ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,341
Ccm itazidi kuwagaragaza sana, leo, kesho na hata keshokutwaMsalani, simiyu Ritz na wengineo ndo endeleeni kuchangia,
Ccm itazidi kuwagaragaza sana, leo, kesho na hata keshokutwaMsalani, simiyu Ritz na wengineo ndo endeleeni kuchangia,
Bowe jembeNadhani mbowe amekitumikia Chama vya kutosha,awache wengine ndani ya Chama wenye maono na mawazo mapya wakisogeze Chama mbele zaidi ya hapo kilipo.
Chris niwewe ama ID yako imeingiliwa?
Mbowe ana vituko sana.
Kawalipa watu fedha wajifanye wanamuomba agombee tena.
mbowe ni mwenyekiti wa kudumu na slaa ni katibu wa kudumu...
Ccm itazidi kuwagaragaza sana, leo, kesho na hata keshokutwa
Mkuu, hata nafasi hiyo haimfai, yeye angeishia kuwa mcheza show tu kwenye mikutano ya CCM
Kwa sasa ni Mbowe tu kwenye uenyekiti na Slaa kwenye ukatibu mkuu. Wewe jiulize, "Kwa nini wapinzani wa Chadema wanawachukia sana hawa wawili?" Na sisi hatuwatosi. Ni hawa hawa!
Yaani mi uamuzi sahihi hawa jamaa waendelee. Huwezi badilisha General wa vita katikati ya mapambano. Unaweza mbadilisha vita vikiisha.
Utakuwa sio timamu wewe