Mbowe, Kunahitajika mkakati wa haraka Bungeni

kiongozi kama atakuwa ni legelege basi hata hata maamuzi yake ni legelege..
 
Magamba Hawana mwisho mzuri kwa propaganda zao za kipuuzi kwenye mambo siriaz
 
Kwa hyo mtu kutukana na kuzalilishwa alafu muhusika akakaa kimya, we unaona huyo mtu ana akil nzuri. Yaan ata wewe ukitukanwa unajibu mapigo, hii inamanisha PREZIDAA ana mapungufu kwa kichwa, kwa maana binadam wa kawaida huwez ukachekea chekea kila kitu. Simbachawene kama kamfananisha mwenyekiti wake na punguani anaye kenua meno ktk kila jambo.
 
Naombeni ID ya huyu Fisichawene kama yupo humu nim'PM nina ujumbe mzito naogopa ban
 
Simbachawene umeshalaaniwa, haiwezekani uunge mkono watu kuuawa hata kama wanavunja sheria, wakamateni mkawashitaki, tangu lini mtu akiandamana hukumu yake ni Kifo? Simbachawene utakufa kifo kibaya kama wale watu mnaondelea kuwaua, na laana hii utaibeba mpaka kaburini kwako kama utapata bahati ya kuzikwa. Narudia tena ulaaniwe.
 
Angelikua ni wa upinzani angeambiwa aombe radhi kwa kutoa kauli ya kuudhi,m/kiti kweli ni tahira nae anacheka
 
Sawa wewe,, huna lugha nyingine zaidi ya matusi tu? wa wapi wewe usiyejua kujenga hoja na kukalia matusi tu?? Ninyi ndiyo mnaipaka picha mbaya CDM
<br />
<br />
na wewe si ujenge hoja uache kujibu yangu kwani yangu ndio mada wewe vp?kama wewe halijakuudhi poa bt mimi hata ningeweza ningem2kana zaidi ya haya,
 
Eti ni nani kamtoa mwingine nishai bungeni, ni Simbachawene au yule yule PAKACHAWENE tunayemfahamu sote undani wake hadi upenuni mwa nyumba yake.

Ni matumaini yetu kwamba kamwe hatopendezewa kuanikwa hapa kila uchafu wake hadi vile vya uvunguni. Hebu ngoja tumpe muda kidogo!!!

Simbachawene anawatoa nishai wapinzani kinomanoma kwamba allegations zao kuwa eti serikali hii ina vitisho ni hoja ya ajabu kabisa. Anaendelea kusema kwamba duniani kote hajawahi kuona serikali pole na Rais mpole kama Mh. Kikwete, Rais ambaye mtu yeyote yuko huru kumtukana na kumwita majina mabaya ypote apendayo na kesho yake akawa huru kabisa anadunda mitaani bila kukamatwa ama kuchukuliwa hatua za kisheria.
 
Hilo lipo wazi na hata ukifuatilia wanavyopeana nafasi Simbachaweni ni mwenyekiti pia kapewa nafasi mwishoni c kwa bahati mbaya ni makusudi kutaka kupotosha kinachofanywa na wabunge wazalendo wa cdm afu fuatilia hitimisho la Jenista unaona kabisa umuhimu wa nafasi ya spika iwe huru nasio makada wa chama ndo waongoze bunge.
 
Back
Top Bottom