Mbowe: Haturudi nyuma

We are used to your journeys that always start but end nowhere. Go on because that is what you know; making a lot of noise but zero results.
 
NAUZA! WALE WAZEE WETU. SUMAYE NA LOWASSSA WALIKUWEPO KIPINDI MABOMU YANALINDIMA?
 
Huwa nawaza kila wanapotoka katika ukumbi wa bunge, kwa kawaida huwa wanaamka alfajiri wanajiandaa kwa kupiga suti matata, wanabeba mabegi ili kuwawakilisha waliowachagua lakini muda wa uwakilishi ukianza wanatoka nje. Hahaha sasa kuna maana gani ya kujisumbua kuamka na kuulamba na kuamka mapema hivyo.
Acha tuendelee kufanya utalii wa ndani
 
kuna suala posho ni haki yao usipoweka dole ysn fingerprint no allowance
 
Wewe je unayeamka asubuhi na kwenda Lumumba hili ulipwe kwa post..
 
halafu polisi mkituona tumeandamana na muheshimiwa wetu mbowe mtuchalaze bakora wote.yale ya kumchukua kikubwa na kumpeleka central baadaye mnamuacha ndo siwaelewagi.kama kichura na yeye aruke kama buti la mdomo tupigwe naye
 

Wanakuchekesha? Haya cheka mpaka unenepe, kwani mafisiemu mumebakishiwa akili za kuvukia bara bara na kukenua kenua meno tu
 
Afu kinachouma zaidi wanalamba na kodi zetu bure...Yaani ningewaona wa maana badala ya kuzichukua wao hizo posho wangezichukua na kukabidhi majimboni kwao kwa maana kiuhalisia hawastahili kuzichukua sababu hawatuwakilishi kama tulivyo watuma na kwasababu KATIBA yetu imeruhusu mwanya huu wa kujichukulia posho bure TUNGEWAONA WA MAANA wasaini na wazichukue posho hizo na kuzielekeza majimboni mwao na wao kubaki na a certain percentage na sikujinufaisha wao tu na kuwaumiza wananchi .....
 
DEMOCRASIA INABAKWA UNAKENUA MENO,.!STU....PD.
 
Chama cha vurugu na wasiotii mamlaka

Huwezi kuwa na vyama vya siasa visivyofanya mikutano ya hadhara ya kisiasa, maadamu ni vyama vya upinzani kwa vyovyote vile vitaponda utawala wa mtawala na kunadi utawala mbadala ili wakati ukifika wachaguliwe!!! Hii ndiyo utawala wa vyama vingi.
 
Kwanza ndo panakucha tunaanza kuona mengi.....
 
kwa mtazamo wangu wabunge wa upinzani walipaswa kulipwa zaidi....
 
Ninazidi kushangaa mapambano yanayotokea sasa kati ya upinzani NA chama tawala kuna nini ni siasa tu au ni kushindwa kwa upinzani au chama tawala mapema
 
Huwezi kuwa na vyama vya siasa visivyofanya mikutano ya hadhara ya kisiasa, maadamu ni vyama vya upinzani kwa vyovyote vile vitaponda utawala wa mtawala na kunadi utawala mbadala ili wakati ukifika wachaguliwe!!! Hii ndiyo utawala wa vyama vingi.
Hoja nzuri,lakin wapinzani wa kwetu ni matapeli tu
 
Utawezaje kutii mamlaka yenye kila dalili ya chembe chembe za ushetani??
Kahoji kitabu chako kilichokuelekeza utiifu kwa mamlaka
Uasi dhidi ya mamlaka,ni dalili ya shetani
 
Polisi wana uchungu na CCM kuliko hata CCM wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…