Mbowe: Hatukubali matokeo EALA na tutakwenda mahakamani

Mwanaccm mwenzangu usikumbushe kuhusu hayo makesi maana utawatonesha vidonda vya ICJ mpaka Leo kimya,vidonda vya Maalim Seif kupewa nchi baadae ya miezi mitatu mpaka Leo kimya....
 
Na wewe kwa akili yako unaamini hawakuwa na sifa!. MACCM walimpitisha vipi Masha kuwa Mbunge kama hakuwa na sifa? Kikwete alimpa vipi uwaziri Masha kama hakuwa na sifa? Au wanakosa sifa wakiwa Chadema tu lakini wakiwa kwa MACCM basi wanakuwa na sifa!? Acha kukurupuka kuandika pumba.
Bado wana sifa ?kwa nini mnapoteza heshima zenu sababu ya hela ndogo ndogo
 
Kwa jinsi mchakato huu ulivyokwenda, ni swala la muda tu kabla Mahakama hajaifuta mchakato mzima na kuagiza uchaguzi wote urudiwe iwapo kuna watu watakwenda kufungua kesi mahakamani kuupinga.

Ni wazi sheria/kanuni za uchaguzi zilikiukwa kwa kiwango kikubwa hivyo ni rahisi sana kwa Mawakili kuishawishi Mahakama kufutilia mbali mchakato mzima na kuwatangaza washindi wote/baadhi kuwa si halali.

Wote mlioshinda mjiandae kisaikolojia kupokea maamuzi ambayo yanaweza yasiwafurahishe na ninawashsuri mjiepusha kufanya sherehe za aina yoyote mpaka pale mtakapoona mambo yametulia na hakuna kesi Mahakamani kupinga ushindi wenu.

Aibu nyingine kwa Bunge letu naiona hiyoo inakuja!
Vipi mkuu bado tuendelee kujiandaa kisaikolojia ama!?kesi inaendeleaje mkuu!?bado mnamsimamo na masha kuwa mbunge wenu wa Afrika Mashariki!?
 
Igwe wanaJF

Kuna ile kesi iliyofunguliwa kwa mbwembwe na Chadema kuhakikisha Masha na Wenje wanakuwa wabunge wa EAC kwa sababu waliyosema kuwa "wana akili sana".

Ilitumika nguvu na pesa nyingi kupitia vyombo vya habari huku "mentor" wa Chadema Mambe Kimambi akiporomosha matusi mitandaoni huku mazuzu wakifurahia.

Je Chadema imeachana na kesi hiyo?
Hivi wewe mwanamke hakuna siku utajenga hoja fikirishi yenye manufaa kwa kusaidia kutatua changamoto zinazowwkabili watu? Swali lako kaliulizie kwenye mahakama zilizopelekewa shauri hilo au watafute wasemaji wa cdm.
Ukiona inakupendeza mtafute ndugai.
 
Pambana na hoja
 
mbona unapanic mkuu
 
Igwe wanaJF

Kuna ile kesi iliyofunguliwa kwa mbwembwe na Chadema kuhakikisha Masha na Wenje wanakuwa wabunge wa EAC kwa sababu waliyosema kuwa "wana akili sana".

Ilitumika nguvu na pesa nyingi kupitia vyombo vya habari huku "mentor" wa Chadema Mambe Kimambi akiporomosha matusi mitandaoni huku mazuzu wakifurahia.

Je Chadema imeachana na kesi hiyo?

wamegundua masha hana faida yeyote kwao..ha ha
 
mbona unapanic mkuu
Anchefua na kacheo kake ka mchpeko hako! Kwa mtu wa umri wake sio wakati wa kujadili itikadi muda wote as if siasa anazijua sana bali angetuambia atalirudisha lini bunge live na kuyafungulia magazeti anayoyafungia kwa visa vya mtaani?
 
100% ya matamko ya CDM ni ya kutishia kujampa wakati wanajua wanahalisha. Mwisho wanaishia kufadhaisha wanachama wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom