Anapiga pesa tu, hana lolote huyo.
VIJANA WA C.C.M ACHENI KUWA VICHWA MAJI!
-Asipogombea mbowe unataka baba yako agombee?
-Kaeni mjenge chama chenu cha kinyonyaji mambo ya UKAWA waachieni ukawa.
Kama kuna demokrasia, nafasi hiyo apewe Mbatia
Hata kumi sitoi tena
Kama kuna democrasia ukiwa basi wamwachie hiyo nafasi Mbatia
Anafaa sana ni wivu tu unakusumbuwa kwani hao ccm wanafaa?Mboe a man of full comfidency
Acheni watu waendeshe vyama vyao. Kama unataka asiwe Mbowe, kagombee umshinde. Bure kabisa
Acheni watu waendeshe vyama vyao. Kama unataka asiwe Mbowe, kagombee umshinde. Bure kabisa
Maccm yanamuogopa sana mbowe
Bora chadema iongozwe na Kingunge.
Japo umepata vijilike.....ulichoandika ni pumba tu. Ni lini mbowe anakubali kushindanishwa kwenye nafasi ya uenyekiti? Tumeona waliojaribu kushindana nae wameishia kupewa majina mbali mbali na nyie mashabiki wake. Mbowe will be chairman for life.....hana tofauti na Kagame, Museveni, Mugabe au Kabila.
Mbowe ni jembe la nguvu anafaa sana kuwa waziri mkuuu
Mbowe anamuogopa sana Luwasa

Naona bado unaweweseka pamoja na kuweka makapi yenu kutoka cdm bado mmeangukia pua😆😆😆😆