Amekalishwa chini sasa. Kimyaaaaa!! Na Lusinde ameomba mwongozo wabunge wawe wanapimwa akili kabla ya kuapishwa na mwenyekiti amekiri mwngozo huo kuwa ni wa ukweli na wa nguvumama anatisha ana msimamo!!!!!!!!!!!!!!!

<br />hapa muongozo lazima utaombwa!!!!!!!!
Cufff bana, ati wao si wapinzani.
<br />Kitendo hiki cha wabunge wa CHADEMA na NCCR-MAGEUZI kuwa pamoja bungeni kimenipa faraja kubwa.Tunawaomba waheshimiwa muendelee hivyohivyo.NCCR akiondoka Mbatia tu basi,upiganaji utakuwa mzuri.Kila la kheri!!1