Mbowe kutumia gari la serikali kwenye kampeni ni sawa?

acha unafiki ndugu unakua kama sio mzalendo tumia wewe basi kama unaona mbowe anafaidi
wewe usiruke mkoa wakilimanjaro tutaondoka nashingo yako
na nikwanini usimpige picha kama sio umbeya >?
 
Kwa sababu kazi uliyopewa umemaliza nenda sasa kwa Nepi Nauya ukachukue posho yako[/QUOTE]
 
Honey K,

..ilitakiwa Mbowe awalipe Ofisi ya bunge kwa kutumia gari la kiongozi wa upinzani bungeni kwa shughuli za chama chake.

..hata JK naye anapotumia magari au ndege ya serikali kwa shughuli za CCM alitakiwa awalipe wakala wa ndege za serikali, au wakala[kama yupo] wa magari ya serikali.

..unapomuona Obama anapanda Air Force 1 kwenye kampeni ujue kwamba Democratic Party wanailipa fidia serikali ya Marekani.
 
Last edited by a moderator:
Ok, ufafanuzi mzuri umetolewa, hebu mletahoja geukia upande wa pili wa mawaziri (makada) wanavyotumia rasiimali za umma kwa shughuli za chama chao!
 
Ha ha ha wacha nichekee mie ..nilijua tu watakuja na mitusi teh teh..kweli mkuki umechoma penyewe..cdm si ndo vinara wa kupinga matumizi mabaya ya mali ya umma vipileo ninyi tena mtumie hovyo gari la serikali kwenye kampeni binafsi ,,,, tukisema chadema wanafiki wakubwa mnapinga
 
Nimemuona Freeman Mbowe mwenyekiti wa Chadema taifa akitumia gari la serkali (KUB) kwenye kampeni za udiwani maeneo mengi nchini, nikajiuliza sheria inasemaje wadau.......

asali kimbelembele
 
Nimemuona Freeman Mbowe mwenyekiti wa Chadema taifa akitumia gari la serkali (KUB) kwenye kampeni za udiwani maeneo mengi nchini, nikajiuliza sheria inasemaje wadau.......

Weka na kapicha kidogo kuleta ushahidi wenye tija.
 
We unashangaa ya Mbowe, mimi nimeona msafara wa ikulu ukiwa na mabango ya CCM na mmoja wa waliokuwemo alituambia kishabiki 'mtaisoma hiyo' pale mlimani city.
Sijui kwa upeo wako hii nayo unaisemeaje kama si mnazi wa CCM.
 
Nimemuona Freeman Mbowe mwenyekiti wa Chadema taifa akitumia gari la serkali (KUB) kwenye kampeni za udiwani maeneo mengi nchini, nikajiuliza sheria inasemaje wadau.......

NAN DJ MBOWE??
WE UNASHANGAA HUKO KWENYE KAMPENI
NJOO SIKU YA LADIES FREE PALE BILICANAS UTAIKUTA ILE NDINGA IMEJAA TELE..!!
KWANI DJ KUNA ANACHOJALI??
:bowl: :bowl:
 
Back
Top Bottom