Mbowe: Haturudi nyuma

Mbowe: Haturudi nyuma

jisemee mwenyewe, hatujakupa kibali sisi kama wananchi kututolea tamko kwamba wote tunamkubali, acha ujesca ebooo!!!!

Wewe na nani , sema mimi cyo sisi. Magufuri jembeeeeeee. Mtanyooka tu. Itabidi mrudi longido mkachunge ng'.ombe.
 
Single ya Bungeni hailipi tena sasa wameamia mtaani.
All the best hope hii itawatoa maana ngosha anabana mnashindwa kushine komaeni bwana mshine kama zama za JK
 
Safari hii mtakoma maana zero ndiyo kashika akili zenu. Tena ningekuwepo mimi hapo kahama ningewachapa zaidi, mnatakiwa mukomeshwe kwa akili zenu za kizezeta! Sasa tunahitaji kufanya kazi na siyo maandamano au kueneza chuki. Yaani mpaka 2020 hamtakuwa na wafuasi maana sasa kila mwananchi anamkubali Dr Magufuli

mkuu inaonekana unalazimisha....kama anakubalika nguvu ya nn sasa?..nyie fanyeni kazi na wananchi tutaona sio kwa kusema sema hivi!!!!...tumia akili mkuu
 
Ulivyo kiazi mbatata uogopwe umekuwa nani.... Magu kawapiga ban kila kona hata hapa jf mtapigwa ban tu we subiri sijui mtauzia wapi upuuzi wenu....

Matusi au vijembe vya nini? Matusi hayasaidii nchi kupiga hatua. Watendee watanzania wenzako vile unapenda utendewe.
 
Jamani hawa watu waache ujinga nakutufanya Tanzania n wajinga muda wa kampeni ushaisha, naungana na porisi kukemea uchochezi unaotakwa kufanywa na CHADEMA mfano tu kahama ndo demokrasia imepokonywa au ndo wanajipaga na uchaguzi wa uraisi 2020 kwa sehemu walioganya vibaya 'sukuma land' kama hilivyo watu wa moshi na arusha hawana resons za kuishabikia CHADEMA!! Labda.'' ukabira'' na sisi wa sukuma land n hivyo hivyo hatuna resons waache kujidanganya , caution i write like lay man so dont judge my intellect na thinking capacity
 
Single ya Bungeni hailipi tena sasa wameamia mtaani.
All the best hope hii itawatoa maana ngosha anabana mnashindwa kushine komaeni bwana mshine kama zama za JK
 
ufipa hawaaminiki hawa kabisa usije kushangaa ns akagombea CHADEMA ..
 
KAZI imeanza. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Serikali ya Rais John Magufuli jana kusababisha vurugu kubwa Kahama mkoani Shinyanga.

NI kwa mara ya kwanza ndani ya utawala wa Rais Magufuli, taifa linashuhudia vurugu za kisiasa zinazotokea kwa mgongo wa Jeshi la Polisi nchini.

Vurugu kubwa imetokea jana baina ya Jeshi la Polisi na wananchi kwenye mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kusababisha sintofahamu.

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa, pamoja na vitisho vya demokarsia nchini, chama hicho hakitarudi nyuma kudai haki.

Mbowe amesema kuwa, wataendelea kudai haki ya demokrasia nchini ndani ya mahakamani, bungeni, ndani na nje ya nchi.

“Huu ni mwendelezo wa serikali na mabavu. Hawataki vyama vingine vya siasa kufanya mikutano,” amesema Mbowe na kuongeza kwamba, watakwenda mahakamani na kuongeza.

Taarifa kuhusu vurugu hizo zinaeleza kuwa, Jeshi la Polisi lilitumia maji ya kuwasha pamoja na mabomu ya machozi kutawanya watu waliokuwepo kwenye mkutano wa hadhara ulioitishwa na CHADEMA mjini Kahama.

Mkutano huo ulikuwa ni uzinduzi wa ‘Dai Demokrasia’ ambapo Jeshi la Polisi liliingilia kati na kuuzuia ikiwa ni muda mchache baada ya Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam kuzuia kufanyika kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa nchini.

“Jeshi la Polisi kupitia vyanzo vyake mbalimbali vya habari limebaini kuwa, mikutano hiyo ina lengo la kuwahamasisha wananchi kutotii sheria za nchi (Civil disorder),” ilieleza taarifa ya Nsato Mssanzya, Kamishna wa Polisi Operesheni na Mafunzo, Makao Makuu jijini Dar es Slaam jana

Vurugu hizo zilianza saa nane mchana baada ya polisi waliojiandaa kufika kwenye eneo la tukio na kisha kuuzuia kufanyika mkutano huo.

Hatua ya polisi kutoa maelezo ya kuzuia mkutano huo na kutaka watu watawanyike ilianza kuzua mzozo na hatimaye vurugu ambapo wananchi waliokuwa kwenye viwanja vya mkutano vya CDT walianza kupambana na polisi.

Hali hiyo iliwalazimu polisi kutumia mabomu ya machozi pamoja na maji ya kuwasha huku wananchi wakitumia mawe kukabiliana na mshindo wa polisi Kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU).

Hayo yalifanyika ikiwa tayari Mbowe pamoja na viongozi wenzake wakiwa tayari wamewasili kwenye mkutano huo.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa, Mbowe, Dk. Vincent Mshinji, Katibu Mkuu wa CHADEMA pamoja na wabunge waliosimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge walizingirwa na polisi huku wakimwagiwa maji ya kuwasha wakiwa kwenye magari yao.

Hali hiyo inaelezwa kuwazidisha hasira wananchia waliokuwa wamekwenda kuhudhuria ufunguzi huo na kusababisha kuwatupia mawe polisi.

Kabla ya tukio hili, yalianza majibizano kati ya polisi na viongozi wa CHADEMA kwa kutumia vipaza sauti.

Polisi walitumia kipaza sauti kilichokuwa kwenye gari lao kwa kusema “Tangazo, tunawataka wananchi mliopo kwenye uwanja huu muondoke kwa sababu mkutano huu si halali. Ondokeni eneo hili kwa ajili ya usalama wenu. Huu mkutano si halali.”

Julius Mwita, Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) alishika kipaza sauti na kupuuza tangazo la polisi.

“Hapa polisi CCM wasituvuruge. Jamaa wametupa wenyewe barua ya uturuhusu tufanye mkutano wetu, leo wanakuja na washawasha zao kuzuia, ebooh!” alisema Mwita.

Wakati akipuuza tangazo hilo wananchi waliokuwepo kwenye uwanja huo walikuwa wakimshangilia.
hahahaha..kwani ameshawahi kuwa mbele kwenye jambo lolote?
 
Ukawa juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.............................................
 
Naona kwako watu wakifanya mambo kwa kuficha ficha uwa unaenjoy sana na kuona maisha yanaenda sawa
Mshaija toka bunge la bajeti lianze kuna habari ipi hujaisikia?
Wahaya mnadai nyie ni vichwa,yaani umeingia mkenge kuwaamini wasanii
 
Back
Top Bottom