Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
Kwa sababu katajwa MBOWE angekuwa CHENGE ungeshangilia, mkuki kwa nguluwe kwa binadamu mchungu.
JPM PIGA KOTEKOTE MAJIPU YATUMBUKE.UKITAKA KUMUUA NYANI USIMWANGALIE USONI.
Mkuu hebu soma attachment aloweka jamaa utaona kwa nini ninapinga huu upuuzi wa hii post, unless kama ni sawa kuchafua mtu kisa ni wa upinzani ama chama tawala. Nilisahau kumbe tunachafuana sababu ni tofauti ya vyama.