Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

Na wewe kwa akili yako unaamini hawakuwa na sifa!. MACCM walimpitisha vipi Masha kuwa Mbunge kama hakuwa na sifa? Kikwete alimpa vipi uwaziri Masha kama hakuwa na sifa? Au wanakosa sifa wakiwa Chadema tu lakini wakiwa kwa MACCM basi wanakuwa na sifa!? Acha kukurupuka kuandika pumba.
Haina tofauti na simba na yanga huko ni kukosa uzalendo kura zimepigwa kwa ushabiki
 
Mbona Ccm wameleta wagombea 12?
Mbona Chadema hawakuleta pairs ili demokrasia ichukue mkondo wake lakini pia suala la jinsia.
Potelea mbali basi wangeleta wote wawili wa kike AU mmoja wa kike na mmoja wa kiume (very simple logic?
Why wategemee Ccm ndio ibalance gender equality?
It's shameful.

Mmoja kati ya Masha na Wenye ni mwanamke.
 
Siwalaumu CDM kucheza at fringe of legality kukabiliana na udikteta wa wabunge wa CCM. We shall overcome.
Sheria na kanuni lazima ziwe stretched na kama wanakwenda waende ile mahakama ya Africa Mashariki. Hapo tutapata tafsiri mujarabu. Litakalo toka huko bunge litekeleze bila kujali nani ataathirika.
 
Huna akili Wewe na Mboe.
Mchakato wa kuleta wabunge Mfukoni umewagharimu.
Anzeni kuleta demokrasia ndani YA chama chenu kabla ya kumnyooshea kidole Magufuli.
Ona aibu YA mwaka hiyo, na bado
Mbona JK alienda na majina mfukoni Dodoma lakini bado mliogopa kumwambia Ukweli, huko kugharimu kwa wabunge wa CCM kufanya mambo ya kihuni wakati wengi ni wazee itaendelea kuwagharimu nao kwani mungu hutoa hukumu kote hata magufuli ataendelea kuwakomoa kama alivyomkomoa Nape, wanafiki wa CCM malipo na hapa hapa Duniani.
 
Chadema waliwachanganya wapiga kura maana walitafuta jinsia wakaona hakuna japo Chadema wanasema walizingatia hilo
 
Kwa matokeo haya inaonesha ni jinsi gani wabunge wa CCM wanavyoweka mbele maslahi dhalimu ya chama na kuweka kando maslahi mapana ya taifa. Kweli nimeamini CCM ni ile ile!
 
Naona pia CCM wamempigia mgombea wa Mzee Lipumba ili kuhakikisha CUF inapasuka.

Kingine CCM walikuwa wanataka usawa wa Jinsia ,mbona wakampigia mgombea wa Lipumba wa kiume badala ya wa kike?
 
wapiga kura waliona wagombea hawafai, ndo sababu wakapiga kura ya hapana. Vp ulitaka wapigiwe kura tu hata kama hawana sifa mkuu?

Sifa gani ambazo hawana?
Utaratibu unabidi ubadilishwe, wabunge wa east Africa wawe wanapitishwa na vyama vyao tu bungeni waingie kwa ajili ya kuelezea matarajio yao na ahadi watakazoifanyia nchi katika bunge hilo. Na si vinginevyo.
 
Sheria na kanuni lazima ziwe stretched na kama wanakwenda waende ile mahakama ya Africa Mashariki. Hapo tutapata tafsiri mujarabu. Litakalo toka huko bunge litekeleze bila kujali nani ataathirika.
Umekuwa mtabiri wa matokeo mahakamani? au napo mtapeleka kuhonga pesa za viwanda kama mnavyotumia pesa za Safari za nje na zile za kubana matumizi kuwahonga watu wamlinde Daud Bashite, Ni vigumu maendeleo kuja endapo CCM wataendelea na style hii mbovu.
 
Sifa gani ambazo hawana?
Utaratibu unabidi ubadilishwe, wabunge wa east Africa wawe wanapitishwa na vyama vyao tu bungeni waingie kwa ajili ya kuelezea matarajio yao na ahadi watakazoifanyia nchi katika bunge hilo. Na si vinginevyo.
Unapendekeza na uraisi wawe wanapigiwa na wanachana wao tu?
 
Ni kweli inawezekana Chadema walipaswa kuwa na wagombea zaidi ya wawili lakini Sheria hakusema hivyo na wala kanuni hasemi hivyo kwamba majina mangapi yapelekwe! Kinachosemwa ni utamaduni kwamba wangekuwa zaidi ya wawili! Kuhusu hapana siyo kwamba hawafai au hawana uwezo si hivyo pia sema siasa za kwetu hapa Tanzania hatujui mambo ya nchi na mambo ya vyama! Bunge la Africa mashariki zaidi ya ulaji lakini pia unajenga na kuonesha image ya nchi. Kenya wana strong opposition parties na Kwao za muhimu ni nchi siyo vyama. Sisi bado tunawaza vyama! Uchaguzi ukiisha tunapaswa kupata team ya kutetea maslahi ya Tanzania. Kwa nchi yetu tatizo kubwa siyo raisi ni bunge ambalo limegawanyika vipande vya wao na sisi, wabunge wa ccm wanaona hawahitaji Chadema kwa namna yeyote ile.

Ebu waza kabisa bunge ambalo lina tings Sheria linasema limepokea majina ya CUF A na B hivi vyama vimesajiliwa lini? Ni lini vilitambuliwa kama vyama viwili vya siasa? Sheria inasema lazima form zisainiwe na katibu mkuu wa Chama sasa CUF ina makatibu wakuu wawili? Kisheria uchaguzi ulikuwa batili kwa hoja ya CUF mahali penye Sheria unaweza kufutwa wote kwamba Sheria hazikufuatwa! Bado tuna safari ndefu Maana CCM wanapenda vyama hivi viweze kutawaliwa kama wanavyowaza wao. Wale wabunge hawaendi kuwa wapinzani wa CCM, tungewakata kwa ubovu wake ingekuwa sawa!
 
Na wewe kwa akili yako unaamini hawakuwa na sifa!. MACCM walimpitisha vipi Masha kuwa Mbunge kama hakuwa na sifa? Kikwete alimpa vipi uwaziri Masha kama hakuwa na sifa? Au wanakosa sifa wakiwa Chadema tu lakini wakiwa kwa MACCM basi wanakuwa na sifa!? Acha kukurupuka kuandika pumba.

Unajua alichofanya baada ya kupewa hizo nafasi? Alipewa nafasi hakaonekana hana sifa.
 
Chadema wapendekeze majina ya Profesa Lipumba na Lyatonga Mrema. Ndiyo majina wanayoyataka CCM. Watapigiwa kura za ndiyo nyingi tu...
 
Ni muda muafaka kwa CHADEMA kubadili kifungu chake cha katiba ili iruhusu wasioridhika na maamuzi ya chama waende mahakamani.

Kwamba mwanachama asiporidhika na maamuzi ya chama ahame chama,sasa mbona wao hawahami nchi wasiporidhika na maamuzi kama hayo ya Jana?

Ni unafiki kwamba ndani ya chama marufuku mwanachama kwenda kupinga maamuzi ya chama mahakamani ilhali chama kiko mahakamani kila siku kupinga maamuzi mbalimbali.

Kama HAKI inapatikana mahakamani then kwa nini wawazuie wanachama wao kwenda huko wasiporidhika na maamuzi ya chama?

Chama chenye the so called wanasheria nguli kinakuwaje na vifungu vya kipumbavu hivyo kwenye katiba yake utadhani lile Ni shirikisho la mpira WA miguu mwanachama wa FIFA.
CCM waanze hiyo katiba kwani CCM ni zidumu fikra za Mwenyekiti wa chama hata akiamua kujaza wasukuma watupu Lumumba hakuna wa kuthubutu kumuuliza.
 
Demokrasi ya kupigia kura za hapana kwa wagombea wa Chadema tu! Kweli hii ni demokrasi! Wakati wagombea wengine hakuna hata mmoja aliyeambulia kura za hapana!
pelekeni wagombea watatu au wanne watu wakachague mnapeleka watu wawili halafu unataka watu wachague wawili ndiyo nini siasa gani za kishamba hizo.
 
Chadema wapendekeze majina ya Profesa Lipumba na Lyatonga Mrema. Ndiyo majina wanayoyataka CCM. Watapigiwa kura za ndiyo nyingi tu...
Hao CCM tena bora hata mrema hana shida sana lakini Profeselii wa olijino comedy Lipumba kwa sasa CCM wengi hawamtaki baada ya kugundua kuwa anakula pesa zao nyingi na michepuko badala ya kuzitumia kuua CUF kama walivyokusudia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom