Mbowe: Haturudi nyuma

Mbowe: Haturudi nyuma

Siasa za majukwaani zina wakati wake. Vipindi kama hivi siasa zinapigwa bungeni. Kama mmeshindwa kwenye uchaguzi na wabunge wenu ni wachache hakika hamtafurukuta. Inatakiwa kipindi hiki kitumiwe kujipanga upya kimfumo ndani ya chama. Hizi siasa za kudandia hoja za vikashfa vya hapa na pale si endelevu. CHADEMA mtajifunza hili lini? Tunataka tuone chama chenye mfumo unaoeleweka, siyo chama cha mikutano mikubwa ya kisiasa. Toka uchaguzi upite, hakuna hoja coherent iliyokwishasimamiwa na CHADEMA ikasimama. Sana sana imekuwa ni kucheza ngoma ya Magufuli na CCM; Magufuli kafanya vile, CHADEMA inapinga! Magufuli katumbua majipu CHADEMA inapinga. Magufuli hasafiri nje, CHADEMA inapinga, lazima asafiri taifa lisitengwe. Serikali imenyimwa misaada, CHADEMA ikashangilia. Wale wale walionyima misaada wamegeuka wanatangaza misaada mingi zaidi - CHADEMA in hoja gani?

Hizo siasa za matukio hazifiki mbali. CHADEMA imeteua katibu mkuu ambaye amebaki kwenye mashubaka. Hoja ni Lowasa na Sumaye?? ....... .... hao wote ni X CCM. Wana jipya gani? Halijaonekana mbali na yale yale ya kulalamikia kashfa za hapa na pale!
 
Mbowe acha matamko, chukua hatua. Kumbuka hadi leo haujatupa muongozo wa kudai tume huru ya uchaguzi. Nenda mahakamani katafute haki huko....
 
Miezi Sitta Tu Tayari Wanatembelea Magoti Ikifika Minne Si Watatembelea Ndimi!
Mbowe Tuko Nyuma Yako na Bega kwa Bega Kuleta Mabadiliko!
#FreeMalisaGodlisten!
naacha Bunge huko anaendekeza mambo yasiyo na maana. Tatizo kwa sasa hawana hoja Bungeni wanaanza kutafuta umaarufu kwa njia nyingine! Shame on them. Actually tunatakiwa kuandamana kwa wabubge kuchukua posho na kwenda kulala!
 
Miezi Sitta Tu Tayari Wanatembelea Magoti Ikifika Minne Si Watatembelea Ndimi!
Mbowe Tuko Nyuma Yako na Bega kwa Bega Kuleta Mabadiliko!
#FreeMalisaGodlisten!
Ujinga mtupu,nani sasa anatembelea magoti kati ya nyie mliopinga ufisadi hadi kuwa makuwadi wa mafisadi? Hujui kama wametumwa na mafisadi na waliotumbuliwa kujaribu kuwasaidia, Mbowe kwa sasa hivi kama mwenyekiti, amepoteza legality kabisa ya kuwa mtetezi wa wanyonge.
 
CHADEMA hakuna wabunifu kabisa....mwenzao Magufuli anajaribu kutatua kero za wananchi masikini wenyewe wanakuja na operesheni "Dai Demokrasia"...safari bado ni ndefu alop
 
CCM kwisha habari yenu pamoja na sifa za kijinga mnazotafuta kutumbua majipu mmegundua wananchi hawana time na ninyi.. Muda ukifika mambo hadharani viva CHADEMA
 
Vita h

Vita havipiganwi kwa hivo bwana mkubwa. Wingi si hoja, kinachohitajika ni maandalizi, kama hamjafanya maandalizi ya kupigana hata mkiwa milioni dhidi ya mmoja ni kazi bure. Ni mara chache sana wananchi wanaweza kuamua kupambana na askari ana kwa ana. Labda katika nchi zilizopitia misukosuko na watu wake kuingiwa usugu na mind zao kujiset kwa lolote. Kwa Tz hali ni tofauti kwa sababu ukiacha hawa beneficiaries wa siasa, sisi wengine kuwa ccm ama cdm hakupunguzi ama kukuongezea chochote katika maisha yangu kila siku. Why die for no big deal.
Why die for no big deal inaanza kupotea mkuu, ndio maana unesikia kuwa raia walianza kupambana kwa kutumia mawe. Tabia hiyo ikikomaa yataanza mabomu ya petrol nk. Sio jambo jema kuwazoesha ujasiri huo raia kwa kuwakandamiza.
 
Demokrasia ya kweli kunakuwa na nafasi ya kujieleza kwa jamii ama mtu mmoja mmoja.



NB:Nahifadhi maneno
 
Safari hii mtakoma maana zero ndiyo kashika akili zenu. Tena ningekuwepo mimi hapo kahama ningewachapa zaidi, mnatakiwa mukomeshwe kwa akili zenu za kizezeta! Sasa tunahitaji kufanya kazi na siyo maandamano au kueneza chuki. Yaani mpaka 2020 hamtakuwa na wafuasi maana sasa kila mwananchi anamkubali Dr Magufuli
Unaongelea kazi gani kufanya we layman, wenye kazi zao wametulia kimya wakinyonya maziwa na asali.
Au unadanganyika na tafsiri ya hapa kazi tu,ukidhani mwosha choo unatambulika acha umbulula wewe.
 
hivi kwa nini hizo akili na nguvu mlizo nazo msitafute biashara ...nina hakika CHADEMA mnazo pesa kwa nini msiwe watulivu na kujaribu kuvumbua jinsi ya kutafuta pesa kuliko kuwachosha watu kwenye mikutano.....mnge jipa miaka minne au mitatu ya kutafuta biashara alafu mwaka wa nne ndiyo mwanze hiyo mikutano....two negatives does not make it right. I'm sure you people are very smart, but, you are just too angry with life! jamani try to be positive kidogo tuweze kuijenga nchi yetu nzuri! nawaombeni tutulie, MWENYE ENZI MUNGU ni Mwaminifu sana tumtumaini kwa upole naye atatenda....nawatakia nyote maisha mema pamoja na familia zenu! MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRICA
 
Dah! Namhurumia sana baba Jesca. Zile sifa zote alizokuwa anapewa sasa hapewi tena. Anashambuliwa kila kona. Amepoteza uelekeo. Asitarajie kupata mafanikio katika utawala wake kwa sababu nchi yenye vurugu kamwe hapati kuendelea. Vurugu anazianzisha mwenyewe kwa kuamua kupambana na vyama vya upinzani. Amelikoroga na atalinywa.
 
Vp wapinzani warudi nyuma na mapambano yaliyoanza yashafika mstari wa mbele, au tuseme upinzani huko juu ya kelele, wacha chavi wapige kelele.
 
Mzaha mzaha hutumbuwa usaha.machafuko huanzaga hivi hivi mwisho wake nchi inaingia kwenye machafuko.
 
Back
Top Bottom