Mbowe hafai kuwa KUB

Mbowe hafai kuwa KUB

Vipi kuhusu CCM na kuiuza nchi kwa waChina wanafaa kuliongoza Taifa?

Wewe unatuletea mambo ya kijinga na vihoja vyepesi vya kitoto, busara na hekima za Mbowe tumezishuhudia vikao alivyo simama kama KUB na matokeo yake tuliyaona na impact kwa Taifa imeonekana.

Hii kauli yako in ya woga wa jinsi mtakavyoumbuka katika Bunge hili ba yatakayofuata.
 
Ww UKAWA tangu lini?... Hizo hela wakat anapewa ulikuwepo?..kwa wananchi kachangisha sh ngapi na ww ulichangia sh ngap ktk hizo pesa?...JIKAZE bro wanaume wanaongea kwa fact..unakuja na hoja zako mbili nyepesi hata #shishibeyb hafanyi huo ujinga
 
Tunazungumzia uraia au kiswahili kinagonga? Walamutse😆

Yule hakua Mtanzania.......ndo maana karudishwa kwao...
..it seems as always u never understand logic talk
 
hata nami km mwana CHADEMA siungi mkono mhe. mbowe kuwa KUB ningemshauri yeye abaki km mwenyekiti wa chama alaf hii nafasi awaachie wengine.na kwa kuwa wana umoja wa UKAWA mhe. mbatia,mnyika,lissu au wabunge wa CUF.

Wazo zuri ila mbatia au yy.. Lisu mnandhimu kama kawa ila UKAWA si chama Na KUB anatakiwa atoke chama chenye wabunge wengi wa upinzani siyo?
 
Mbowe ni mjasiliamali wa kisiasa,kwake ni pesa kwanza CHADEMA baadaye.Wengi wanaimtetea Mbowe humu ni kwasababu wametawaliwa na hisia za kishabiki,wangekuwa tayari kuelewa yanayoendelea hapa nchini wangeandamana mara moja kutaka Mbowe asigombe nafasi ya KUB.Nawakumbusha kuhusu sakata la ESCROW, hivi nini kilimshawishi Mbowe kumwamini Zitto hata kuiunga mkono ripoti yake ya kupikwa ya ESCROW? Sote tunajua kwamba ile ripoti ya kamati ya akina Zitto ilipikwa kuwalinda vigogo flani ndani ya serikali,katika taasisi za dini,wanasiasa na familia za viongozi.Ina maana Mbowe na umakini wake wote hakuyajua haya au alipiga fedha za ESCROW? Mbaya zaidi Mbowe huyu huyu na huyu anayemwita hasimu wake wa kisiasa Zitto wakaungana tena kuja na maazimio yao uchwara dhidi ya serikali kumbe walikuwa wanatuzuga tu,mbona hatusikii tena kuhusu yale maazimio yao dhidi ya serikali?yalitekelezwa?Wana CHADEMA shtukeni,hapo hakuna Mwenyekiti wa CHADEMA ila kuna mpiga dili tu.
 
Vijana wa ccm mnachekesha sana. Mnaanzisha vipropaganda na kuvichangia wenyewe. Hamna hamu na Mbowe kabisa! Kawatesa sana mwaka huu! Ccm hasa Kikwete hatakaa amsahau Mbowe. Aliwafanyia kitu ambacho hawakutarajia na hawakuamini! Wana hasira naye kwelikweli!
 
Back
Top Bottom