Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 261
Samahani mkuu hebu nijuze, kweli kuna mtu (sorry, zezeta au mbumbumbu) ambaye amesema hili baraza ni size ya kutosha au hili baraza ni dogo
Kwenye tv maprofesa wamelipongeza, hawakulalamika kuwa ni kubwa. Baadhi ya magazeti leo watu wamejojiwa kupongeza, pamoja na wengini waliolalamikia ukubwa. Kwenye radio tangu jana wengi wanasifu wachache wanalalamikia ukubwa. Nimeona CSO statements zimekuwa released leo zinapongeza, labda zitatoka magazetini kesho.