Mbowe kuhusu baraza la mawaziri

Mbowe kuhusu baraza la mawaziri

Donyongijape is true that there is no deputy ministres in UG..Nilipitiwa hiyo statement...The distinction is that state ministers for a country like UG is equivalent to deputy ministres in our case(TZ).This concludes that the total number for ministres and deputy is that one in the list (69).Linganisha na 29 + 21=50 wakwetu..........
umenipataaaaaaaaaaaaaaaaaaa?????????????????????????????????????????????????
Sasa leta hoja yako maana hujaiweka wazi...................
 
The way hawa waheshimiwa wanavyochapa kazi, Hata wasingekuwepo it would not make a difference....... Thinking deeply actually it would, tungetumia hiyo pesa ya mishahara yao tukawapelekea mbolea vijijini
 
Donyongijape is true that there is no deputy ministres in UG..Nilipitiwa hiyo statement...The distinction is that state ministers for a country like UG is equivalent to deputy ministres in our case(TZ).This concludes that the total number for ministres and deputy is that one in the list (69).Linganisha na 29 + 21=50 wakwetu..........
umenipataaaaaaaaaaaaaaaaaaa?????????????????????????????????????????????????
Sasa leta hoja yako maana hujaiweka wazi...................

I think here tunatakiwa angalia maslahi ya TZ firstN unapotupa mifano ya Uganda tujiulize why Uganda na kuwa kwao na baraza kubwa sisi inatuhusu vipi? Does it have impact to our TZ economyN if not why make comparison in the first place? And why not making comparison with Kenya,
or each of other African country for that matter, hivi ukubwa wa pua ndo uwingi wa makamasi, kama nchi ni kubwa ndo tuwe na mawaziri mia, wizara zinagawiwa kwa maeneo au? If so tuambie waziri mmoja tanzania anawakilisha kilometer ngapi za mraba, na je anashugulikia mkoa flani tu? Mfano ukiwa waziri wa maji unangalia maji ya nchi nzima au unaangalia kaeneo flani? The issue hear sio ukubwa wa nchi bali ni vipaumbele, zamani tulikua na wizara ya ujenzi na ikawepo ya mawasiliano na uchukuzi, leo hii ujenzi imerudi, mawasiliano iko pekee na uchukuzi ni wizara so from two to three kwa kujisikia mtu tu, tulikua na wizara ya elimu na wizara ya sayansi, technolojia na elimu ya juu, sasa elimu iko tamisemi, kuna wizara ya elimu, na elimu, habari na michezo...kuna wizara ya mahusiano sijui ya nini, kama ni mahusiano ya vyama vya siasa msajili angeongezewa kazi basi, wizara zinakuwa nyingi ili nafasi za ulaji ziwepo...let's Uganda be Uganda and let's be TZ maana wao wana yao tusitake kuiga hata kama ni ujinga mtupu, wakati namalizia naomba nikupe homework, Nigeria ina wizara ngapi?
 
Katika hotuba yake aliahidi kuwa na baraza dogo,makini,litakalo ondoa urasimu na la wachapa kazi.
Watanzania tusipende kupongezana tu Kinafiki, tuwe wazi na wakweli, Je baraza hili ndilo dogo alilokua anamaanisha? Au tunasifu tu bora siku iishe? Je kweli kwa mtu kama Shukuru atafanya lipi kama aliweza tumia pesa nyingi kwa ujenzi wa matundu manne ya choo Tshs 700 milioni na si kwa kusomesha watoto wa maskini walipa kodi?
Ni muhimu kuhoji na kutambua dhamira za hao na huyo tumpongezae.
 
Hivi was this the Guy????!!!!!......................... Mamaaa Tumekwishaaaa:disapointed:
 
Baraza ni kuwa sana kulingana na nchi yetu masikini

source BBC Swahili

My take
Thats what every honest taxpayer thinks

Ukubwa upi anao usema yeye ? Tanzania ni kubwa pia, hata ukichanganya Kenya + Uganda , bado Tanzania inazizidi. Kenya kuna mawaziri 38, Uganda kuna mawaziri 30. Jumla ya mawaziri wa nchi hizo mbili (Kenya+Uganda) ni 68, Tanzania tupo 50 na li nchi letu kubwa unasema baraza kubwa. Aache unafiki wake amalize mambo yake ya CHADEMA. CDM kuna mgawanyiko mkubwa wa kugawana madaraka (Viti maalum), mambo ya ukabila, udini na ukanda. Anayashughulikie kwanza yanayo mhusu , hili la uendeshaji na uteuzi wa mawaziri si kazi yake. Ni kazi ya Rais wa JMT aliyepewa ridhaa na Watanzania walio wengi , na si mwingine ni Mheshimiwa, Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE.
 
Mi bado suala la wizara ya uwezeshaji linanifanya niwe:A S angry: hii wizara itakua na kazi gani :help:

Hiyo ni mojawapo ya wizara amabyo haikutakiwa kuwepo na ile ya transport
 
To me ni copy and paste plus some little editing
 
Nani kakwambia?
Hatukubaliani na ushuindi wa kuchakachua (wa WIZI) wa JK
mkuu hii AV. Yako nimeipenda
Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Ukubwa upi anao usema yeye ? Tanzania ni kubwa pia, hata ukichanganya Kenya + Uganda , bado Tanzania inazizidi. Kenya kuna mawaziri 38, Uganda kuna mawaziri 30. Jumla ya mawaziri wa nchi hizo mbili (Kenya+Uganda) ni 68, Tanzania tupo 50 na li nchi letu kubwa unasema baraza kubwa. Aache unafiki wake amalize mambo yake ya CHADEMA. CDM kuna mgawanyiko mkubwa wa kugawana madaraka (Viti maalum), mambo ya ukabila, udini na ukanda. Anayashughulikie kwanza yanayo mhusu , hili la uendeshaji na uteuzi wa mawaziri si kazi yake. Ni kazi ya Rais wa JMT aliyepewa ridhaa na Watanzania walio wengi , na si mwingine ni Mheshimiwa, Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE.

THINKTWICE I very much doubt you think even once
 
Kenya sasa hivi IDADI ya WIZARA imetamkwa kabisa kwenye KATIBA yao mpya. Hivyo kupeana ulaji kwa njia hii hakupo tena. Mzee Wassira alikuwa apumzishwe tu. Sasa kapewa kazi ya zamani ya Kingunge pamoja na mihasirahasira yake ya Kikulya. Atawezana na akina Mtikila, Sheikh Ponda, Dr Slaa kweli?
 
Ukubwa upi anao usema yeye ? Tanzania ni kubwa pia, hata ukichanganya Kenya + Uganda , bado Tanzania inazizidi. Kenya kuna mawaziri 38, Uganda kuna mawaziri 30. Jumla ya mawaziri wa nchi hizo mbili (Kenya+Uganda) ni 68, Tanzania tupo 50 na li nchi letu kubwa unasema baraza kubwa. Aache unafiki wake amalize mambo yake ya CHADEMA. CDM kuna mgawanyiko mkubwa wa kugawana madaraka (Viti maalum), mambo ya ukabila, udini na ukanda. Anayashughulikie kwanza yanayo mhusu , hili la uendeshaji na uteuzi wa mawaziri si kazi yake. Ni kazi ya Rais wa JMT aliyepewa ridhaa na Watanzania walio wengi , na si mwingine ni Mheshimiwa, Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE.

NIGERIA ina wizara ngapi mkuu? Ukubwa ubaujua wewe? Kwahiyo tuwe na waziri wa kila eneo ndo ufanisi utakuja ama, ukianza kufananisha mawaziri wa ngapi uganda plus kenya utakua unakosea big time, so usifanye ukubwa wa nchi ndo ukubwa wa baraza, nchi hii haijaongezeka ukubwa miaka ya mkapa na jkN enzi ya nyerere na mwinyi ilikua ndogoV don't talk nonsense here
 
Mbona wananchi walio wengi wanalipongeza? Tuna safari ndefu kweli kweli

Kwani ni wananchi wangapi Tanzania kama wewe walioenda shule (si za kata), waelewa wa kinachoendelea Tanzanaia, they can access internet and share your thoughts kama hivi? Ni lazima wengi wapongeze maana ndio hao waliopewa khanga na 5000/= ili Kikwete aingie madarakani. Unkowing that the cost of Khanga na 5000/= kwa miaka 5 ni kubwa mno. They are the ones with no piped water, electricity, etc, they know nothing about EPA and other corruption scandals, yet those things affect them directly.

Tanzania tuna safari ndefu kweli kweli. Tutafika tu ila tukiwa TUMECHOKA sana.
 
BUNGE letu ni kubwa sana. Baraza la MAWAZIRI nalo kubwa mno. Kwa ujumla tunaigharamia sana SIASA kuliko huduma kwa watu wetu, kuliko MAENDELEO ya NCHI yetu. Kisingizio: DEMOCRASIA.
 
Ukubwa upi anao usema yeye ? Tanzania ni kubwa pia, hata ukichanganya Kenya + Uganda , bado Tanzania inazizidi. Kenya kuna mawaziri 38, Uganda kuna mawaziri 30. Jumla ya mawaziri wa nchi hizo mbili (Kenya+Uganda) ni 68, Tanzania tupo 50 na li nchi letu kubwa unasema baraza kubwa. Aache unafiki wake amalize mambo yake ya CHADEMA. CDM kuna mgawanyiko mkubwa wa kugawana madaraka (Viti maalum), mambo ya ukabila, udini na ukanda. Anayashughulikie kwanza yanayo mhusu , hili la uendeshaji na uteuzi wa mawaziri si kazi yake. Ni kazi ya Rais wa JMT aliyepewa ridhaa na Watanzania walio wengi , na si mwingine ni Mheshimiwa, Dr. JAKAYA MRISHO KIKWETE.

Unapozungumzia kuziunganisha uganda na kenya na kutaka kulinganisha na baraza letu hiyo si busara, ukubwa wa nchi haumaanishi ndo baraza liwe kubwa, nigeria ina mawaziri wangapi? Nchi inatakiwa kuendeshwa kwa vipaumbele huwezi weka tu wizara hazina kichwa wala miguu eti nchi kubwa, sasa uganda mke wa museven ni waziri wa kaeneo flani unataka siku moja tufike huko ama!!! JK alipaswa kupunguza baraza na kulifanya dogo lenye tije ili kupunguza gharama, wao kama wameshindwa kuhakikisha rasilimali zetu zinatunafaisha na tubane matumizi kwa kuacha kupeana vyeo kwa ulaji
 
Watanzania tunatumia muda na nyenzo zingine kujadili jambo ambalo tusingejadili ikiwa KATIBA ingeweka wazi idadi ya wizara. Kamati za Bunge kuwa na mamlaka ya kuwajadili wateule wa rais kabla ya kuapishwa ili kuona umahili wao ktk kazi watakayopewa(sizungumzii kuidhinisha inayofanyika bungeni). Kwa msingi huo tungepata viongozi bora na hivyo tusingejadili kama Mwandosya au Magufuli wanafaa ama la iwapo kapita kwenye mchujo! Inakuwaje mtu mmoja tu aseme "wewe waziri wa fedha, wewe nakupa u-IGP, wewe u-CDF unakufaa n.k na asiwepo wa kuhoji. Marekani mawaziri wa wizara nyeti kama fedha, ulinzi, nje, mwanasheria n.k lazima wawekwe kiti moto na Senate vinginevyo unaishia kunawa kula huli. Huo ndio uwe mwelekeo wetu..KATIBA, KATIBA, KATIBA all the way
 
Unapozungumzia kuziunganisha uganda na kenya na kutaka kulinganisha na baraza letu hiyo si busara, ukubwa wa nchi haumaanishi ndo baraza liwe kubwa, nigeria ina mawaziri wangapi? Nchi inatakiwa kuendeshwa kwa vipaumbele huwezi weka tu wizara hazina kichwa wala miguu eti nchi kubwa, sasa uganda mke wa museven ni waziri wa kaeneo flani unataka siku moja tufike huko ama!!! JK alipaswa kupunguza baraza na kulifanya dogo lenye tije ili kupunguza gharama, wao kama wameshindwa kuhakikisha rasilimali zetu zinatunafaisha na tubane matumizi kwa kuacha kupeana vyeo kwa ulaji

Kweli watu kufikiria kwenu kumefika ukomo. Nchi kama Nigeria wao mfumo wa serikali yao ni tofauti na wa kwetu. Wao wana serikali za majimbo ambazo zina mamlaka yote, je sie tunazo hizo serikali za majimbo?. Ukiisha kuwa na serikali za majimbo hakuna haja ya kuwa na mawaziri wengi , ndivyo hata Marekani wanavyo fanya ndugu zanguni. Kwanza fikirieni mifumo yao ya serikali ikoje, sio mseme tu humu JF kwa kufurahishana na kuponda watu
 
NIGERIA ina wizara ngapi mkuu? Ukubwa ubaujua wewe? Kwahiyo tuwe na waziri wa kila eneo ndo ufanisi utakuja ama, ukianza kufananisha mawaziri wa ngapi uganda plus kenya utakua unakosea big time, so usifanye ukubwa wa nchi ndo ukubwa wa baraza, nchi hii haijaongezeka ukubwa miaka ya mkapa na jkN enzi ya nyerere na mwinyi ilikua ndogoV don't talk nonsense here

Kweli watu kufikiria kwenu kumefika ukomo. Nchi kama Nigeria wao mfumo wa serikali yao ni tofauti na wa kwetu. Wao wana serikali za majimbo ambazo zina mamlaka yote, je sie tunazo hizo serikali za majimbo?. Ukiisha kuwa na serikali za majimbo hakuna haja ya kuwa na mawaziri wengi , ndivyo hata Marekani wanavyo fanya ndugu zanguni. Kwanza fikirieni mifumo yao ya serikali ikoje, sio mseme tu humu JF kwa kufurahishana na kuponda watu
 
Baraza la Mawaziri ni Kubwa sana. Baadhi ya Wizara hazikustahili kabisa kuwa hata na Manaibu Waziri. Sijui Manaibu Waziri wana kazi gani katika nchi hii. Wenzao wa Kenya waliwahi kulalamika kwamba hawana kazi. Lakini kwa watanzania hawawezi kufanya hivyo kwa sababu kwa hulka yetu sisi si wapenda kazi na siku zote tunapenda kupata fedha ambayo hutujaifanyia kazi. Shime tubadilike si ajabu kuona matapeli wengi nchi kuanzia ngazi za juu.
 
Kweli watu kufikiria kwenu kumefika ukomo. Nchi kama Nigeria wao mfumo wa serikali yao ni tofauti na wa kwetu. Wao wana serikali za majimbo ambazo zina mamlaka yote, je sie tunazo hizo serikali za majimbo?. Ukiisha kuwa na serikali za majimbo hakuna haja ya kuwa na mawaziri wengi , ndivyo hata Marekani wanavyo fanya ndugu zanguni. Kwanza fikirieni mifumo yao ya serikali ikoje, sio mseme tu humu JF kwa kufurahishana na kuponda watu

Sihitaji kuangalia Nchi zingine kuona kama Baraza ni kubwa au dogo........ The question is can we manage to employ all this people with their ridiculous payments....? The answear is No. Kwahiyo the most effective means is to cut their number as well as their salaries
 
Back
Top Bottom