Mbowe hafai kuwa KUB

Mbowe hafai kuwa KUB

tumeambiwa kuchanga laki tatu....

Mmeambiwa wewe na nani?Mtu kawaambia wabunge wa upinzani wamekubaliana kutoa laki 3 kama rambi rambi,ww unawashwa nin?Na ataendelea kuwa Mbowe ili awatie adabu zaidi,mti wenye matunda ndio huwa unapigwa mawe!
 
Kama kawaida wengi wanaomponda Mbowe kwenye uzi huu sio wanachama wa CHADEMA/UKAWA
 
Wabongo bana kwa wengine hafai wao ila ikiwa kwenu majungu...
 
Maana chama katuharibia kabisa,kiukweli vile!hela zile za mchango zinaniuma mimi

Utakuta hili jitu ni la kijani na manjano hafu linajifanya lilichangia. Haya tuambie ngapi ulichangia zinazokupa uhalali wa kumlaumu Mbowe huku ushahidi wa kimazingira unaonesha wewe ni kijakazi cha Lumumba?
 
Leo wana CCM na katawi kao ka ACT wanataka watuchagulie KUB,wamezijua siasa uchaguzi wa 2015,hawajui taratibu na kanuni kuwa KUB anatoka chama kilicho na wabunge wengi wa upinzani,Mbatia atakueje KUB wakati wana mbunge mmoja,CUF wanao wachache kuliko CHADEMA,mmesahau kuwa hakuna chama cha siasa kinaitwa UKAWA,you people mmechoka sana hadi mnashindwa kuwaza,ni aibu kwangu kuchangia mada iliyoletwa na mpuuzi anaeiwazia CHADEMA,tulieni mchomwe sindano ziwaingie vizuri,CDM ni mpango wa mungu kama mmeshindwa kuiua kipindi kile chama hakina ruzuku ya kujiendesha msiote kuiua CDM ya sasa yenye ruzuku ya zaidi ya mil 800 kwa mwezi....
 
Umbea sio mzuri, Mbowe ni kibongobongo mwenye karama za kipekee kabisa
 
Nimegundu siasa mchezo mchafu,wakat we ukiangaika na kupiga kelele,watu wanapiga michongo ya pesa!
 
Basi mwekeni Kikwete atakuwa anafaa sana... Au kwani Riz hatoshi hapo??
 
Kwangu mimi kinachonisikitisha kutoka kwa chair wa KUB Mh Mbowe ni kushindwa kwake kusimamia nidhamu na maadili kwa wabunge wa upinzani hasa wawapo bungeni.

Hili suala linasikitsha kwakwel. Kila bunge upinzani wanapiga kelele mpaka tunashindwa kusikia vitu muhimu na kupoteza muda kuanza kunyamazishwa.

Mh Mbowe fanya upinzani uwe na heshima, hoja ipingwe kwa hoja sio makelele mnatushushia imani wapiga kura wenu tuliowaamini.
 
Nimegundu siasa mchezo mchafu,wakat we ukiangaika na kupiga kelele,watu wanapiga michongo ya pesa!

Ulikuwa hujajua... Billion ni vijisent kwa wabunge wa CCM.. nyie kaeni hapa kuwatetea kwa kupewa buku 7 kwa siku.

Wenzenu wanakwapua mabilioni..
 
Basi mwekeni Kikwete atakuwa anafaa sana... Au kwani Riz hatoshi hapo??

Sasa hao wapinzani?tunaitaji mabadiliko!Tunaitaji KUB aliyemsafi na atakaeweza kuwakilisha vyema bungeni
 
Nyie semeni Mbowe anawabanaga pumbu sana. Mnaomba apatikane mwingine huenda mkapata unafuu kidogo😀😀😀
 
Hivi kama Mbowe hafai pamoja na kuikuza kote, ni nani anafaa ???!!. Tangu Mbowe aanze na operation Sangara kuikuza na kuilea chama toka kuwa na wabunge wanne mpaka leo CDM ina wabunge 72 bado we unatuletea majungu hapa ?

Kagombee na wewe uwe KUB.
 
Back
Top Bottom