoa Taifa isipo kuwa ni kuiondoa CCM madarakani vinginevyo CCM wataendelea kuwaibia wananchi ili waendelee kunenepeana kama hivi.CCM hawana huruma na wanachi.Katika utawala wao ni CCM kwanza maendeleo kwa mwananchi badae.
 
Viongozi wa CHADEMA hawachaguliwi kwa kufuata kanda, mikoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji, wala kitongoji au eneo lolote ambalo mtu anatoka. Mwenyekiti Mbowe, hakuchaguliwa kwa sababu anatoka Muro, Nshala, Hai, Kilimanjaro wala Kaskazini. Alichaguliwa, tena kwa kufuatwa na kuombwa kwa sababu ya uwezo wake, ambao ndiyo unawatisha kweli CCM na wanatamani na kuomba usiku na mchana asiendelee kuwa kiongozi wa CHADEMA.

Kabla ya Kamanda wa Anga Mbowe hajaombwa kugombea, kisha kuchaguliwa na wanaCHADEMA kupitia mkutano mkuu awe kiongozi wao mkuu, Mwenyekiti alikuwa ni Mohamed Alli 'Bob' Nyanga Makani, huku Katibu Mkuu wake akiwa ni Dkt. Amani Wallid Kabourou.

CHADEMA kitaendelea kuwa taasisi bora inayoimarika siku hadi siku, tangu kilipoanzishwa kwa sababu kinasimamia misingi yake na kutetea Watanzania wote, hususan wale wanaofanywa kuwa wanyonge na maskini kutokana na mfumo na utawala mbovu wa CCM unaoatamia ufisadi na ubadhirifu dhidi ya haki na matumaini ya wananchi.

Ndani ya CHADEMA hakuna uhusiano wowote wa kuwa kiongozi mkuu wa chama na kushinda nafasi ya kiserikali iwe ni uenyekiti wa kitongoji, uenyekiti wa kijiji, udiwani, ubunge na hata urais.

Mwenyekiti Mbowe amekuwa Mbunge wa Hai kabla hajawa Mwenyekiti wa Chama Taifa, halikadhalika Katibu Mkuu Dkt. Slaa amekuwa Mbunge wa Karatu kabla hajawa Makamu Mwenyekiti wa chama wala nafasi ya sasa.

Ushawishi wa Mbunge Godbless Lema, jimboni kwake na nchi nzima kwa ujumla, haujawahi kutegemea ubunge. Ni namna anavyosimama na wananchi wanyonge na maskini kutetea haki na ubinadamu wao, kupinga dhuluma, uonevu na ukandamizwaji wa demokrasia ambao hatimaye umesababisha kuvia kwa maendeleo ya watu.

Vivyo hivyo kwa Joshua Nassar ambaye amejitokeza kuwa mmoja wa wabunge wanaotumia muda wao mwingi na wapiga kura wake.

Viongozi wa CHADEMA, iwe katika nafasi ndani ya chama au za kiserikali, wataendelea kukubalika kwa sababu wanasimamia maslahi na matakwa ya umma ambao ndiyo moja ya misingi ya CHADEMA.

Itafika mahali wanaCHADEMA watalazimika kuwauliza CCM maswali machache, ikiwa ni pamoja na;

  • Kwa nini wanataka kuichagulia CHADEMA viongozi?
  • CCM wanahofu gani na uenyekiti wa Kamanda Mbowe?
  • Kwa nini eti CCM inataka CHADEMA iwe na uongozi imara ambao unatokana na maoni ya CCM?

Umejibu kishabiki sana hii kitu,isitoshe umetumia nguvu kubwa sana!! Mngekuwa mnafanya hivi pale zinapoletwa hoja za maana humu jukwaani kuhusu tuhuma za vigogo wa chadema ikiwemo kuporqa na kuoa wake za watu sanjari na kwenda kuvinjari nao nje ya nchi,ingependeza sana!!!
 
kaka,,yaani siku zote hapo ndio mnapokosea,, matatizo yapo ndani ya CDM nyie mnaitaja CCM.. wapi CCM imeichagulia CDM viongozi??,, toka lini CCM wakawa na hofu na uenyekiti wa MBOWE. ndio maana mnaua chama kumbe!!!! baada ya kuchunguza na kufumbua matatizo yenu ya ndani.... kazi kupiga kelele
 
Baada ya uchaguzi mdogo wa Madiwani kumalizika na kukipa ushindi wa kishindo CCM, huku CHADEMA kikiambulia Kata 3 ikiwemo ile ya SOMBETINI iliyoko Arusha mjini, Imeibuka minong'ono kuwa Sababu kubwa ya MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE kutopenda kuona uongozi wa juu wa CHAMA hicho ukibadilika na hasa kutoka watu wa kasakzini na kwenda kwa wanachama wanaotokea mikoa ya Kanda zingine ni hofu ya mikoa hiyo ya kaskazini kupoteza nafasi za kiutawala kama vile Udiwani na ubunge. MBOWE ni mbunge wa jimbo la HAI mkoani Kilimanjaro

Viongozi wengine wa CHADEMA wanaotokea kaskazini wenye hofu hiyo ni pamoja na Mbunge wa Arumeru Mashariki, JOSHUA NASSARI, Katibu Mkuu wa CHADEMA , WILBROAD SLAA anayetokea jimbo la Karatu ambalo halmashauri inaongozwa na upinzani(CHADEMA), Mbunge wa Arusha Mjini, GODBLESS LEMA wa arusha mjini.

Wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema pamoja na PHILEMON NDEASAMBURO kuwa mzee sana, lakini ndiye anaweza kuwa na uhakika wa kushinda endapo uongozi wa CHADEMA taifa utabadilika na kwenda kwa watu ambao siyo wakazi wa mikoa ya Kaskazini.
Mh!! Mapinduzi yako jirani hapo
 
[/COLOR]

kaka,,yaani siku zote hapo ndio mnapokosea,, matatizo yapo ndani ya CDM nyie mnaitaja CCM.. wapi CCM imeichagulia CDM viongozi??,, toka lini CCM wakawa na hofu na uenyekiti wa MBOWE. ndio maana mnaua chama kumbe!!!! baada ya kuchunguza na kufumbua matatizo yenu ya ndani.... kazi kupiga kelele

AKILI MATOPE HIZI,hizi!!
 
Tuache ushabiki,Mbowe ang'atuke kwenye uongozi apishe watu wengine ili chama kisonge mbele.Mabavu ya kundi la watemi likiongozwa na Lema linaua chama.Kitila Mkumbo oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Hivi vita sasa hamishieni kwa LIPUMBA..Yaonekana mnamuogopa mbowe.

..Augustine Mrema

..James Mbatia

Hawa hamna shida nao maana hawana madhara.
 
Yani mbowe kuwa pale kama mwenyekiti magamba roho zinawauma kweli nia yao mwenyekiti awe chizi ili wapumue kamanda mbowe wapeleke mpera mpera
 
Baada ya uchaguzi mdogo wa Madiwani kumalizika na kukipa ushindi wa kishindo CCM, huku CHADEMA kikiambulia Kata 3 ikiwemo ile ya SOMBETINI iliyoko Arusha mjini, Imeibuka minong'ono kuwa Sababu kubwa ya MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE kutopenda kuona uongozi wa juu wa CHAMA hicho ukibadilika na hasa kutoka watu wa kasakzini na kwenda kwa wanachama wanaotokea mikoa ya Kanda zingine ni hofu ya mikoa hiyo ya kaskazini kupoteza nafasi za kiutawala kama vile Udiwani na ubunge. MBOWE ni mbunge wa jimbo la HAI mkoani Kilimanjaro

Viongozi wengine wa CHADEMA wanaotokea kaskazini wenye hofu hiyo ni pamoja na Mbunge wa Arumeru Mashariki, JOSHUA NASSARI, Katibu Mkuu wa CHADEMA , WILBROAD SLAA anayetokea jimbo la Karatu ambalo halmashauri inaongozwa na upinzani(CHADEMA), Mbunge wa Arusha Mjini, GODBLESS LEMA wa arusha mjini.

Wachunguzi wa mambo ya siasa wanasema pamoja na PHILEMON NDEASAMBURO kuwa mzee sana, lakini ndiye anaweza kuwa na uhakika wa kushinda endapo uongozi wa CHADEMA taifa utabadilika na kwenda kwa watu ambao siyo wakazi wa mikoa ya Kaskazini.

Msalani, simiyu Ritz na wengineo ndo endeleeni kuchangia,
 
Yani mbowe kuwa pale kama mwenyekiti magamba roho zinawauma kweli nia yao mwenyekiti awe chizi ili wapumue kamanda mbowe wapeleke mpera mpera

Huu ndo ubovu wa CDM tunaoupigia kelele kila siku, kwa mtu akikosoa tu tayari ni gamba, CCM. Yaani tunapenda tusifiwe tu, hatuwezi kuendelea kwa namna hiyo.
 
Kabwe kampuni
 
Kurugenzi ya habari chadema.....................mchumia tumbo fc kaza buti kaka
 
Umejibu kishabiki sana hii kitu,isitoshe umetumia nguvu kubwa sana!! Mngekuwa mnafanya hivi pale zinapoletwa hoja za maana humu jukwaani kuhusu tuhuma za vigogo wa chadema ikiwemo kuporqa na kuoa wake za watu sanjari na kwenda kuvinjari nao nje ya nchi,ingependeza sana!!!

Daaaa yanh kupora wake za watu ndo unaona hoja za msingi za kujadili?mbona unaonyesha uwezo mdogo wa kufikiri?
 
Back
Top Bottom