pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
Una mengine au ni hayo tu? nakushauri kameze dawa zako ulizopewa pale kitengo maalumu Muhimbili au Mirembe kasha kalale!
Nimegundu siasa mchezo mchafu,wakat we ukiangaika na kupiga kelele,watu wanapiga michongo ya pesa!
Achana na siasa mkuu,fanya mambo yako upige pesa na ww sio kulilia hapa
Chadema nayo ni ileile tu kama ilivyo ccm,kila mmoja anayafanya yake kutokana na nafasi aliyopo ila ndiyo walewale tu.
teh teh teh. eti..eti ukawa mnajitambua ndio sifa wao wanavuta hela.Malofa tumeachwa angani,yeye na Mtei wanafuraia mapato
Dj Mbowe ni tapeli la kisiasa, kwake yeye muhimu ni pesa, sio maendeleo ya watanzania; wapumbavu mmechangishwa pesa nyingi, then kaenda ku invest japan kwenye kampuni yake, na mipumbavu na milofa ya chadema imekaa kimya, inashangilia gia za angani.
Ukimshangilia dj mbowe na ushenzi wake lazima utakuwa na matatizo ya akili makubwa.
The conman Mbowe has lost legitimacy to speak about Tanzanians' development
Kwa akili yako ndivyo uonavyo, jiulize CCM walikuwa na viti vingapi uchaguzi uliopita na leo wana vingapi na UKAWA vipi! Ni jambo la kutumia akili yako kwa 5% tu, ila sidhani kama unazo sawasawa.
Sasa hao wapinzani?tunaitaji mabadiliko!Tunaitaji KUB aliyemsafi na atakaeweza kuwakilisha vyema bungeni
Inashangaza wanaccm wanavyolazimisha kutupangia kiongozi wa upinzani bungeni.
Utaratibu unasema kambi rasmi ya upinzani utaundwa na chama pinzani chenye wabunge wengi ambao mpaka sasa na chadema.
Sisi chadema tumeamua KUB awe ni Mh. Mbowe na maamuzi yetu yaheshimiwe.
Malofa tumeachwa angani,yeye na Mtei wanafuraia mapato