Najua una machungu sana baada ya zzk kupewa red card
Kama alivyobadili gia ya angani wakati wa Sakata la Escrow Account hadi Mawaziri etc wakapigwa chini
Nani unafikiri anafaa? mbowe ni given KUB...Hamna wa kuzuia hilo
Acheni watu waendeshe vyama vyao. Kama unataka asiwe Mbowe, kagombee umshinde. Bure kabisa
Yeah! na jembe lazima litiwe mpini nyuma ili lipige kazi.
basi mkuu natusikusikie ukitia pua yako katika affairs za ccm . Koma..
We are back and rolling again in d Parliament
basi mkuu natusikusikie ukitia pua yako katika affairs za ccm . Koma..
Mbowe anamuogopa sana Luwasa
Unaweweseka sana
Malofa tumeachwa angani,yeye na Mtei wanafuraia mapato
Unapaparika sana......
Angalau umeweza😆😆😅
Vipi msharudi ICC/ICJ?
Sasa hivi tunashughulikia uraia wa kiongozi mkuu zzk
Mbowe amesababisha CCM kuangushwa kwenye sanduku la kura ... CCM hawana Uhalali wa kutawala kwani wamebaka demokrasia ... Dunia inajua na wananchi wanajua kuwa CCM imechakachua ...
Yule mwanamkakati wa Lowasa kesharudishwa kwao Kenya.......meanwhile zitto has already been sworn in as Kigoma urban MP.