Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,543
- 43,929
Kweli mkuu mie siyo level yako mkuu pesa nazotumia kutunza mbwa wangu 3 chakula na maradhi unakula wewe na familia yako miaka miwli.Mkuu wewe sio level yangu, tunatofautiana kwa mbali sana. Wewe unaishi kwa hisani but me najisimamia kwa kila kitu. Penye ukweli tuweke ukweli tuu haijarishi ni nani anachafuliwa ama anasafishwa. Wewe endelea kushabikia uchama tuu huku wenzio wanakula hela za kodi yako huku wamekupofusha na uchama.
Kama hutaki kukishighulisha kichwa chako kwa suala jepesi kama hilo basi wewe hutufai humu jamvini.