Mbowe, Kunahitajika mkakati wa haraka Bungeni

Wakuu,

Naona kila dalili kwamba wabunge wa CHADEMA na wale wa NCCR - Mageuzi wapo pamoja na naona ushirikiano wao ni mzuri sana bungeni. Kinacholeta tatizo ni huyu mwenyekiti wa NCCR - Mageuzi ndugu Mbatia ambaye bado ana donge la kushidwa ubunge wa kawe na Mh. Halima Mdee kiasi kwamba hata kesi aliyofungua dhidi yake amegoma kuifuta.
ukiondoa CDM Chama kingine cha upinzani TZ ni NCCR CUF na vyama vilivyobakia ni wachumia tumbo

Ukimwondoa Mbatia katika NCCR - Mageuzi wanaobaki ni wapiganaji na wanatetea maslahi ya watanzania kama walivyo CHADEMA. Naomba ushirikiano huu uendelee hata huko Igunga ambako tunajiandaa kuchukua Jimbo basi tuite " CHADEMA & NCCR MAGEUZI OPERATION CHUKUA JIMBO". Pongezi zangu ziende kwa wabunge wote wa NCCR - Mageuzi kweli nyie ni wapiganaji wenzetu. Sisi wananchi wanyonge tunafarijika sana tukiona mnakuwa kitu kimoja.

ref: Hotuba ya Mbuge kijana wa NCCR (jina limenitoka) alivyoguswa kwa kutolewa bungeni kiuonevu kwa Mh. Wenje jana.

King Kingo kwa mtizamo huo ni dhahiri Kauli ya Lusinde ya wabunge kupimwa akili inaapply pia humu kwani inaonyesha CCM imetuvuruga vichwa na kusababisha badala ya kuview vitu rational sasa tumegeuka makada na makamanda.Yaani kila mmoja na chama chake ata kama kuna upupu tutaushabika tu.

Huko mbele inabidi tufanye mpango.....wabunge wakiwa bungeni baraza la vijana linaendelea kuratibu maandamano kwa watanzania.Wabunge wetu watapata sapoti kubwa

Wakuu,

Naona kila dalili kwamba wabunge wa CHADEMA na wale wa NCCR - Mageuzi wapo pamoja na naona ushirikiano wao ni mzuri sana bungeni. Kinacholeta tatizo ni huyu mwenyekiti wa NCCR - Mageuzi ndugu Mbatia ambaye bado ana donge la kushidwa ubunge wa kawe na Mh. Halima Mdee kiasi kwamba hata kesi aliyofungua dhidi yake amegoma kuifuta.

Ukimwondoa Mbatia katika NCCR - Mageuzi wanaobaki ni wapiganaji na wanatetea maslahi ya watanzania kama walivyo CHADEMA. Naomba ushirikiano huu uendelee hata huko Igunga ambako tunajiandaa kuchukua Jimbo basi tuite " CHADEMA & NCCR MAGEUZI OPERATION CHUKUA JIMBO". Pongezi zangu ziende kwa wabunge wote wa NCCR - Mageuzi kweli nyie ni wapiganaji wenzetu. Sisi wananchi wanyonge tunafarijika sana tukiona mnakuwa kitu kimoja.

ref: Hotuba ya Mbuge kijana wa NCCR (jina limenitoka) alivyoguswa kwa kutolewa bungeni kiuonevu kwa Mh. Wenje jana.

Nakubaliana na wewe...wabunge wa NCCR ni wapiganaji wa kweli,na hata hivyo wale wamelelewa na CDM...Akina Kafulila na wenzake..Good work Vijana....

Back
Top Bottom