MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Kwahiyo Mbowe anafuata nyendo za CCM?Ccm zaidi ya Miaka 50 mlikua wapi nyie?
Kwahiyo Mbowe anafuata nyendo za CCM?Ccm zaidi ya Miaka 50 mlikua wapi nyie?
Kwahiyo Mbowe anafuata nyendo za CCM?
Miaka yote alikuwa wapi huyu Mchaga? Hebu aache utapeli wa kuwarubuni wananchi na viambulensi vikuu kuu!
Miaka yote alikuwa wapi huyu Mchaga? Hebu aache utapeli wa kuwarubuni wananchi na viambulensi vikuu kuu!
Hata mbwa hawezi kuona yupo jelalani mpaka atakapo pigwa jiwe
mbowe nae kwa kuiga amemuona zitto akitoa ambulance nae anataka kufanya hivyo.
toka basi jalalani popoma wewe
stori yako imeshindwa kuuzika kabisa mkuu,, mission failed hahaaaa
Naona kisu kimefika kwenye mfupa ndio maana unatapatapa
toka basi jalalani popoma wewe
Lissu hakuzuia niupotoshaji wa hali ya juu hela zilizokua zinakusanywa zilikua hazifiki kwa walengwa AsanteYeye anatoa milioni 5 kwa ajili elimu mbona anashindwa kumvuia Lisu anayepotisha wana Ikungi singida kwa kuwaambia wasichangie elimu wala issue yeyote ya maendeleo
Vipofu ni ccm ndio Maana mnaongozwa na Fisi kwenye mikutano yenuKipofu akimuongoza kipofu mwenzake wote hutumbulia shimoni. Wacha ayaongopee machagadema wenzake