kinguo
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 440
- 319
Miezi Sitta Tu Tayari Wanatembelea Magoti Ikifika Minne Si Watatembelea Ndimi!
Mbowe Tuko Nyuma Yako na Bega kwa Bega Kuleta Mabadiliko!
#FreeMalisaGodlisten!
Pamoja makamanda tutashinda.
Miezi Sitta Tu Tayari Wanatembelea Magoti Ikifika Minne Si Watatembelea Ndimi!
Mbowe Tuko Nyuma Yako na Bega kwa Bega Kuleta Mabadiliko!
#FreeMalisaGodlisten!
peoples'...Pamoja makamanda tutashinda.
Hivi unafanya kazi kweli wewe, manake kila jukwaa nakuona upo, nikilog off nikirudi nakukuta online, naona na wewe ni mojawapo ulioajiriwa lumumba, kwa siku buku 7 unapanda mwendo kasi kurudi nyumbani, nadhani unalipwa kwa kutokana na comments zako za kuponda, fanya kazi dada, lumumba haitakusaidia lolote mangapi tumeona au njoo nikuajiri katika kampuni yangu uachane na hao lumumbaSafari hii mtakoma maana zero ndiyo kashika akili zenu. Tena ningekuwepo mimi hapo kahama ningewachapa zaidi, mnatakiwa mukomeshwe kwa akili zenu za kizezeta! Sasa tunahitaji kufanya kazi na siyo maandamano au kueneza chuki. Yaani mpaka 2020 hamtakuwa na wafuasi maana sasa kila mwananchi anamkubali Dr Magufuli
Safari hii mtakoma maana zero ndiyo kashika akili zenu. Tena ningekuwepo mimi hapo kahama ningewachapa zaidi, mnatakiwa mukomeshwe kwa akili zenu za kizezeta! Sasa tunahitaji kufanya kazi na siyo maandamano au kueneza chuki. Yaani mpaka 2020 hamtakuwa na wafuasi maana sasa kila mwananchi anamkubali Dr Magufuli
Siyo wewe tuNilianza kumuamini Kidogo ila kwa sasa sina iman nae kabisa
Neno "kila mwananchi" umelitumia ukimaanisha nini?Safari hii mtakoma maana zero ndiyo kashika akili zenu. Tena ningekuwepo mimi hapo kahama ningewachapa zaidi, mnatakiwa mukomeshwe kwa akili zenu za kizezeta! Sasa tunahitaji kufanya kazi na siyo maandamano au kueneza chuki. Yaani mpaka 2020 hamtakuwa na wafuasi maana sasa kila mwananchi anamkubali Dr Magufuli
wewe unamuhukumu mwenzio kwa dhambi unayofanya? "hatujakupa kibali sisi kama wananchi kututolea tamko kwamba wote tunamkubali!!!!" wewe unamsemea nani aliyekutuma hapo sasa jiongelee mwenyewejisemee mwenyewe, hatujakupa kibali sisi kama wananchi kututolea tamko kwamba wote tunamkubali, acha ujesca ebooo!!!!
Kwa katiba tuliyo nayo,haujakosea kuyasema hayo lakini tungekuwa na katiba ya wananchi haya usingeyasema!!!!!Ukawa kumbukeni uhuru una mipaka yake,Demokrasia ipi tena inatakiwa?
Mamlaka ya shetani, kwaninhaikupata baraka kutoka kwa mungu.Chama cha vurugu na wasiotii mamlaka
Vita havipiganwi kwa hivo bwana mkubwa. Wingi si hoja, kinachohitajika ni maandalizi, kama hamjafanya maandalizi ya kupigana hata mkiwa milioni dhidi ya mmoja ni kazi bure. Ni mara chache sana wananchi wanaweza kuamua kupambana na askari ana kwa ana. Labda katika nchi zilizopitia misukosuko na watu wake kuingiwa usugu na mind zao kujiset kwa lolote. Kwa Tz hali ni tofauti kwa sababu ukiacha hawa beneficiaries wa siasa, sisi wengine kuwa CCM ama CHADEMA hakupunguzi ama kukuongezea chochote katika maisha yangu kila siku. Why die for no big deal.#HAPAHOFUTUU ndio falsafa yao. Hivi wanadhani washiriki wa mkutano 20,000 wakiamua kupambana na hao polisi 100 kutakuwa na usalama hapo?
Ni kweli watawaua kadhaa lakini hata baki polisi hata mmoja. Hilo hatutaki litokee katika nchi hii. Wasilazimishe
Utakua mkurupukaji na mlopokaji kama huyo unayemtetea.Safari hii mtakoma maana zero ndiyo kashika akili zenu. Tena ningekuwepo mimi hapo kahama ningewachapa zaidi, mnatakiwa mukomeshwe kwa akili zenu za kizezeta! Sasa tunahitaji kufanya kazi na siyo maandamano au kueneza chuki. Yaani mpaka 2020 hamtakuwa na wafuasi maana sasa kila mwananchi anamkubali Dr Magufuli
Hata ukikosa imani wewe, wapi wenye imani wanaendeleza imani UKAWAHatuna imani na ufipa tangu wabadili gia angani .
Una elimu gani,?Polisi wa Kahama waliniudhi sana, walitakiwa kula kichapo hasa hadi wabadili gia angani. Wabunge wako kazini bungeni yy yeye anahamasisha vurugu, kama ana hamu ya kupiga kelele aende HAI kahama ina MBUNGE wake!