Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Wengi wa watu wanachukia sana wanasiasa kwa sababu wanawaona wana sifa mbaya ni ukweli wako wenye sifa mbaya na nzuri ni kama tu Kwenye biashara kuna ambao ni wafanyabiashara waaminifu na ambao sio waaminifu, hata makazini ni hivyo hivyo kunawapigaji na ambao ni waaminifu
Wanasiasa ni rahisi kuonekana kwa sababu mara nyingi wapo kwenye spotlight mabaya yao ni rahisi kuonekana na vile-vile mazuri yao
Ukiangalia sakata la mbowe japokuwa bado haijawa confirm kama ataenda chauma ila kwa mienendo yake siku za karibuni imeonyesha mbowe kaamua kuchagua fedha na sio heshima kwanini nasema hivi sina maana kama mbowe kaongwa kwa sababu sina ushahidi wa moja moja ila ukweli ni kwamba mbowe kagoma kuwa tu mshahuri kama ilivyo kwa wakina mzee mtei amegoma huo ndo ukweli
kama angechagua heshima angeendelea kubaki kama senior kwenye chama chake, kuwa mshahuri na kupigania nafasi ya urais na sio ubunge au nafasi yeyote ile mbowe amefikia levele za kina raila odinga na Marehemu maalim seif, akitokea ameenda chauma basi atakua amerudi hatua mia moja nyuma kwa umri wake sio wa kuanza tena kujenga chama cha chauma, kujenga chama cha siasa ni kazi ngumu sana tunaoma mwaka 2015 mbowe alipitia shortcut kwa kumkubalia lowasa wakashinda wabunge wengi ila mwaka 2020 wakajikufa kama chama wamerudi nyuma sana hii ina-prove point shortcut is wrong way
Kitendo cha yeye kuendelea kuchagua kuama chama ndo inakuja dhana ya kwamba kachagua fedha na sio heshima, kumbuka mbowe ndo alisifia uchaguzi wa chadema uliomwangusha sasa utawaambiaje wananchi ambao wewe mwenyewe ulishindwa kila mtu anaona live bila chenga utakuja na sababu ipi
jambo la kufahamu siasa ni kazi kama ilivyo kazi nyingine, siasa ni biashara kama ilivyobiashara nyingine, siasa ni utumishi kama ulivyo utumishi mwingine sasa inategeme wewe ambaye upo kwenye siasa umechagua upande upi ila matendo yako yatatupa majibu mojawapo kati ya hayo matatu hapo juu
Ukijaribu kukumbuka historia ya matukio yaliyotokea mfano tukio la mwaka 2015 utahitimisha ni wazi liliotuonyesha hulka ya mbowe ya kuchagua fedha na sio heshima kwanini nasema kuchagua fedha sinamaana ya mbowe kuhongwa sababu sina ushahidi ila mbowe alipiga hesabu za mbali alijua watashinda wabunge wengi na baadae ruzuku kwenye chama itaongezeka hatakama hawatashinda urais ni jambo zuri kwa ruzuku kuongezeka ila sio kwa njia ile, na kweli ikatokea wakapata nafasi nyingi za ubunge ila ule ushindi ukawa mbio za sakafuni baada ya mda wabunge wale wakawa wanaunga mkono juhudi kwa kupitia dhana ile-ile walichagua fedha na sio heshima
Hakuna tatizo kwa mbowe kuchagua fedha badala ya heshima bali nao waonea huruma ni wale wanaomuamini sababu wanachotegemea kwa mtu anayeipa kipaumbele fedha lazima aje akudissapoint ndo iko hivyo unless uwe ni mtu wa kujitoa ufahamu sana
NOTE

- Hakuna sehemu nimemtuhumu mbowe kuhongwa kiwango chochote cha fedha sababu kwanza sina uthibitisho na hii iitazuia baadhi ya watu ambao ni mabingwa wa kutwist habari
- Nimefocus na circumstances ambazo pasipo shaka zinaonyesha amechagua fedha na sio heshima