KipimaPembe
JF-Expert Member
- Aug 5, 2007
- 1,285
- 699
naacha Bunge huko anaendekeza mambo yasiyo na maana. Tatizo kwa sasa hawana hoja Bungeni wanaanza kutafuta umaarufu kwa njia nyingine! Shame on them. Actually tunatakiwa kuandamana kwa wabubge kuchukua posho na kwenda kulala!Miezi Sitta Tu Tayari Wanatembelea Magoti Ikifika Minne Si Watatembelea Ndimi!
Mbowe Tuko Nyuma Yako na Bega kwa Bega Kuleta Mabadiliko!
#FreeMalisaGodlisten!
Hivi jana kibali sikilitokaUkawa kumbukeni uhuru una mipaka yake,Demokrasia ipi tena inatakiwa?
Ujinga mtupu,nani sasa anatembelea magoti kati ya nyie mliopinga ufisadi hadi kuwa makuwadi wa mafisadi? Hujui kama wametumwa na mafisadi na waliotumbuliwa kujaribu kuwasaidia, Mbowe kwa sasa hivi kama mwenyekiti, amepoteza legality kabisa ya kuwa mtetezi wa wanyonge.Miezi Sitta Tu Tayari Wanatembelea Magoti Ikifika Minne Si Watatembelea Ndimi!
Mbowe Tuko Nyuma Yako na Bega kwa Bega Kuleta Mabadiliko!
#FreeMalisaGodlisten!
Why die for no big deal inaanza kupotea mkuu, ndio maana unesikia kuwa raia walianza kupambana kwa kutumia mawe. Tabia hiyo ikikomaa yataanza mabomu ya petrol nk. Sio jambo jema kuwazoesha ujasiri huo raia kwa kuwakandamiza.Vita h
Vita havipiganwi kwa hivo bwana mkubwa. Wingi si hoja, kinachohitajika ni maandalizi, kama hamjafanya maandalizi ya kupigana hata mkiwa milioni dhidi ya mmoja ni kazi bure. Ni mara chache sana wananchi wanaweza kuamua kupambana na askari ana kwa ana. Labda katika nchi zilizopitia misukosuko na watu wake kuingiwa usugu na mind zao kujiset kwa lolote. Kwa Tz hali ni tofauti kwa sababu ukiacha hawa beneficiaries wa siasa, sisi wengine kuwa ccm ama cdm hakupunguzi ama kukuongezea chochote katika maisha yangu kila siku. Why die for no big deal.
Unaongelea kazi gani kufanya we layman, wenye kazi zao wametulia kimya wakinyonya maziwa na asali.Safari hii mtakoma maana zero ndiyo kashika akili zenu. Tena ningekuwepo mimi hapo kahama ningewachapa zaidi, mnatakiwa mukomeshwe kwa akili zenu za kizezeta! Sasa tunahitaji kufanya kazi na siyo maandamano au kueneza chuki. Yaani mpaka 2020 hamtakuwa na wafuasi maana sasa kila mwananchi anamkubali Dr Magufuli
Chama cha vurugu na wasiotii mamlaka
Wewe na nani?Hatuna imani na ufipa tangu wabadili gia angani .