Walionuna kwa kushutukiwa kua nimafisadi?
kiukweli unaonekana una upeo mdoogo sana wa ufahamu, yaani kwako wewe ukisikia mbowe anatembea bila nguo barabarani basi utajua ni fasheni mpya imeingia- na wewe kesho yake unaiga!
Walionuna kwa kushutukiwa kua nimafisadi?
Alikuwa wap mpk azitoe Leo kwann hakutoa cku zote izo mpk imebak miez mitano ndo anaitoa? Tunataka kujua visima vya sabodo vko wap? Hela walizopewa na Denmark zko wap! Kwa ruzuku ya million 300 kwa nn chama hakina vitega uchumi?
vyama vingi vya upinzani havina tofauti na ccm - ni wale wale linapokuja suala la usanii, utapeli, fitna, ufisadi na ushenzi mwingine!
Ndio upeo wa ubongo wa fisi huo unaongea wambie waungoe waweke wa binadamukiukweli unaonekana una upeo mdoogo sana wa ufahamu, yaani kwako wewe ukisikia mbowe anatembea bila nguo barabarani basi utajua ni fasheni mpya imeingia- na wewe kesho yake unaiga!
Mbowe aijibu CCM, ikiwa Ni miaka minne na miezi 6 bila ahadi za ccmbkutekelezwa Mhe. Mbowe angawa ambulance hospital za jumbo la Hai asema amesubili zile baskali za kubeba wamama wajawazito kutokuletwa kama Kikwete alivyoahidi kuwa angesambaza nchi nzima baskeli za miguu mitatu lakini imebaki historia....vilevile Mhe. Mbowe Siku ya jumamosi atakuwa masama kukabidhi ahadi yake ya mil 5 Kwa kata hiyo kwaajili ya ujenzi Wa shule......
yale yaleeeeeeeeeeeeee! kutafuta kura hapo
Hakika chadema Ni mpango wa Mungu
Ukabila utamuuua mbowe
mbona ajaleta kagera . Watu wanakufa anapeleka jimboni kwake.
Huyu ni mtu hatari. Mbinafsi
visima vya sabodo fedha kanununlia ambulance
Dadadeki October kumbe around the corner.
PEOPLE POWER,PEOPLE POWER....
Ninapenda kuwafahamisha wote siku ya Ijumaa katika viwanja vya Snow View Boma, Mh. Mbunge Mbowe atakabidhi ambulence mbili alizozitoa kwa watu wa Hai na siku ya Jumamosi atakuwa Masama Mula akikabidhi sh milioni 5 ahadi yake ya kusaidia elimu eneo hilo, wote mnakaribishwa
Daa..pesa za sabodo si nikwaajili ya visima..hizo ambulance angepeleka kwa sugu mbeya..jamaa wanatumia bado machela
Ayatollah jimbo kalitelekeza hata baiskeli hajawahi kukabidhi hela zote anazitumbua kijamaa kwa kununua hama
Hata kwa akili yako ndogo mtoto mdogo angekuja na jibu zuri zaidi..JINSI MPYA HATA KM NI TOLEO LILELILE INAFAA ZAIDI KUVAA.vyama vingi vya upinzani havina tofauti na ccm - ni wale wale linapokuja suala la usanii, utapeli, fitna, ufisadi na ushenzi mwingine!