Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
vyama vingi vya upinzani havina tofauti na ccm - ni wale wale linapokuja suala la usanii, utapeli, fitna, ufisadi na ushenzi mwingine!
Achana na siasa ndugu, utakufa kwa presha. Yani mtu amekuahidi ambulance, badala ys kushukuru kwa kutimiza ahadi, unaanza kashfa! Utakuwa sio mzima kichwani. Nenda kwenye majimbo ya mawaziri, tafuta ambulence kama zipo....