Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Ninapenda kuwafahamisha wote siku ya Ijumaa katika viwanja vya Snow View Boma, Mh. Mbunge Mbowe atakabidhi ambulence mbili alizozitoa kwa watu wa Hai na siku ya Jumamosi atakuwa Masama Mula akikabidhi sh milioni 5 ahadi yake ya kusaidia elimu eneo hilo, wote mnakaribishwa