Mbowe hafai kuwa KUB

Mbowe hafai kuwa KUB

Hakuna mwenye ubavu wa kumpinga mbowe pale ukawa.mbowe ana ruzuku ya milioni 800 kwa mwezi wacha manyumbu yafanye fujo tu bungeni
 
MBOWE HAFAI KUWA KUB!

Mhe Mbowe hafai tena kuendelea kuwa Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni(KUB), kiongozi huyu amekosa sifa hizo baada ya kuonekana kuwa na tamaa hasa ya hela badala ya kuwatumikia wananchi

1: Mbowe aliamua dhahiri kutoa nafasi ya Dr slaa kwa Lowassa kwa kinachodaiwa kula alikula mshiko.

2: Alichangisha michango wananchi, bila kutoa taarifa za mapato na matumizi ya hela zile hadi sasa.

Kwa mtazamo huu, huyu si kiongozi na hafai kuwa KUB.

UKAWA tushtuke jamani

...anafaa mama yako.!
 
Mnamwogopa sana kwa jinsi anavyowachachafya. Ulitaka akupe wewe taarifabza michango? Wewe CCM mambo ya uKUB yanakuhusu nini?
 
Ndiyo maana unaitwa jingalao. Walio kutuma kuanzisha nyuzi za CHADEMA AU MBOWE, waambie tupo bize na report ya CAG.
 
Ripoti ya CAG inaitaja halmashauri ya Mbowe na ya Chadema ndio vinara wa hati chafu...endeleeni kuwa busy!
 
Mkurugenzi naye si Ilikuwa wa CHADEMA. Pengine Wewe na mimi siyo mkaguzi wa ndani wa popote achilia mbali halimashauri husika, kuna hila nyingi, kwa hila na rough za kisiasa vipi kama Mkurugenzi alitumika pasipo kujijua kutoa mafungu kushindana unategemea nn hapo!?
 
MaBwe.gE wa Lumumba.
Mmeanzisha uzi wakujipongeza na sikukuu ya Mungano..
 
Ngoja vijana wa baraza la vichaa la CDM waje..huku wakitokwa na povu..mi simo wao kwao Mbowe ni maraika.
 
Ripoti ya CAG inaitaja halmashauri ya Mbowe na ya Chadema ndio vinara wa hati chafu...endeleeni kuwa busy!
Watumishi sita wamesimamishwa na mbowe pale Hai kabla hata ya CAG kutoa ,ripoti...yake
 
Acha usanii bwa mdogo ....wale watumishi walisimamishwa kwa kazi nzuri ya Mganga mkuu wa Machame hospital sio Mbowe...sakata lenyewe lilikuwa la ulaji wa fedha za madaktari.
 
Back
Top Bottom