Mbowe: Dr. Slaa alidai Ukatibu Mkuu unamtosha

Mbowe: Dr. Slaa alidai Ukatibu Mkuu unamtosha

Utafiti waliofanya Uliwaonyesha atakayewasumbua ni Lowassa Maana hata wapinzani wanamkubali!!!!

Amewaambia wanachi wa Karatu Kwamba alimwambia alimuuliza Dr slaa

Je Lowassa akija itakuwaje kuhusu. We we Urais?

Dr Slaa akamjibu aaaah Mimi Mwenyekiti ' Ukatibu mkuu unanitosha !!

Sasa sijui kilichomsibu !!!

ChanZo :channel ten tv

Delilah 😈
 
Mbowe naye ni ziro kabisa. Huyu si ndo alituambia Desemba 2011 kuwa Mgombea ajaye wa CHADEMA ni Dr Slaa? Pia si huyu Mbowe aliyetudanganya kuwa D Slaa yupo likizo?

Ndo uwezo wako wa kufikili umeishia hapo?.......
 
mbowe aliyekataa hadharani gari la kiongozi wa upinzani bungeni baadae akarudi kulichukua kinyemela kwa kifupi mbowe haaminiki ni wa kwanza kutangaza maandamano halafu ni wa kwanza kukimbia huku akiacha wengine waumie baada ya uchaguzi chadema ndio watajua thamani ya kuongozwa na msanii kama yeye
 
hivi bado kuna mtu anayemuamini huyu kigeugeu mara ameenda likizo sasa tuamini kipi

Usiwe mvivu wa kufikiri! Kama mwenyekiti wa taasisi anayo mamlaka ya kumlima barua ya likizo kumpumzisha katibu mkuu wake akiunda utendaji wake umeingia doa au kama walivyofanya kuitisha mkutano wa pamoja na kamati kuu ya chama ili kulijadili suala hilo na kufanya maamuzi either kwa kura za maoni kufikia mwafaka.
 
mbowe aliyekataa hadharani gari la kiongozi wa upinzani bungeni baadae akarudi kulichukua kinyemela kwa kifupi mbowe haaminiki ni wa kwanza kutangaza maandamano halafu ni wa kwanza kukimbia huku akiacha wengine waumie baada ya uchaguzi chadema ndio watajua thamani ya kuongozwa na msanii kama yeye
Mtu laghai hawezi kuaminiwa kwa lolote. Alidanganya kwamba Dr Slaa yuko likizo, leo anadanganya habari ya utafiti, mbona matokeo ya huo utafiti wanachama hawaujui?!
 
Mtu laghai hawezi kuaminiwa kwa lolote. Alidanganya kwamba Dr Slaa yuko likizo, leo anadanganya habari ya utafiti, mbona matokeo ya huo utafiti wanachama hawaujui?!
Kwa sababu una mtatizo yako binafsi huhitaji kueleweshwa juu ya hili.
 
Mbowe anajua usanii alioufanya,ila anajaribu kutafuta wa kumwangushia jumba bovu,D.slaa anapewa shutuma zisizomhusu baada ya kuzungukwa kwa usanii wa Mbowe.

Tunajua kuwa Mbowe ameanza mawasiliano na watu wa ccm toka Mwaka 2005, baada kusubiri Kikwete akatwe na NEC ya ccm ikashindikana na yeye akagombea akapata kura laki Sita tu.

Ikaja 2010, akamvizia Mzee Sitta akatwe ccm ili ahamie Chadema, ikashindikana , akatumia mbinu za Kumwomba Dr.Slaa agombee japo Dr.Slaa hakuwa tayari lakini akakubali kwa heshima ya chama chake .

Na sasa 2015, amevizia Lowassa amekatwa ccm, japo mawasiliano na Lowassa yalianza muda mrefu ila alikuwa anawazunguka wenzie ndani ya chama.

Kifupi Mbowe Chadema hakuwai kuijenga kama taasisi inayoweza kutoa mgombea Urais wala kuunda serikali.

Lengo lake Chadema kiwe chama kikuu cha upinzani ili kiuzike kirahisi kwa wanacccm wanaotaka kuhamia upinzani, na hilo amefanikiwa mwaka huu.

Mbowe atuambie toka Mwaka 2005 kama Mwenyekiti aliiandaa vipi Chadema kama taasisi kushika madaraka ya nchi.?

Mbowe anaamini asichokitenda anatenda asichokiamini.

Kifupi anasiasa za kilaghai.

Ingekuwa hivi ulivyoandika wewe hapa, basi CCM wangekuwa na nafuu mno kwa muda tunavyoongea hapa!!

The truth is the opposite. I hope, umenipata
 
Utafiti waliofanya Uliwaonyesha atakayewasumbua ni Lowassa Maana hata wapinzani wanamkubali!!!!

Amewaambia wanachi wa Karatu Kwamba alimwambia alimuuliza Dr slaa

Je Lowassa akija itakuwaje kuhusu. We we Urais?

Dr Slaa akamjibu aaaah Mimi Mwenyekiti ' Ukatibu mkuu unanitosha !!

Sasa sijui kilichomsibu !!!

ChanZo :channel ten tv
huyu dj naye ameshafuzu usanii wa maigizo. hapo karatu wanaigiza kama hakumpiga kisogo slaa na kumsaliti.
 
Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa
Mwambie Mbowe aje kujibu uzi huu!

Kiongozi!

Swali hilo unge muuliza mama Dr Mihogo na maharage kwamba nani kauza chama? Halafu uje jamvini utujibu. Vinginevyo Mh. Mbowe kesha badili gia angani, ni mwendo wa speed 120 Mph.

Na hivyo jamaa yenu kakamia kugombana na kila mtu TZ hii, CCM itabaki ni ILE ILE (kale kawimbo kenu).
 
Dharau hausaidii soma thread ya 2011 kwanza usitake kumsingizia Josephine au Dr Slaa.
Mpango wa Mbowe ulianikwa 2011 hakuna cha gia angani wala nini. Na nyie amewauza na mmekubali kuuzika.
 
Dharau hausaidii soma thread ya 2011 kwanza usitake kumsingizia Josephine au Dr Slaa.
Mpango wa Mbowe ulianikwa 2011 hakuna cha gia angani wala nini. Na nyie amewauza na mmekubali kuuzika.

Mbona kwa miaka zaidi ya 54 waTz tulishauzwa! Tena sisi pamoja na rasilimali zetu, halafu una pindwa na moyo Mbowe kuuza chama. Si ndio ungefurahia adui yako kuvurunda!!!?

Na mtaduwazwa sana mwaka huu!!
 
Utafiti waliofanya Uliwaonyesha atakayewasumbua ni Lowassa Maana hata wapinzani wanamkubali!!!!

Amewaambia wanachi wa Karatu Kwamba alimwambia alimuuliza Dr slaa

Je Lowassa akija itakuwaje kuhusu. We we Urais?

Dr Slaa akamjibu aaaah Mimi Mwenyekiti ' Ukatibu mkuu unanitosha !!

Sasa sijui kilichomsibu !!!

ChanZo :channel ten tv

Dr.W.Slaa, itisha press conference mjibu DJ anakusingizia kuwa ulisema Ukatibu Mkuu unakutosha.

Teh teh teh!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona kwa miaka zaidi ya 54 waTz tulishauzwa! Tena sisi pamoja na rasilimali zetu, halafu una pindwa na moyo Mbowe kuuza chama. Si ndio ungefurahia adui yako kuvurunda!!!?

Na mtaduwazwa sana mwaka huu!!

Kosa unapofikiri mi ni CCM .. sina shida na point yako maana CCM tunawajua huniambii jipya. Kwa hiyo unaona sawa mkuu tuwaige CCM mpaka tumeazima mgombea kutoka wao waliomkata kutokana na udhaifu wake?
Since when do we use CCM as our benchmark?
 
This election!!
 
Jiulize pia kwa nini Dr Slaa
Alisema haijawahi kutia nia wala kuchukua fomu ya Urais Mwaka huu ??

Wanaomshambulia Freeman ni wale wenye hofu !!!!
Mbowe angekuwa ziro Na Lowassa
angekuwa mwepesi movie aha nyinyi kujitahidi kujinasua ???

Mbowe Ni Kiboko yenu Na Mwaka huu ni mwisho wenu !!
 
Back
Top Bottom