Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Neno ''irrelevant'' kwa tafsiri ya haraka ni mtu/kitu kisichositahili.
Je , hilo ni tusi?
 
Kwani msaliti anastsahili heshima?
 
Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Kwako wewe ilimradi ni professor, hata akija kujisaidia sebuleni kwako ni sawa tu ?mimi siwezi hata kama sina hata hilo darasa la saba.
 
Huyo puro anaaibisha tena anadhalilisha wanamageuzi.
 
Kweli mkuu hujamsikia Prof. akisema Maalim na Mbowe walikuwa wanamzunguka, wanapanga mipango ya UKAWA bila kumshirikisha?
kumbe mnajua ukweli halafu ''mnajifanya'' wenyewe wajinga.
 
kwani amesemaje? kwa taarifa yako upande wa bara wote wako pamoja na Prof. isipokuwa vibaraka wachache kama akina julius ndo wanaojipendekeza kwa msaliti seif aliyemsaliti mwenzake kama alivyomsaliti marehemu Mzee Jumbe.

sababu ya Prof. Lipumba kujiuzulu hii hapa. hayo mengine ni porojo tu. huu ni ushahidi sa Seif na Lipumba mwenyewe.

ushahidi kutoka seif uliopelekea hata kuzomewa na wana-CUF


Ushahidi kutoka kwa Lipumba


ukweli daima utatuweka huru.
 
AMEMPA MAKAVU BILA CHENGA MAANA PUMBA ANASITAHILI MAKAVU!
 
Wewe fuata data za fisadi pale ufipa ukikosa kabisa muone kubenea
...kubenea ndo aliyetoa hoja..? iweje suala ulianzishe wewe na bwana mdogo "uc..hw..ara" alafu data atoe mtu mwingine, wepesi sana nyie , tunawapeleka tunavyotaka na hamuwezi kuchomoa hata siku moja....
 
Abunuas,

..Prof angekaa pembeni kwanza.

..siasa ni kufanya jambo sahihi kwa wakati sahihi.

..hii habari ya yeye kutaka kurudi ktk nafasi yake ina hatari ya kukivunja chama.
 
Abunuas,

..Prof angekaa pembeni kwanza.

..siasa ni kufanya jambo sahihi kwa wakati sahihi.

..hii habari ya yeye kutaka kurudi ktk nafasi yake ina hatari ya kukivunja chama.
jk kama umeangalia hiyo video ya seif mpaka mwisho kuna sehemu wanamzomea seif kabisa. Naamini kabisa Prof. amerudi kutokana na shinikizo la wana-CUF wengi na hasa kutoka bara. ndo maana leo hii seif hawezi thubutu kuita kile kikao halali cha kumuondoa Prof maana anajua fika hatapata kura za kutosha kumuondoa Prof. kama wangekuwa wanaangalia mbali lilikuwa ni suala la kukaa tena off-media. lakini inashangaza wameshindwa hili. hasa kutokana na kuongozwa na chadema off-media.
 

..Ok.

..lakini mimi kwa mtizamo wangu this was not the right time kwa Prof kurejea ktk nafasi ya mwenyekiti.

..ngoja tuone mwisho wa huu mgogoro.

..kuna hatari kubwa kwa cuf kuvunjika.


..kazi ya kujenga chama upya siyo rahisi.

.
 
Mbowe ni ccm damu.<br /><br />Kama unabisha subiri 2020 ataazima tena mgombea urais kutoka ccm. Ataangalia fisadi ambaye anashambuliwa na bavicha alafu ndio anamteua ili bavichaaa hao hao wamsafishe.
 
Kwa hiyo kuwasaidia CUF kuondokana na hii "Comedy" ni kuingilia mamlaka ya chama kingine?
Seriously?
Mbona umeshindwa kuisaidia chadema isiwapokee watuhumiwa wa ufisadi. Watu ambao viongozi wenyewe walikuwa wakiwatuhumu miaka nenda rudi. Ni ujuha. Solve kwanza ya ndani kwako kabla ya kurukia ya wenzako. If you live in the glasshouse! Dont throw stones outside my friend! !
 
Mbowe ni ccm damu.<br /><br />Kama unabisha subiri 2020 ataazima tena mgombea urais kutoka ccm. Ataangalia fisadi ambaye anashambuliwa na bavicha alafu ndio anamteua ili bavichaaa hao hao wamsafishe.
Na yeye alambe bingoo
 
Leo nadhani mmekuwa mashuhuda namna mwenyekiti wa chadema akiwa karibu sana na mwigulu, waziri wa mambo ya ndani pale uwanja wa Taifa.

Wapenzi wa chadema wanayohulka ya kuwaita , wanachama wenzao wasaliti na kuwatoa chamani pale wanapoonekana kuwa karibu na ccm.

Sikusikia mwenyekiti akiitwa msaliti bali kuambiwa kuwa ni mzalendo na anafanya siasa safi!

Hii sio sawa! Ni ubaguzi wa wazi kabisa na uonevu kwa wengine!
 
Wacha kuleta chuki na Fitina Demokrasia sio uadui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…