Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

Tony antony

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
4,985
2,000
kule vyuo vikuu wanasema CHADEMA kajipiga technical sup....kwani angeleta watatu tuu kungekua na shida gani??
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
105,141
2,000
Demokrasi ya kupigia kura za hapana kwa wagombea wa Chadema tu! Kweli hii ni demokrasi! Wakati wagombea wengine hakuna hata mmoja aliyeambulia kura za hapana!
Ccm ni janga la demokrasia hapa nchini
 

ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,805
2,000
Bado hujaelewa hiki pambano mkuu,ccm walivyo na chuki hata ukiweka jiwe ligombee na masha ccm wange pigia hilo jiwe kwa ajili ya chuki.hivyo chadema waliliona hilo mapema ndo mana wakabana
CCM wengi ni wazee cha ajabu wazee wa CCM wana mambo ya kukomoana kihuni kuliko vijana, wenzetu wazungu wakiwa wazee huwa na hekima sana lakini Africa wazee wengi huwa wachawi na kuwa na roho mbaya.
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,041
2,000
Umekuwa mtabiri wa matokeo mahakamani? au napo mtapeleka kuhonga pesa za viwanda kama mnavyotumia pesa za Safari za nje na zile za kubana matumizi kuwahonga watu wamlinde Daud Bashite, Ni vigumu maendeleo kuja endapo CCM wataendelea na style hii mbovu.
Mkuu fuatilia nilikuwa najibu nini kabla ya kuchangia. Ninachosema kama tafsiri ya kanuni imepishana CDM wanahaki ya kwenda mahakani kuomba tafsiri. Mahakama ikisha amua kitafuata utekelezaji. Sasa hayo mengine mkuu umeyatoa wapi? Matokeo yanaweza yakakubaliana na CDM au yakakataa huo msimamo.
 

treborx

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,633
2,000
Mwisho wa yote huwa ni aibu. Let's wait and see. Hila hazijawahi kufanikiwa mahali popote hata siku moja.
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,041
2,000
Ni kweli inawezekana Chadema walipaswa kuwa na wagombea zaidi ya wawili lakini Sheria hakusema hivyo na wala kanuni hasemi hivyo kwamba majina mangapi yapelekwe! Kinachosemwa ni utamaduni kwamba wangekuwa zaidi ya wawili! Kuhusu hapana siyo kwamba hawafai au hawana uwezo si hivyo pia sema siasa za kwetu hapa Tanzania hatujui mambo ya nchi na mambo ya vyama! Bunge la Africa mashariki zaidi ya ulaji lakini pia unajenga na kuonesha image ya nchi. Kenya wana strong opposition parties na Kwao za muhimu ni nchi siyo vyama. Sisi bado tunawaza vyama! Uchaguzi ukiisha tunapaswa kupata team ya kutetea maslahi ya Tanzania. Kwa nchi yetu tatizo kubwa siyo raisi ni bunge ambalo limegawanyika vipande vya wao na sisi, wabunge wa ccm wanaona hawahitaji Chadema kwa namna yeyote ile.
Ebu waza kabisa bunge ambalo lina tings Sheria linasema limepokea majina ya CUF A na B hivi vyama vimesajiliwa lini? Ni lini vilitambuliwa kama vyama viwili vya siasa? Sheria inasema lazima form zisainiwe na katibu mkuu wa Chama sasa CUF ina makatibu wakuu wawili? Kisheria uchaguzi ulikuwa batili kwa hoja ya CUF mahali penye Sheria unaweza kufutwa wote kwamba Sheria hazikufuatwa! Bado tuna safari ndefu Maana CCM wanapenda vyama hivi viweze kutawaliwa kama wanavyowaza wao. Wale wabunge hawaendi kuwa wapinzani wa CCM, tungewakata kwa ubovu wake ingekuwa sawa!
Hio ya CUF walijua kukubali makundi yote watampigia CUF LIPUMBA. Hili nalo laweza kwenda mahakani kwa uamuzi. Ni uhuni wa bunge.
 

ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,805
2,000
CCM wamefanya kuwakomoa si kwamba wamepiga kura za rohoni bali ni roho mbaya zimewajaa wanalazimisha kufanya uchawi na mungu anawaona ndiyo maana magufuli nae ataendelea kuwakomoa kama Nape huku mawaziri wakifanya kazi kwa kujipendekeza kwa Daud Bashite wakiamini ndiyo mtetezi pekee kwa msukuma mwenzake,
 

ng'adi lawi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
2,957
2,000
Baada ya Wagombea waliopendekezwa na CHADEMA Wenje Na Masha kupigiwa kura nyingi sana za HAPANA kuwania kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki

Mbowe ameibuka na kuongea na wanahabari na kusema kuwa wanapinga matokeo hayo, na wanajiandaa kufungua kesi mahakamani kupinga matokeo hayo!
Wafungue kesi mahakama ya Afrika Mashariki ili haki itendeke. Kwenye mahakama zetu nina mashaka.
 

Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
4,948
2,000
CCM waanze hiyo katiba kwani CCM ni zidumu fikra za Mwenyekiti wa chama hata akiamua kujaza wasukuma watupu Lumumba hakuna wa kuthubutu kumuuliza.


Kwamba kila ukihoji ujinga wa CHADEMA utetezi unakuwa CCM hivi CCM vile.

Kwa nini msiungane basi kama mna-share kila kitu?
 

ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,805
2,000
Hio ya CUF walijua kukubali makundi yote watampigia CUF LIPUMBA. Hili nalo laweza kwenda mahakani kwa uamuzi. Ni uhuni wa bunge.
CCM ni sunu ya maendeleo nchini pesa za viwanda zote, pesa za Safari za nje zote, pesa za kubana matumizi zote zimeliwa na Lipumba na Bashite kwa visingizio vya kuwalinda kuwatetea na huyo Profeselii mjinga mjinga anadai anazitumia kuua CUF, kwa kweli Tanzania itabakia kuwa Nchi ya vioja maendeleo tutayasikia kwenye bomba.
 

mb man

Member
Sep 30, 2016
33
95
Teh teh teh tuwazimishe ccm wawapgie kina ili huku jf pa2lie mnajidai wana demokrasia halafu matokeo hamyakubali, kweli cdm chama cha porojo mingi nimesh2ka
 

chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,928
2,000
Waliokuwa kwenye uchaguzi wanajua. wewe huhusiki chochote, achana na ushabiki wa kinyumbu utaumiza roho yako bure... Pilipili ya shamba wewe inakuwashia nini?
Basi nikwambie tu, Huyo Masha hata halalamiki hadi sasa, anajua hiyo ni democrasia/
Ok, nikwambie tu mtu kuwa mbunge wa bunge la JMT na pia kupewa uwaziri sio sifa ya kuwa mbunge wa bunge la africa mashariki. Tumia akili sio kuharisha tu
Sifa za kuwa mbunge wa EALA ni zipi mkuu?
 

ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,805
2,000
Huu nao ni aina mojawapo ya upumbavu.

Kwamba kila ukihoji ujinga wa CHADEMA utetezi unakuwa CCM hivi CCM vile.

Kwa nini msiungane basi kama mna-share kila kitu?
Kwani CCM hamuoni upumbavu wenu kabla ya kuhoji wa wengine? Hiyo Tabia ya kuwakomoa watu mtaacha lini? nyie ni watu wazina acheni mambo ya kihuni tuijenge Nchi kwani maendeleo yamedumaa kisa CCM wanatumia pesa za viwanda kudhoofisha upinzani.
 

mbikagani

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
3,110
2,000
Where are the problem?
Kwa nini wasitafute hao jinsia nyingine wawekwe pale ili hicho wanachotaka kifanyike?
Kwani lazima wabunge wawe Wenje na Masha. CDM haina wanawake wenye uwezo?
Ni matumizi mabaya ya ruzuku huko mahakamani.
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
211,651
2,000
Baada ya Wagombea waliopendekezwa na CHADEMA Wenje Na Masha kupigiwa kura nyingi sana za HAPANA kuwania kuiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki

Mbowe ameibuka na kuongea na wanahabari na kusema kuwa wanapinga matokeo hayo, na wanajiandaa kufungua kesi mahakamani kupinga matokeo hayo!
Anapinga hapana ataweza? Kama kweli kasema hivyo nitamshangaa sana. Itabidi akapimwe akili Milembe
 

mharakati

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,273
1,225
Demokrasi ya kupigia kura za hapana kwa wagombea wa Chadema tu! Kweli hii ni demokrasi! Wakati wagombea wengine hakuna hata mmoja aliyeambulia kura za hapana!

Tyranny of numbers...hata brexit kuna watu wameenda mahakamani kuipinga kwa kua walishindwa lakini as they say democracy sometimes isn't fair...kura zimepigwa na watu wameamua ...ongezeni numbers zaidi elections zijazo
 

ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,805
2,000
Hazina wafanyakazi wanalalamika sana wamechoka kumwandikia cheque Lipumba lakini hawana jinsi kwani wanaogopa kutumbuliwa jipu, pesa za Umma zinapotelea kwenye mambo yasiyo na tija kwa Taifa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom