Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Mbowe akili zake zitarudi sawa sawa pale Fedha za Lowasa zitakapo kwisha.. Lowasa ni kirusi upinzani... Ila Fedha zake ndio zinamlinda
Lowasa hana pesa wala hajampa mtu pesa yupo upinzani kutokana na vioja alivyofanyiwa na kikwete hahitaji kujilinda na pesa kwa sababu yy akiwa chadema hana haja na cheo ujumbe unamtosha hivyo hakuna mtu wa kumsumbua, hiyo propaganda ya pesa za lowasa ilitengenezwa na akina February na membe wakaisambaza kila kona wale Wajanja walijua ni uzushi wakapotezea lakini wajinga hadi leo wakekariri pasipo kujua kuwa wenzao walitengeneza huo Uzushi walilipwa pesa nyingi sana kueneza kila kona.
 
DJ alishabadili gia angani tena.!!

Kwa hali hii ya ubadilishaji gia mwaka 2020 Lugumi wanaweza kuwa mgombea urais wa Chadema na sisi wild beast tukaamlishwa na DJ tumsafishe kama tulivyolazimishwa kumsafisha Lowasa.
 
Wenzako waliotunga huo uzushi wakaueneza walipiga pesa lakini ww umekariri hadi leo !! Lugumi ni mwanasiasa? Lowasa na lugumi wapi na wapi? Hivi lugumi akigombea Urais wataenda na majina Mfukoni Dodoma? Tambua kuwa lowasa ana watu na kitendo alichofanyiwa na kikwete hakukuwa na haja abaki CCM kwani tayari alikuwa kaumizwa moyoni.
 
Hoja Hapo siyo elimu ya MBOWE, hoja ni mambo anayoyafanya Profesa yanaaksi elimu yake?, kwa upande wangu Mimi sioni kama Mbowe amemkosea adabu Prof.,Lipumba tunatakiwa kumtreat hivyo kwani anayoyafanya anastahiri. Mimi niombe tu maprof wamuite Prof mwenzao wamwambie ukweli prof mwenzao ili kutunza credibility ya taaluma hiyo ambayo inashuka kwa kasi kubwa sana kwenye nchi yetu. Taaluma ya ngazi ya uprof inapoteza legitimacy kwasababu ya mambo machache yanayofanywa na maprof wachache.
 
Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Inabidi wabongo tukue kifikra Professor ni mbobezi tu katka taaluma fulan sio kwamba kila kitu anakijua
 
Hoja Hapo siyo elimu ya MBOWE, hoja ni mambo anayoyafanya Profesa yanaaksi elimu yake?, kwa upande wangu Mimi sioni kama Mbowe amemkosea adabu Prof.,Lipumba tunatakiwa kumtreat hivyo kwani anayoyafanya anastahiri. Mimi niombe tu maprof wamuite Prof mwenzao wamwambie ukweli prof mwenzao ili kutunza credibility ya taaluma hiyo ambayo inashuka kwa kasi kubwa sana kwenye nchi yetu. Taaluma ya ngazi ya uprof inapoteza legitimacy kwasababu ya mambo machache yanayofanywa na maprof wachache.
Ni ngumu sana kwa division zero kumuelewa na kumuelezea profesa
 
Tatizo apa ni pesa na elimu uchwara mwingine ana elimu uchwara na yule ana pesa ya kujikimu
 
Ukweli ni muhimu ukasemwa...

Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.

Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .

BADO MBATIA SASA!

Propesa ni zaid ya hapo
 
Kwa fikra zako bado unadhani lipumba ni irrelevant?

Mbona hata yule aliekuwa mwenyekiti wa chama cha wajinga, mzee wa Malofa, aliwahi kumwita Lipumba ni Professa Uchwara! Ngoja hadi hapo siku Lipumba atakapojihidhirisha rasmi (Kama vile alivyofanya jaji Ramadhani) kwamba sasa anautaka uenyekiti wa CCM jee utasema yeye ni relevant?
 
Kweli na were umechoka! Yaani wewe bafo unamuona Lipumba anastahili kuitwa Professor? Kwa raia wa aina hii kamwe hatutapata maendeleo kama Nchi.
 
DJ alishabadili gia angani tena.!!

Kwa hali hii ya ubadilishaji gia mwaka 2020 Lugumi wanaweza kuwa mgombea urais wa Chadema na sisi wild beast tukaamlishwa na DJ tumsafishe kama tulivyolazimishwa kumsafisha Lowasa.
Lugumi ni nani?
 
Ukweli ni muhimu ukasemwa...

Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.

Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .

BADO MBATIA SASA!
....ni baada ya kuuvunjia heshima kwanza uprofesa na pili muungano wa ukawa , tatu cuf, nne chadema na tano wanaupinzani, sita wanamageuzi, saba wananchi kwa ujumla na dunia yote kwa kile alichokifanya katika siasa za Tanzania, so kaama hakuweza kujiheshimu nani atamuheshimu....
 
Yaani kumkataa fisadi ni kuuvunjia heshima upinzani?

Heshima ya upinzani wa leo ni kukumbatia mafisadi na wakwepa kodi?
 
Back
Top Bottom