Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,641
6,692
Baada ya Wagombea waliopendekezwa na CHADEMA Wenje Na Masha kupigiwa kura nyingi sana za HAPANA kuwania kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki

Mbowe ameibuka na kuongea na wanahabari na kusema kuwa wanapinga matokeo hayo, na wanajiandaa kufungua kesi mahakamani kupinga matokeo hayo!

Na wewe kwa akili yako unaamini hawakuwa na sifa!. MACCM walimpitisha vipi Masha kuwa Mbunge kama hakuwa na sifa? Kikwete alimpa vipi uwaziri Masha kama hakuwa na sifa? Au wanakosa sifa wakiwa Chadema tu lakini wakiwa kwa MACCM basi wanakuwa na sifa!? Acha kukurupuka kuandika pumba.

wapiga kura waliona wagombea hawafai, ndo sababu wakapiga kura ya hapana. Vp ulitaka wapigiwe kura tu hata kama hawana sifa mkuu?
 
Na wewe kwa akili yako fupi unaamini hawakuwa na sifa!. MACCM walimpitisha vipi Masha kuwa Mbunge kama hakuwa na sifa? Kikwete alimpa vipi uwaziri Masha kama hakuwa na sifa? Au wanakosa sifa wakiwa Chadema tu lakini wakiwa kwa MACCM basi wanakuwa na sifa!? Acha kukurupuka kuandika pumba.
Waliokuwa kwenye uchaguzi wanajua. wewe huhusiki chochote, achana na ushabiki wa kinyumbu utaumiza roho yako bure... Pilipili ya shamba wewe inakuwashia nini?
Basi nikwambie tu, Huyo Masha hata halalamiki hadi sasa, anajua hiyo ni democrasia/
Ok, nikwambie tu mtu kuwa mbunge wa bunge la JMT na pia kupewa uwaziri sio sifa ya kuwa mbunge wa bunge la africa mashariki. Tumia akili sio kuharisha tu
 
Baada ya Wagombea waliopendekezwa na chadema Wenje Na Masha kupigiwa kura nyingi sana za HAPANA kuwania kuiwakilisha tanzania katika bunge la africa maahariki

Mbowe ameibuka na kuongea na wanahabari na kusema kuwa wanapinga matokeo hayo, na wanajiandaa kufungua kesi mahakamani kupinga matokeo hayo!
Mleta mada hujatoa ufafanuzi na swala hili haliko kama ulivyoliandika

Sababu kwa mtu ambaye hajui kilichojiri jana na matakwa ya idadi ya wabunge EALA kwa chama tawala, chadema, cuf na nafasi za nyingine akisoma bandiko lako anapata picha ambayo siyo sahihi

Labda kama una malengo yako binafsi
 
Demokrasi ya kupigia kura za hapana kwa wagombea wa Chadema tu! Kweli hii ni demokrasi! Wakati wagombea wengine hakuna hata mmoja aliyeambulia kura za hapana!

Technically CHADEMA walikosea sana. Viongozi wa CHADEMA wanatakiwa wajue strengths na weaknesses zao. Wasidhani wanaweza ku dictate kila kitu kila mahali. Chama kinachojinadi kuwa ni cha demokrasia kinakuwa cha kwanza kupinga demokrasia. Unawezaje kuteua watu wawili tu kwa nafasi mbili eti ili wapite bila kupingwa? Sasa bunge kazi yake ilikuwa ku rubber stamp tu au kuchagua? Katibu wa bunge aliwashauri mapema wakasema wataenda mahakamani. Basi waende. Yaani wafanye upuuzi halafu waangaliwe tu? It can't be. Lazima wajifunze. Waende tu mahakamani
 
Chadema mmekuwa vilaza na wepesi mno inamaana mlitaka mlitumie bunge kuhalalisha upuuzi wenu ndani ya chama chenu kisichofuata demokrasia? Mleta mada mwambie mwenyekiti wako mwenye tuhuma za kukwepa kodi aitishe uchaguzi wa kuteua wagombea wa EaLA kupitia chadema na sio kuleta figisu kamma mlivyoteua mgombea wenu wa urais
 
Technically CHADEMA walikosea sana. Viongozi wa CHADEMA wanatakiwa wajue strengths na weaknesses zao. Wasidhani wanaweza ku dictate kila kitu kila mahali. Chama kinachojinadi kuwa ni cha demokrasia kinakuwa cha kwanza kupinga demokrasia. Unawezaje kuteua watu wawili tu kwa nafasi mbili eti ili wapite bila kupingwa? Sasa bunge kazi yake ilikuwa ku rubber stamp tu au kuchagua? Katibu wa bunge aliwashauri mapema wakasema wataenda mahakamani. Basi waende. Yaani wafanye upuuzi halafu waangaliwe tu? It can't be. Lazima wajifunze. Waende tu mahakamani
We naona kidogo umenielewesha! Iweje wapite bila kupingwa?
 
Baada ya Wagombea waliopendekezwa na chadema Wenje Na Masha kupigiwa kura nyingi sana za HAPANA kuwania kuiwakilisha tanzania katika bunge la africa maahariki

Mbowe ameibuka na kuongea na wanahabari na kusema kuwa wanapinga matokeo hayo, na wanajiandaa kufungua kesi mahakamani kupinga matokeo hayo!

172460.jpg

:D:D:D:D:D:D:D ni shidaaa aisee!
 
Back
Top Bottom